mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, tuendelee kuamini Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini?

    Katika siku za karibuni tulipewa taarifa na Mamlaka ya Hewa kuwa kutakuwa na mvua ya el Nino na hivyo wananchi wachukue tahadhari zote kuhusiana na mvua hizi. Walitutahadharisha kuwa mvua hizi zingeanza mwanzoni mwa Oktoba mwaka huu. Leo ni tarehe 8 Oktoba, 2023 na kuna joto kali sana na...
  2. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Iringa shughulikieni ukosefu wa miundombinu ya vyoo Soko la Machinga

    Wafanyabiashara katika Soko la Machinga, lililopo kata ya Mlandege, mkoani Iringa, wanakabiliana na changamoto kubwa ya kukosa miundombinu ya vyoo. Hali hii inawalazimu kutumia eneo la nyuma ya soko, ambalo ni la makaburi, kama sehemu ya kujisaidia. Hii ni hali ya hatari kwa afya, kwani eneo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Ulinzi na usalama wilaya na Mkoa ina mamlaka ya kisheria kugawa ardhi?

    Je, sheria ya ardhi kuna Sehemu inamtaka mkuu wa Mkoa au Wilaya na kamati zao za ulinzi na usalama wana mamlaka yakumilikisha watu ardhi? Je, kuna mjumbe wa kamati hizi ambaye ni mtaalam wa ardhi? Je, sheria inatamka kwamba migogoro ya ardhi itatatuliwa na hizo kamati za ulinzi na usalama au...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mamlaka za Serikali zinazoajiri zenyewe

    Wadau mambo vipi nitajieni mamlaka za serikali zinazoajiri zenyewe ukiacha PSRS
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Tukuyu: Mgao wa maji unahusu watu wote, hadi nyumbani kwa Spika Tulia na kwa DC napo kuna mgao

    Baada ya kuibuka kwa malalamiko ya uhaba wa maji Mjini Tukuyu, Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, ikidaiwa kuwa kuna upendeleo katika mgawo wa maji, Mamlaka ya Maji ya Tukuyu imefafanua sababu ya mgao wa maji na kuweka wazi kuwa hakuna upendeleo katika mchakato huo. Malalamiko haya hapa - Tukuyu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa serikali anasema alichoagizwa na "wakubwa zake" au ana mamlaka ya kuchagua mwenyewe aseme nini?

    Nimetafakari kuhusu mamlaka ya huyu msemaji wa serikali. Anapata wapi cha kusema? Anatafuta mwenyewe au Rais anasema sema hili na hili na hivi na hivi?
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sheria hazilindi Mabwege, Watu dhaifu; na Mamlaka huheshimu Mamlaka

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mimi pia ni mdau wa Ile Kanuni isemayo kuwa Watu wote ni Sawa Mbele ya sheria, ikiwa ni nguzo muhimu kwenye Rule of law. Yaani kila mtu anapaswa kuwajibika Mbele ya sheria na hakuna ambaye atakuwa juu ya sheria. Lakini tukija kwenye Falsafa na uhalisia Kanuni...
  8. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu kwa hili, taifa letu linagawanyika

    TAIFA la Tanzania halina dini ila wananchi wanazo dini zao na Imani zao isipokuwa zisivunje Sheria za nchi. Hata hivyo kwa makusudi wamekuwepo Watu ambao wanazishambulia Imani za watu wengine kwa lugha mbaya za udhalilishaji na waziwazi lakini Wana angalia tu Kuna wanaitwa, maaskofu...
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Makaburi kuhamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege JNIA

    Dar es Salaam. Makaburi zaidi ya 600 yaliyopo katika kata ya Kipunguni yanatarajiwa kuhamishwa ili kupisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA). Mchakato wa kuhamisha makaburi hayo unafuatia mpango wa ulipaji fidia kwa wakazi 1,865 wa eneo hilo wanaotakiwa...
  10. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mkatoliki anayeweza kupingana na TEC kwasababu ya mamlaka Yake?

    Kwa Wakatoliki, mapadre na maaskofu ni watu muhimu mno kiimani. Pamoja na malezi mengine, watu hawa ndiyo ambao huwaongoza wakatoliki katika sala ya toba na kutoa tamko la msamaha wa dhambi. Ifahamike ya kwamba hakuna mkatoliki makini anayeweza kupingana na mababa wake wa kiimani, hayupo. Hata...
  11. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano asimamishwa kazi kwa Kujikopesha Tsh. Milioni 460

    Siku moja baada ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mawasiliano Kenya (CA) kutoa taarifa ya kumsimamisha Kazi Ezra Chiloba, imebainika sababu ni ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 11.2, ambazo ni Fedha za Akiba za Mradi wa Nyumba za Wafanyakazi. Ripoti ya Kamati Maalum ya Ukaguzi na Kamati ya Dharura...
  12. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Refund ya Ada chuo cha Mipango Dodoma, Mamlaka husika ziingilie kati

    Habari za Saizi wana jukwaa. Nimeleta mada hapa jukwaani nikiamini mamlaka husika wataona na kulishughulikia haraka. Ni zaidi za miezi kadhaa imepita dogo alinigusia habari kuwa alikuwa amelipa ada na amemaliza ada yote lakini baadae alikuja kujua kuwa bodi pia walimlipia kiasi cha ada, na...
  13. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Katiba ndiyo mamlaka ya Wananchi kusema ni kitabu tu hivi ni kuwadharau wenye mamlaka (wananchi)

    Hatuwezi wote kwenda Ikulu na kuwa Maraisi na Mawaziri nk . Ndiyo maana tumetengeneza taratibu (katiba na Sheria) za namna ya kuajiri wawakilishi kwa kuwapigia kura. Na hao wawakilishi wakisha patikana wanapaswa kufuata muongozo au utaratibu sisi wananchi tuliowaandalia kutekeleza mambo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: For better performance, TRA igawanywe zipatikane mamlaka mbili, Mamlaka ya mapato ya ndani na mamlaka ya mapato ya nje

    Tumeona mabadiliko yalifanywa katika wizara au mamlaka ya kupunguza ukubwa wa taasisi au wizara ili kuleta tija na ufanisi. Tumeona wizara iliyokuwa nishati ya nishati na madini ikigawanywa katika wizara ya nishati na wizara ya madini, iliyokuwa wizara ya ujenzi na uchukuzi ikigawanywa katika...
  15. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA): Hakuna utoroshwaji wa wanyama pori kwenda Falme za Kiarabu

    DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imesema hakuna utoroshwaji wa wanyama pori kwenda Falme za Kiarabu kama taarifa za upotoshwaji zinavyodai. Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari amesema katika taarifa kwa vyombo vya habari leo kuwa kama Mamlaka inayohusika na kutoa vibali...
  16. gstar

    JamiiForums Tanzania Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

    Ni nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video. UPDATE TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mtu yeyote kwa manufaa ya umma anaweza kufichua maovu yaliyotendeka kwa Mamlaka

    Mwaka 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria ya kuwalinda watoa taarifa (whistleblowers) na mashahidi (witnesses) Watoa taarifa (Whistleblower) wanabeba jukumu muhimu katika kutengeneza Dunia yenye usawa. Utoaji wa taarifa husaidia kulinda Fedha za Umma, kuchochea...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya Taifa: Changamoto zinazowakabili wananchi na mwitiko wa Mamlaka (NIDA)

    Je, umewahi kukumbana na Changamoto za Kupata Kitambulisho cha Taifa? Jiunge nasi katika Mjadala kuhusu Upatikanaji wa Vitambulisho vya Taifa Nchini Alhamisi hii, Septemba 7, 2023, kupitia 'X Spaces' ya JamiiForums Tutaangazia Mchakato mzima wa Utoaji na Upatikanaji wa Vitambulisho ikiwemo...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Watanzania acheni roho mbaya na wivu hakuna mwenye dhambi za kudumu kuliko wengine na asiyesameheka. Mnyeti ana haki mbele ya Mamlaka ya Uteuzi

    Wasalaam TZ na Dunia, Ndugu Alexander Mnyeti aachwe afanye kazi uwaziri ni haki yake. Nchi hii imejaa mazuzu wanaodhani mtu fulani akiwakosea wao basi hafai Kwa wengine na jamii nzima. Alexander Mnyeti ana sifa kama za Watanzania wengine wote ambao ni watenda mema na mabaya kila siku...
  20. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Haya matusi ya rejareja ya Oscar Oscar, mamlaka ziko kimya

    Mwambieni jamaa yenu aache matusi ya rejareja tena ya kudhalilisha wanawake.
Back
Top Bottom