mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM mtarajiwa, Mhe. Samia Suluh naomba utumie mamlaka yako ya uenyekiti utakaochaguliwa kuwadhibiti Nape na January

    Hayati Rais Magufuli alikuwa anapenda kutumia kauli"msema kweli ni mpenzi wa Mungu..." akimaanisha vitendo viovu vilivyokuwa vinaendelea na waliopewa madaraka kukaa kimya bila kusema ukweli. Ukiachana na ukweli kwamba kila binadamu ana madhaifu yake ambayo yanamfanya kutokuwa mkamilifu lakini...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha kuweka matumaini kwenye humanity zaidi, haya mataifa yanakuja na kutoweka, siyo mamlaka za kudumu za kiutawala

    Shalom, Wengi mnaweza msinielewe, hasa wale nationalists, lakini napenda kuwakumbusha tu kuwa kabla ya 1950 Afrika hakukuwa na mataifa ya Tanzania, Rwanda, Uganda, Kenya n.k Lakini pia kabla ya July 4, 1776 hakukuwa na taifa la Marekani, Canada kama taifa halikuwepo kabla ya July 1, 1867 n.k...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu Bungeni: Spika awaonya watakaovaa tai nyekundu

    Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi. Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
  4. Bikis

    JamiiForums Tanzania Wananchi waishio ndani ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro waomba washirikishwe katika kutafuta suluhu ya kudumu ndani ya eneo hilo

    Mhe Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Mama Samia Suluh Hassan, wakati wa kuwapisha makatibu wakuu na baadhi ya wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali aliagiza wizara ya maliasili na utalii inayongozwa na mhe.Dr Damas ndumbaro(MB) watafute suluhisho la kudumu ndani ya wenyeji waishio ndani ya mamlaka ya...
  5. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi ashuhudia jinsi baadhi ya maaskofu 'walivyoomba poo' baada ya kitisho kutoka kwa mamlaka

    Siku chache zilizopita, nilisema jinsi ambavyo Maaskofu tulivyoandamwa na mamlaka kwa vitisho hadi baadhi ya Maaskofu wakaamua 'kuomba poo' lakini wengine tusonga mbele! Sasa soma ushuhuda wa Mhashamu Baba Askofu Severine Niwemugizi wa Kanisa [Roman Katoliki] Jimbo la Rulenge - Ngara...
  6. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Maoni: Je, ni wakati sahihi wa kuanzishwa ofisi ya mamlaka ya mkaguzi mkuu wa hesabu ya serikali (Controller and Audit General Authority)?

    Ndugu Abbas Mwalimu , anafikiri sasa kuna haja ya kuipandisha hadhi Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuwa Mamlaka kamili yaani Controller and Audit General Authority (CAGA). Kwa nini anasema hivi? Kwa sababu kwa mtazamo wake, anaamini ikiwa mamlaka kamili...
  7. Informer

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Ubadhirifu wa Fedha wa Shilingi Bilioni 3.93 katika Mamlaka ya Bandari Tanzania

  8. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Wenye mamlaka turudishieni Kariakoo yetu

    WENYE MAMLAKA TURUDISHIENI KARIAKOO YETU: ```Kariakoo ni jina linaloitambulisha Kata Mojawapo ya Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 11106. Kata hii inakadiriwa kuwa na zaidi ya watu 13,780 waishio humo hii ni kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka 2012. Jina...
  9. Shoctopus

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asirudie makosa ya Mzee Kikwete; atumie mamlaka yake vizuri abaki madarakani beyond 2025

    Naamini Rais Kikwete angetumia mamlaka yake kukamilisha mchakato wa Katiba mpya kwa misingi ya rasimu ya tume ya Warioba angebaki madarakani hadi leo hii kwasababu zifuatazo: 1. Kwanza angejijengea heshima na upendo mkubwa sana kwa Watanzania kwa kuwaletea Katiba mpya iliyo bora kuliko hii...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya kiroho ndani ya mbingu - je, yalikuwa na pande mbili?

    Inaandikwa kwamba, basi Bwana Mungu akasema. NA TUUMBE MTU kwa mfano wetu. Hapa Bwana Mungu hakuwa pekeyake... Kulikuwa na mamlaka kamili ya kiroho juu mbinguni yaliyokuwa yanaongozwa na Mungu mwenyewe. Tafsiri nyingine ni kwamba tayari huko mbinguni kulikuwa na maisha mengine ya kiroho mpaka...
Back
Top Bottom