maneno

Maneno was a blogging application powered by PHP, Smarty, and MySQL with content management capabilities. Initially released in October, 2008, it focused on creating a multi-theme, multi-author, multi-lingual system that works in a hosted setting [1]. The name Maneno means 'words' in Swahili and the site focused on having low latency/filesize options to make it fast to load on low bandwidth connections [2]. Additionally, it had an architecture that allowed for heavy customization by end users.
The core of the system was envisioned after a trip to the Democratic Republic of Congo in 2008 by two of the founders. They realized that while trying to write articles from the country via VSAT connections, the connection speeds proved incredibly slow and discouraging for not only them, but anyone striving to pursue citizen journalism endeavors [3]. Additionally it was shown that the language spheres of Africa had nearly no crossover between one another. Taking these issues into account and coming to the conclusion that no current blogging system adequately addressed them, this entirely new platform for blogging was created to serve the African blogging community.
Maneno was available in Bambara, English, Spanish, French, Fula, Swahili, Lingala, Portuguese, and Zulu. The available languages covered all of the lingua franca languages of Africa as well as a selection of large local African languages that were gradually added to. The site worked in allowing a user to be able to view and interact with the site in any one of the languages available for the interface as well as being able to translate articles and sections of the site via a crowdsourcing method [4].
In August 2010, Maneno announced that would be scaling back their extensive social media outreach initiatives to focus on developing the core technology of the site [5] and as of 2014, the site is now inactive.
The Board of Directors were a group of bloggers and technology enthusiasts working to expand the platform and reach out to new bloggers. Members were: Rebecca Wanjiku [6], Elia Varela Serra, Saul Wainright, and Miquel Hudin.

View More On Wikipedia.org
  1. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Leo Gamondi anapasuka Ila sijafurahia maneno ya kaze

    "Tunaenda kucheza mchezo mzuri, hayo matokeo hatutaangalia kimsingi hata tukipata hayo matokeo Ila tuonekane tumecheza vizuri". But kila la kheri Namungo
  2. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Gamondi anajiamini nini kutamka maneno haya?

    Nimemuona jana kwenye press akisema haogopi timu yoyote anaamini wachezaji wake wanaweza cheza hata na Barcelona au real Madrid. Kuna mwandishi alitaka kumtisha na majina makubwa ya timu za Africa. Kifupi Gamondi anasema waleteeee 🔥🔥🔥
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama va Siasa na Wadau wa Demokrasia katika ukumbi wa JNICC leo tarehe 11 Septemba, 2023 katika viwanja vya Ikulu, jijini Dares Salaam...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Je, maneno na watu wa kibiblia kwenye Qurani ni Copypaste za kwenye Biblia?

    Quran imetaja majina ya watu ambao tayari biblia ilishawataja zamani miaka zaidi ya 1000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam. Quran imetaja story zinazofanana na story za kwenye biblia au maandiko ya kiyahudi yaliyokuwepo miaka zaidi ya 2000 kabla ya kuzaliwa mtume wa waislam. Nini chanzo cha...
  5. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Kero Makanisani: Mwambie mwenzako, mshike mkono mwenzako, mkumbatie mwenzako. Haya maneno chanzo cha michepuko mipya Kanisani

    Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako. Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
  6. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya maneno haya ya kisiasa

    Wataalamu wa masuala ya kiasiasa na hata wa lugha ya kiswahili naomba kujua tofauti ya maneno haya. Makamu, Naibu na msaidizi. Kuna makamu wa Rais, Naibu katibu, na Katibu msaidizi. Kwa Nini isiwe naibu mwenyekiti, au makamu wa katibu, Naibu mwenyekiti? Kwa kweli sijui kwa Nini Yako hivi...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno yako binafsi na mifano elezea, "Baraka ni nini"

    Hebu twende kazi, eti baraka ni nini? Elezea kwa ufahamu wako,usitumie google
  8. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Ruto kuhusu kilimo ni ya kuwapumbaza Watanzania

    Wasalaam nyote, Kwenye kikao/Mkutano wa Rais Ruto na Rais Hassan, na wadau wengine Rais Ruto anasikika akisema fursa kubwa ijayo ya utajiri ipo kwenye kilimo, ameweka bayana kuwa yeye ni mdau wa kilimo, kwa kiasi amekosoa kazi ya immigration wetu kule mpakani, japo amesifu mabadiriko na...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ijue Katiba ya JMT kwa Jicho la Mtunga Katiba: Watanzania Tusishabikie Uhaini. Hukuna Uhaini wa Kauli na Maneno, Uhaini ni Mipango na Matendo

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa Kufuatia tishio la matamshi yenye viashiria vya uhaini dhidi ya serikali ya JMT kwa baadhi ya watu, na watu hao kushikiliwa na vyombo vya dola, waneibuka watu, mashirika, wanaharakati kupigia kelele kuna kesi ya uhaini, na hadi baadhi ya taasisi za...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mdude: Tunaipa Serikali siku 30 wafute mkataba

    Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima. Maandamano yatakayokuwa ya...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Shabiby aitaka Serikali isisikilize maneno ya watu kuhusu kukopa kwasababu inao wataalam wa kutosha, adai ingekuwa yeye angekopa dola bilioni

    Ahmed Shabiby ameitaka Serikali kutafuta dola bila kujali watu watasema nini, Shabibi amesema ingekuwa ni yeye angekopa dola bilioni moja kukabiliana na uhaba wa dola nchini na kuziingiza kwenye mzunguko. Shabiby amesema dola bilioni moja ni kitu kidogo sana kwa Serikali kwani inakusanya...
  12. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Profesa Issa Shivji juu ya Katiba Mpya

    Nakumbuka kipindi cha mchakato wa Katiba, Prof Issa Shivji akitoa Darsa kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa, alisema Wananchi wengi hawana Elimu ya Katiba na kusema Ukienda kuwahoji wanataka Katiba ipi, jibu lake atasema Sijui Katiba, hivyo hautapata hiyo Katiba unayoitaka kwasababu umekwenda kuhoji...
  13. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Boss wa GSM tajiri asie na maneno amfanyia mkewe birthday party nyumbani, haya ndiyo yaliyojiri

    sikukuu ya kuzaliwa MKE wa Tajiri wa makampuni ya GSM na Mdahamini Mkuu wa Klabu ya Yanga Birthday iilihudhuriwa na wanafamilia / ndugu wa karibu. Maua ni mengi sana yenye kuvutia, itakuwa yaliletwa na kontena mbili zawadi zenye brand kubwa na orignal, mambo ya christian Dior, dolce &...
  14. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Ticha wako alikuwa anasumbuka kutamka maneno gani?

    https://youtube.com/shorts/m3V0DrNdKns?si=zE3dCx52pGD7Dx3A
  15. K

    JamiiForums Tanzania "Heri wao walioushuhudia uongozi wa Rais Samia", yatakuwa maneno ya vizazi vyetu 50-100 ijayo

    Najaribu kuwaza kwa sauti nzito lakini yenye utulivu wa kutosha tutakayoyasikia au vizazi vyetu watakayotamani kuyasikia kutoka kwetu miaka 50-100 ijayo juu ya uongozi wa Rais Samia. Kama vile ambavyo, kizazi kilichokuwa hakipo enzi ya uongozi wa Mwalimu kinavyotamani kumjua Mwalimu kutoka kwa...
  16. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Maneno na majina ya Kiswahili yenye herufi zinazofanana

    Haya hapa ni majina ya Kiswahili ambayo herufi zake zote zinaumda maneno ya Kiswahili pia NAOMI----MAONI AMINA----AMANI Tafadhalli ongeza maneno au majina mengine ya aina hii angalau mawili
  17. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Maneno ya mwisho kuhusu maisha ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56

    Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 “Nimefikia kilele cha mafanikio katika ulimwengu wa biashara. Katika macho ya wajinga, maisha yangu ni mafanikio. Hata hivyo, kando na kazi yangu, nilikuwa na furaha kidogo sana. Mwishowe, utajiri ni ukweli tu...
  18. Loimata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

    ,
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa maneno haya ya Nahodha wa Asas FC kuna haja ya kupoteza muda Kesho kutizama wakicheza na Yanga SC?

    "Tunafurahi Kesho kucheza na Yanga SC ambayo baadhi ya Wachezaji wetu Wanaishabikia na Wengine Wanaishabikia Simba SC. Na kuhusu Matokeo anayejua ni Mwenyezi Mungu pekee kama tutashinda au tutafungwa" amesema Nahodha wa Asas FC kutoka nchini Djibouti inayocheza na Yanga SC Kesho ( Jumapili )...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kupinga uwekezaji wa DP; Mahakama sasa ithibitishe yale maneno ya Rostam yalikuwa ya ukweli au uongo!

    Mwezi mmoja uliopita ROSTAM AZIZ Alitangazia Umma kwamba mahakama zetu hazifai kwamba eti zinaingiliwa kwa maelekezo! Maneno hayo mazito kutoka kwa Rostam hayakuwa ya burebure! Bali ni maneno ambayo yalitoka kwenye kinywa cha mtu anaemaanisha wala siyo kuteleza! Pamoja na Rostam kuombwa...
Back
Top Bottom