Haya mapenzi bwana acha nicheke tu!

Kaghambe

JF-Expert Member
Oct 8, 2023
591
713
Wakuu habari zenu wote, acha nianze kwa kucheka😁😁😁😁

Mwaka fulani nipo namtafuta binti nimtongoze nikazama moja ya account yake ya mtandao fulani. Nikamcheki tukawa tunabadilishana mawazo mara mbili mara tatu tukazoeana kiasi japo sio saana. Siku zikaenda, ikawa wiki mwezi. miezi hadi mwaka ukakamilika.

Hapo ilikuwa tunachat tu kwa huo mtandao, dada ni mzuri kiasi chake. Siku moja nikaona nisiweke usku saana, nikamwomba namba. Ajabu akachomoa na kejeli na status zikawekwa kunibonda kabisa nafsi yangu na kutojali hisia zangu.

Nikavumilia, nikazoea na nikapotezea kwa muda ila bado nilikuwa namuhitaji sana kwa maana I was really in love with her. Ikawa bahati kuna mwana anamjua, tukawa tunapiga story mara nikawa naangalia picha za mchuchu huyo kwa mtandao pendwa ule alizoweka kwa account yake.

Mwana akaniuliza umemwelewa, nikamwambia ndio na nikampa mpango mzima kuwa kuna moja na mbili. Akasema hili suala dogo, akaitafuta namba ya mtoto akaipata tena fasta, jamaa wana undugu na binti. Namba kupatikana jamaa akawa anamsalimia binti halafu akamchana mbona fulani aliomba hili ukamjibu mbovu nk?

Binti akasema kuna moja na mbili, mwana akaweka sawa mambo yakajipanga mtoto akakubali nipewe namba zake. Kilichofuata tukawa tunawasiliana kwa simu za kawaida, kupigiana na kutumiana sms au picha ikawa kawaida.

Siku zikasogea nikaomba game akawa analeta za kike ila akaelewa, akaja nilipo tukakaa wote magetoni kwangu zaidi ya wiki na siku 2 daily ilikuwa nikufanya mambo ya watu wakubwa. Ni mzuri na yupo vizuri, mambo yake matamu.

Akarudi mkoa wake tukawa tunawasiliana na mipango kedekede ikawa tunaipanga. Mara sijui akaanza kuwa busy usiku, nikambana kumuuliza hilo, mwanzo alikuwa anasema ni mdogo wake anaongea nae. Mwisho akasema kuna ex wake anamtafuta warudiane, mimi nikampa option achague mwenyewe maana hatuforce.

Kuanzia pale ikawa hatuna maelewano mazuri, akipiga simu nisipopokea anatuma sms nipo na malaya zangu. Nikaona huu ni upuuzi, hata muda wa kutafuta riziki niwe naongea na simu always.

Nikaona ananitafutaia kosa, mimi nikamuwahi kujitoa. Ikawa sijali kuhusu yeye, akiweka status naview halafu nakula kimya, simsifii wala kumkosoa. Aisee, akapanda inbox siku za mbele na kuanza kuuliza mbona nimebadilika, nikajibu ubusy tu hakuna kingine.

Siku zikaenda tena nikaanza kumtoa kwa mipango yangu, ila nilimwambia sioni kufika mbali na yeye, akawaka sana ila sikujali. Siku zikaenda mbeleni nikawa nakosa mtu sahihi nikajirudi kwake, akakaza kidogo, baada ya kuomba msamaha akakubali yakaishaa. Tukawa tunachat na kupigiana simu kama mwanzo. Siku moja nikampanga kuwa nitakuja mkoa aliopo, akaelewa na tukamaliza fresh.

Siku zikaenda maongezi yalikuepo nikiamini tutaonana nikifika mkoa wake. Ajabu nilipofika mkoa ule nikamwomba tuonane akajibu hapana. Ikawa simuelewi, nikaona kuna kuwekana sub hapa, poa nikawa tayari kwa hilo.

Ndani ya mwezi huo ikawa birthday yake nikiwa mkoa huo huo, ila aliniambia kama leo halafu kesho ndio birthday yake.

Nikamwomba tuwe wote usiku wa birthday yake na nimemiss, akajibu haiwezekani mimi namchezea tu na kufoka sana, nikajibu sawa. Akauliza zawadi? Nikamjibu hao uliokuwanao watakupa zawadi, usiku mwema. Zikawekwa status, nikaview bila kureply chochote.

Muda wa kukaa mkoa ule ukaisha nikasepa zangu mkoa wangu ninapoishi. Akawa ananitafuta napokea ila ile kujivuta, akawa anamind nikawa simuwekei attention tena. Siku zikaenda nikapata nafasi ya kurudi kikazi mkoa aliopo, nikamtaarifu kuwa nakuja tuonane akajibu hataki kuchezewa. Nikasema fine hii ya mwisho.

Wiki za juzi akanitafuta ooh naumwa, naomba moja na mbili mimi nikamwambia pole nenda hospotalini. Akajibu ashaenda, nikamwambia sawa kunywa dawa, kula ushibe na maji ya kutosha (Malaria).

Baada ya kuumwa anataka tuonane tena kwa kuona hajakosea na kujitetea kwa sana 😁😁😁, acha nicheke kidgo tena. Ikawa siku, majuma, mwezi! Ila kwasasa nimemtoa mazima, maana naona tulikua wengi halafu kuna washauri kibao ndani yake na kwa style hiyo hatutafika mbele.
 
Wakuu habari zenu wote.
Acha nianze kwa kucheka
Mwaka flan nipo namtafuta binti nimuongoze nikazama moja ya account yake ya mtandao fulani. Nikamcheki tukawa tunabadilishana mawazo mara mbili mara tatu yaah tukazoeana kiasi japo sio saana. Siku zikaenda, ikawa wiki mwezi miezi hadi mwaka ukakamilika.

Hapo ilikua tunachat tu kwa huo mtandao, ni mzuri kiasi chake. Siku moja nikaona isiwe nisiweke usku saana nikamwomba namba ajabu akachomoa na kejeli kwa status zikawekwa kunibonda kabsa nafsi yangu na kutojali hisia zangu.

Nikavumilia nikazoea na nikapotezea kwa muda ila bado nilikua namuhitaji sana kwa maana i was real love her. Ikawa bahati kuna mwana anamjua tukawa tunapiga story mara nikawa naangalia phcha za mchuchu huyo kwa mtandao pendwa ule alizo weka kwa account yake.

Mwana akaniuliza umemwelewa nikamwambia ndio na nikampa mpango mzima kuwa kuna moja na mbili. Akasema hili swala dogo akaitafuta namba ya mtoto akaipata tena fasta jamaa wana undugu na binti. Namba kupatikana jamaa akawa anamsalimia binti afu akamchana mbona fulan aliomba hili ukamjibu mbovu nk.

Binti akasema kuna moja na mbili mwana akaweka sawa mambo yakajipanga mtoto akakubali nipewe namba zake. Kilichofuata tukawa tunawasiliana kwa simu za kawaida kupigiana na kutumiana sms au picha ikawa kawaida.

Siku zikasogea nikaomba game akawa analeta za kike ila akaelewa akaja nilipo tukakaa wote magetoni kwangu zaidi ya wiki na siku 2 daily ilikua nikufanya mambo ya watu wakubwa. Nimzuri na yupo vzr mambo yake matamu.

Akarudi mkoa wake tukawa tunawasiliana na mipango kedekede ikawa tunaipanga. Mara sijui akaanza kuwa busy usku nikambana kumuuliza hilo mwanzo alikua anasema ni mdogo wake anaongea nae. Mwisho akasema kuna ex wake anamtafuta warudiane afu mm nikampa option achague mwenyewe maana hatuforce.

Kuanzia pale ikawa hatuna maelewano mazuri akipiga simu nisipo pokea anatuma sms nipo na malaya zangu. Nikaona huu ni upuuz hata muda wa kutafuta rizik niwe na ongea na simu always.

Nikaona ananitafutaia kosa mm nikamuwahi kujitoa ikawa sijali kuhusu yeye anaweka status na view afu nakula kimyaa simsifii wala kumkosoa aisee akapanda inbox siku za mbele. Nakuanza kuuliza mbona nimebadilika nikajibu ubusy tu hakuna kingine.

SiKu zikaenda tena nikaanza kumtoa kwa mipango yangu. Ila nilimwambia sioni kufika mbali na yeye akawaka saana ila sikujali. Siku zikaenda mbeleni nikawa nakosa mtu sahihi nikajirudi kwake, akakaza kidogo omba msamaha akakubali yakaisha tukawa tunachat na kupigiana simu kama mwanzo. Siku moja nikampamga kuwa nitakuja mkoa aliopo akaelewa na tukamaliza fresh.

Siku zikaenda maongezi yalikuepo nikiamini tutaonana nikifika mkoa wake, Ajabu nilipo fika mkoa ule nikamwomba tuonane akajibu hapana ikawa simuelewi nikaona kuna kuwekana sub hapa poa nikawa tayari kwa hilo, ndani ya mwezi huo ikawa birthday yake nikiwa mkoa hio huo kaniambia ila alinambia kama leo afu kesho ndio birthday yake.

Nikamwomba tuwe wote usku wa birthday yake na nimemiss akajibu haiwezekan mm namchezea tu Na kufoka saana, nikajibu sawa akauliza zawadi nikamjibu hao uliopo nao watakupa zawadi usku mwema. Zikawekwa status nikaview bila kureply chochote.

Muda wa kukaa mkoa ule ukaisha nikasepa zangu mkoa wangu napo ishi. Akawa ananitafuta napokea ila ile kujivuta akawa anamind nikawa simuwekei attention tena. Siku zikaenda nikapata kurudi kabsa kikazi mkoa aliopo nikamtaarifu kuwa nakuja tuonane akajibu hataki kuchezewa. Nikasema fine hii ya mwisho.

Mawiki ya juzi akanitafuta ooh naumwa naomba moja na mbili mm nikamwambia pole nenda hospotalini. Akajibu ashaenda nikamwambia sawa kunywa dawa kula ushibe na maji ya kutosha (malaria).

Baada ya kuumwa anataka tuonane tena kwa kuona hajakosea na kujitetea kwa sana acha nicheke kdgo tena. Ikawa siku majuma wiki mwezi. Ila nimemtoa mazima maana naona tulikua list afu kuna washauri kibao ndani yake na kwa style hiyo hatufiki mbele.

Ulete ushauri na maoni. Ruksaa
Tutaona meng sana
 
Ulete ushauri na maoni. Ruksaa
8C24D81B-71BC-42F3-858D-81F78F7AF918.jpeg

aluu unatako ushauro gani
 
Back
Top Bottom