Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,193
4,661
Hukumu imetolewa leo na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM

Washtakiwa wameshindwa kulipa faini na hivyo wamepelekwa gerezani kuanza kutumikia adhabu yao.

photo_2020-09-25_18-25-14.jpg

=====

Nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli washitakiwa wote vijana na wanategemewa, nimeona mshitakiwa wa kwanza anajutia, kutokana na mazingira ya kesi hii adhabu yake ni miaka 30 kila kosa ambapo nikiwafunga mtapotea kabisa" amesema Hakimu Mkazi Mfawidhi Godfrey Isaya

"Hivyo kwa mazingira mliyoyasema na lengo la adhabu ni kujirudi, mshitakiwa wa kwanza utalipa Milioni 3 ama jela miaka 5 (Amber Rutty) mshitakiwa wa pili utalipa faini ya milioni 3 ama jela miaka 5 (Said Bakary ) na mshitakiwa wa tatu faini milioni 5 ama jela miaka 5 (James Charles) na adhabu zitaenda sambamba" ameongeza
 
Serikali mbona ipo kimya kwenye ile ishu ya gwajima?

Au kwasababu ni mwana chama wa chama tawala na ni mgombea?

Au kwasababu ye alifanya mbele ya maumbile?

Sa si bora amberruty alikua akirekodiwa anaweza kujitetea kuliko gwajima ambaye alikua director na starring kwenye script hiyo hiyo?
 
Mahakama ya Kisutu imemuhukumu Msanii Rutyfiya Abubakary maarufu kama 'Amber Rutty' na Mpenzi wake Said Bakary pamoja na James Charles (James Delicious) kulipa faini ya milioni 11 ama jela kwenda jela miaka mitano, ni baada ya kutiwa hatiani kwa makosa manne ikiwemo kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Godfrey Isaya "nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli Washitakiwa wote Vijana na wanategemewa, nimeona mshitakiwa wa kwanza anajutia, Mshitakiwa wa pili na tatu ni wakosaji wa kwanza, kutokana na mazingira ya kesi hii adhabu yake ni miaka 30 kila kosa ambapo nikiwafunga mtapotea kabisa"

"Hivyo kwa mazingira mliyoyasema na lengo la adhabu ni kujirudi, mshitakiwa wa kwanza utalipa Mil.3 ama jela miaka 5, wa pili utalipa faini ya Mil.3 ama jela miaka 5 na mshitakiwa wa tatu faini Mil.5 ama jela miaka 5"

Amberutty na wenzake wameshindwa kulipa faini hiyo kwa leo hivyo wamepelekwa Gerezani na endapo watafanikiwa kulipa wataachiwa huru. #MillardAyoUPDATES
Huyu wa kuitwa Delicious, atawekwa kwa wanaume au kwa wanawake

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli washitakiwa wote vijana na wanategemewa, nimeona mshitakiwa wa kwanza anajutia, kutokana na mazingira ya kesi hii adhabu yake ni miaka 30 kila kosa ambapo nikiwafunga mtapotea kabisa" amesema Hakimu Mkazi Mfawidhi Godfrey Isaya

"Hivyo kwa mazingira mliyoyasema na lengo la adhabu ni kujirudi, mshitakiwa wa kwanza utalipa Milioni 3 ama jela miaka 5 (Amber Rutty) mshitakiwa wa pili utalipa faini ya milioni 3 ama jela miaka 5 (Said Bakary ) na mshitakiwa wa tatu faini milioni 5 ama jela miaka 5 (James Charles) na adhabu zitaenda sambamba" ameongeza
IMG_20200925_183205_588.jpg
 
Mahakama ya Kisutu imemuhukumu Msanii Rutyfiya Abubakary maarufu kama 'Amber Rutty' na Mpenzi wake Said Bakary pamoja na James Charles (James Delicious) kulipa faini ya milioni 11 ama kwenda jela miaka mitano, ni baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matatu ikiwemo kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Back
Top Bottom