Mapenzi ni pasua kichwa. Siamini

Rodriquz

Member
Aug 13, 2020
37
139
Baada ya kunicha kwa dharau na nyodo me maisha kidogo yakawa mazuri miaka mitatu baadae nakuja kukutana na huyu bi dada maeneo fulani kweli nilimsahau hadi sura yake akanishika bega kwasababu nimpita bila kumtambua."jamani Denis ndio hunioni au unajifanyisha." dah!

Nilishangaa sana nikawa navuta kumbumkumbu, nilisikitika sana nilipomkumbuka, hakuwa tena yule Nancy aliyekuwa anatikisa mtaa kwa urembo alokuwa nao, daah! Nilijawa na huruma sana, kufupisha.

Nilimsamehe kwa yote baadae nashtuka anasema ana mimba yangu dah! Nilifikiria sana.. Anasisitiza sana tufunge ndoa ili mtoto azaliwe ndani ya ndoa, lakini me nahisi hii mimba kaja nayo nifanyeje nipeni ushauri
 
Cha kupasua kichwa kiko wapi hapo.

Kitanda hakizai haramu, muoe tu mlee mtoto wenu.
 
Kitanda hakizai haramu, funga nae ndoa mlee mtoto wenu, uliamua kushiriki nae kingono ilihali alikuacha na akarudi nawe bila hata kupima ukawa nae, hamna namna.
 
Wait, what?
giphy.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom