mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya kutoa leseni za udereva angalieni watu mnaowapa hizo leseni

    Unakuta mtu yupo yupo tu lakini basics za barabarani hajui hata kidogo. Mtu ameblock barabara na wala haoni shida. Mtu amekukuta umepaki sehemu anakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka umuite! Mbaya zaidi wakati anapark kulikuwa na nafasi kubwa tu ya kumfanya asikublock. Inaudhi sana.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Usaili Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

    Leo Bwana baada ya kukaa nikawaza aahh,kumbe niliombaga nafasi za ajira za TRA. Nikastuka nikajua Tayari watu wameshaitwa .. cz sikuwa nimeingia online muda sehemu nilipokuwepo hakuna internet wala mtandao wa simu. Basi kwa unyonge nikajua aahh basi haikuwa ridhiki yangu labda, ila sasa sijui...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Donald Trump nitajisalimisha kwa mamlaka ya jimbo la Georgia Alhamisi

    Rais wa zamani Donald Trump anasema atajisalimisha kwa mamlaka katika jimbo la Georgia siku ya Alhamisi kujibu mashtaka katika kesi inayomtuhumu kwa kupanga njama kinyume cha sheria, ya kugeuza matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka 2020 katika jimbo hilo. “Unaweza kuamini? Nitaenda Atlanta...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji amtumbua Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Mwanza, Mhandisi Leonard Msenyele

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) leo tarehe 20 Agosti, 2023 amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Mwanza (MWAUWASA), Mhandisi Leonard Msenyele. Mhe. Aweso amechukua hatua hiyo kwa mamlaka aliyo nayo kupitia Sheria Namba 5 ya...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni kuhusu Ijue Katiba: Japo Rais ni Sehemu ya Bunge, kwa kuliunda, kulivunja na kuridhia miswada kuwa sheria, lakini Rais Hana Mamlaka ya Kuliingilia Bunge?. Baraza la Maaskofu...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ipi inajukumu la kufuatilia nyendo za Rais wa Tanzania na kumwajibisha.?

    Wataalamu. Mimi siyo mwanasheria. Napenda kujuzwa kwa Tanzania ni mamlaka ipi ina wajibu wa kufuatilia mienendo ya Raisi ili pale anapo kosea aambiwe au kuwajibika? Tumeshasikia huko kwa wenzetu Raisi anaweza kufikishwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka. Mfano jacob zuma, Trump etc...
  7. Rutashubanyuma

    JamiiForums Tanzania Askofu Profesa Victor Chisanga kaambiwa na Mwenyezi Mungu asitii mamlaka kwenye swala na bandari bali ampinge Rais

    https://youtu.be/CsfIiDj5LQY Askofu profesa Victor Chisanga kwenye mahojiano yake na Jambo TV kadai ana maelekezo ya Mwenyezi Mungu lazima apinge mamlaka kwenye uwekezaji wa bandari na asipofanya hivyo atakwenda motoni.
  8. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamlaka yafuta makanisa matano Kenya

    Mamlaka nchini Kenya zimeyafuta Makanisa matano likiwemo kanisa la Mshukiwa aliyewachochea zaidi ya Waumini wake 400 kufunga hadi kufa. Msajili wa Mashirika nchini humo katika notisi iliyowekwa kwenye gazeti la Taifa amesema leseni ya Muhubiri Paul Nthenge Mackenzie wa kanisa la Good News...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mamlaka kwa mikataba yote itakayoingiwa na Serikali siku za usoni

    Poleni sana. Mkataba wa DP World imetufumbua macho hata sisi wananchi wa vijijini. Ni ushauri kwa Mamlaka. Mikataba yote itakayoingiwa na Serikali katika siku za usoni ijumuishe Watalaam wafuatao: 1. Wanasheria wabobezi kutoka TLS na ZLS. 2. Wanasheria toka Sekta binafsi. 3. Wachumi toka...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Garbage in Garbage out: Acha kulalamika jambo lililo ndani ya uwezo wako au mamlaka yako

    Hello JF, Nitoe angalizo na kuwakumbusha viongozi au wenye mamlaka, acheni kulalamika au kuaibisha mamlaka zenu au nafasi mlizonazo, fanyeni kazi, nchi hii ina heshima kubwa epukeni kuaibisha nchi. Mnaowateua hawaombi kazi sasa iweje uropoke maneno ya aibu kwa taifa, libebe mwenyewe kifuani...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye mamlaka ya kutoa tamko la kiserikali Tanzania?

    Nimeona tamko la Nape, nikajiuliza yeye anayo mamlaka yakutoa tangazo kama lile? Kwanini kukamatwa na kuwekwa mahabusu watuhumiwa iwe jukumu la Nape kutangaza? Mfumo wa serikali upo vipi?
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa tuhuma za uhaini, Mamlaka zimvue Dkt. Slaa hadhi ya Ubalozi

    Kwa kuwa mamlaka zina ushahidi kwamba Dk. Slaa amefanya uhaini, ili kulinda hadhi ya cheo na utambulisho wa "balozi" nashauri Dk. Slaa avuliwe hadhi hiyo ambayo Ina heshma sana katika nchi hii. Akivuliwa hadhi hiyo, aendelee kuchangamana na akina Mdude kwa kuwa ndio level ya akili zake kwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Taa ya kuongozea magari Kinondoni Biafra inakaribia kuanguka, kodi kubwa tunazolipa zitumike vizuri!

    Wakuu, Hizi ni taa zipo Kinondoni Biafra, Dar. Moja imejishikilia vizuri wakati nyingine inakaribia kuanguka. Naamini kufanyiwa maboresho sasa ni bora na itakuwa gharama nafuu kuliko kusubiri ianguke iharibike zaidi. Kodi zetu ndio zinawezesha ukarabati huo kufanyika na kama ikiachwa ikaanguka...
  14. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi (watoto) kupakiwa mbele kwenye bodaboda wakati wa kwenda na kurudi shule ni hatari kwa afya. Mamlaka na wazazi hamuoni hili?

    Habari za alasiri hii ndugu wana JF, naandika kwa kughadhabika kinamna kutokana na upuuzi unaofanywa na baadhi ya wazazi huku mamlaka husika (Jeshi la Polisi) likiwa doro tu. Kuna huu utaratibu wa kuwapeleka watoto wadogo shule kwa kutumia usafiri wa boda boda. Mzazi anamkabidhi mtoto kwa...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hivi Tume za Uchunguzi zinazoundwa na Mamlaka lengo lake ni kutuliza upepo au kuzima matukio?

    Kwa miaka ya hivi karibuni kuna Ripoti nyingi zimewasilishwa za uchunguzi kuhusu matukio mbalimbali iwe ya vurugu, mauaji au tuhuma mbalimbali lakini changamoto kubwa ni kukosekana mwendelezo wa ripoti hizo ambazo huwa zinaundiwa Tume. Ninavyoona kuna matukio mengi ambayo yamezimwa kisiasa au...
  16. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

    Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe? Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mamlaka haziwaoni mateja kituo cha daladala Kawe? ni aibu kubwa sana

    Inatisha sana ukipita asubuhi eneo la Kawe Stand na kukuta makundi ya vijana wakivuta bangi na kujidunga sindano za dawa za kulevya huku wakisindikiza na pombe na energy. Inashangaza sana kwasababu kituo cha Polisi Kawe hakipo mbali na eneo lile, ni kama mita 250 hivi lakini vijana wale...
  18. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Mwanza Mamlaka ya maji taka Mjitafakari

    Ilipo Stand ya Igombe, Mtaa wa Posta Jijini Mwanza jirani yake kuna chemba ya kusafirisha maji machafu (Mavi) sasa chemba imefumuka ina wiki sasa. Eneo lile linatoa harufu ile mbaya, maji yanatiririka kiasi kwamba kuna chembechembe za vinyesi ambazo zinaonekana na kuhatarisha afya za watu...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania TMA yatahadharisha uwepo wa El Nino kwa Asilimia 90, Oktoba 2023

    TMA imesema hadi sasa imefikia asilimia 90 ya kuwepo kwa El Nino hasa kipindi cha mvua za msimu wa vuli zinazotarajiwa kunyesha Oktoba hadi Desemba mwaka huu katika maeneo mbalimbali nchini. Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya HewaTanzania (TMA) imesema El Nino inatarajiwa kuwepo katika kipindi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hili la bandari nalo likipita kwa ushwari uliolengwa na mamlaka, je ni kitu gani au jambo gani tena la kutuingiza barabarani kama nguvu ya umma?

    Kama kuna jambo ambalo limeamsha hisia na vuguvugu za kizalendo kwa kipindi kirefu kilichopita, na kupata sapoti ya wanazuoni wanaoheshimika ndani na nje ya nchi ni hili la bandari. Pamoja na kuwa wazi kabisa kwamba kuna kila dalili ya kuja kulilia huko mbele ya safari kuwa viongozi wetu...
Back
Top Bottom