Hivi JF hakuna tunaokula utamu wa mapenzi?!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,237
103,892
Kuna siku humu kuanzia asubuhi mpaka jioni ni nyuzi za kutendwa tu. Wengine usiku...wanakuja na kataa ndoa. Ni mwendo wa kupigana matukio tu.

Lakini tupo sisi tunaokula utamu wa mapenzi. Tunakula utamu kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Hapa napoandika nimetoka kupigiwa video call, nimeambiwa nikitoka kazini niwahi kurudi ana hamu tena. Eti ile asubuhi alinionea huruma nisichelewa kazini. Amesema nichague nianze kumla yeye au nitaanzia mezani kwanza. Mimi nimemjibu nitakuja na asali, nimwagie mwili mzima ili niwale wote at a time.

Huyu ni yule aliyenifunga kamba ya viatu asubuhi. Kisha akani drive mpaka kazini kisha akarudi na boda. Kama ndio hivi kwa nini nisimnunulie ka IST kake?! Sio tu hivyo jana yake usiku ilikuwa siku ya kupigana show. Ilikuwa siku special kwa sababu tulihamia hotel tukawa mle tukashinda uchi kama vitoto vichanga.

Siwezi kusimulia kila kitu kama mechi ya mpira. Lengo langu sio kukutambia ila.....Kama wewe unapigika kwenye mapenzi ni wewe na huyo mumeo. Usiseme wanaume wote ni mbwa. Never generalise, wengine tunaogelea kwenye lindi na dimbwi la mapenzi. Pambana na hali yako usitusambazie ubaya wengine. Mapenzi hayana tatizo, tatizo ni demu wako. Sijasema hakuna ups and down, zipo! Ila kwa watu wanaopenda sana kwa nini washindwe kumaliza changamoto chaaaap kwa haraka?

Tunaokula raha za mapenzi tupo wapi? Mimi nipo hapa kushirikiana nanyi kuonyesha upande wa pili.
 
Humu wajumbe wa chaputa ndio wanachakata mbususu vilivyo ila ndio wanahamasisha kataa ndoa na kujichukulia sheria mkononi.

Wale wenzangu namimi tunaocoment mizagamuano daily ndio tumejoin NOFAPP challenge, mwaka umekatika sijui inafananaje.

Kuna la kujifunza juu ya haya tunayoyaona humu.
 
Wengine hali zetu za mapenzi ni kama dollar ya Marekani.

Leo imepanda kesho imeshuka.

Yaani hayatabiriki, muhimu kunakucha.

Kukikucha vizuri utapendwa hadi utatamani umpe zawadi ya Dunia muishi wawili.

Siku kukikucha vibaya, unaweza kutamani Ulale huko huko ofisini 🙌
 
Humu wajumbe wa chaputa ndio wanachakata mbususu vilivyo ila ndio wanahamasisha kataa ndoa na kujichukulia sheria mkononi.

Wale wenzangu namimi tunaocoment mizagamuano daily ndio tumejoin NOFAPP challenge, mwaka umekatika sijui inafananaje.

Kuna la kujifunza juu ya haya tunayoyaona humu.
Bora umelijua hilo mapema

Humu mtu anaweza kukwambia yeye ni Jobless kumbe ni boss wako kazini

Ama mtu akasema anaendesha BMW kumbe yupo na baiskeli ya Phoenix

Ama ukaambiwa ni Mzee wa miaka 65 kumbe ni dogo wa miaka 23 🙌
 
Humu wajumbe wa chaputa ndio wanachakata mbususu vilivyo ila ndio wanahamasisha kataa ndoa na kujichukulia sheria mkononi.

Wale wenzangu namimi tunaocoment mizagamuano daily ndio tumejoin NOFAPP challenge, mwaka umekatika sijui inafananaje.

Kuna la kujifunza juu ya haya tunayoyaona humu.
Mm nilitamba humu kuwa nimepata mke, cha ajabu saivi naona status tu kavishwa pete ya uchumba 😭😭😭
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom