Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,590
2,000
Picha hii imewekwa kwenye akaunti yao ya Twitter huku wakiweka caption isomekayo Sauti Sol Family.

Maswali yameibuka kuwa mbon akuna Mwanaume na Mwanaume je nao ni wapenzi kama hao wa jinsia tofauti?

Kwa muda mrefu zimekuwepo taarifa za mmoja wa wanakikundi hiki cha muziki kutoka Kenya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

1597841431916.png


 

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,573
2,000
She's so insecure, she don't make love with the lights on
So insecure, she don't wanna talk about it no
And I'm so insecure one day she'll leave me
And she'll find another guy
Who makes her happier than I
Juu nikiwa maji
Mi ni chizi
Mi ni stalker
Nakuhallaa
When you're naked, I see angels
And I hope you see the same
You're insecure (eeeeeh)
I'm insecure (aaaaaah)
Baby, you're so insecure (eeeeeh)
I'm insecure (aaaaaah)

Huu wimbo wao mkali sana.
Wape picha maelezo watakupa wao.
 

Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
2,032
2,000
Watu huko wanatukana kama wamerukwa na akili, yaani wana hasira na maisha ya wengine wanasahau ya kwao, hasa Watanzania sijui kwanini?
Nacheka tu na comments.
Kila mtu ana haki ya kuamua maisha yake binafsi yawe vipi kadri ya matakwa yake.
Wala hakuna kupangiana, acha muhusika afurahie chaguo pendwa na hitaji ktk maisha yake.
Hatumpangii mtu maisha ila tunasikitika kumuona baharia alivyo usaliti ule utamu wote tunao upata kwenu wanawake, mnajua nyie viumbe wa kike ni Watamu sana hapo kati
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom