Je, tuendelee kuamini Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini?

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
382
764
Katika siku za karibuni tulipewa taarifa na Mamlaka ya Hewa kuwa kutakuwa na mvua ya el Nino na hivyo wananchi wachukue tahadhari zote kuhusiana na mvua hizi. Walitutahadharisha kuwa mvua hizi zingeanza mwanzoni mwa Oktoba mwaka huu. Leo ni tarehe 8 Oktoba, 2023 na kuna joto kali sana na hakuna dalili ya kunyesha kwa mvua. Ninachouliza Je, tuamini taarifa zenu?. Kama kuna kasoro kwenye taarifa zenu za awali kwa nini msitujulishe tena sisi wananchi?.
 
Watanzania bwana sijui wanamatatizo gani.

Wamesema zitaanza mwanzoni mwa October ndokwanza tarehe nane leo unaharaka nayo gani hiyo mvua?

Na sijui unaishi wapi, ila maeneo mengi ya Tz yameshaanza kupata mvua japo kwa uchache, inamaana ujue ndo zimeanza sasa

Lakin pia, hawakusema mwanzo mwa October Tu, walisema kuanzia mwanzoni mwa October hadi December kwahyo mambo bado.
Na usilolijua kwasasa utabiri wa hali ya hewa huwa upo sahihi kwa zaidi ya 80% kutokana na teknolojia

Mvua zipo njiani, kwa hili joto la sasa hatutamaliza wiki mbili bila ya mvua kubwa kunyesha, kwahyo kama upo mabondeni ww hama tu wala usijifariji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom