mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe realistic, haya mambo yalikuwa yana nafasi enzi za ujamaa sio dunia ya sasa

    Katika dunia ya sasa ya kibepari ni kuwapotezea vijana muda wao maana hiko kinachofundishwa huko JKT hakina applications mtaani. Vijana wanaenda kuchomeshwa jua miezi au mwaka ila wakirudi mtaani mazingira ya mtaani hayawapi nafasi ya kukiapply walichofundishwa. Ni lini viongozi wetu watakuwa...
  2. 5

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Urusi watimua mbio na kutelekeza mtambo wao

    Ni baadhi ya mitambo iliyotelekezwa hapo jana katika mashambulizi ya Wanajeshi wa Ukraine mpakani na Urusi ambapo Ukraine wamefanikiwa kuukombo mji wa Khakiv kwa mafanikio makubwa sana
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi anayohitaji kila mwanadamu

    Maisha ya mwanadamu yanahitaji vitu vikuu vinne:- Chakula Sehemu ya kulala Afya njema Mavazi Chakula Mwanadamu lazima ahakikishe, miaka yote anapata chakula stahiki, iwe bei imepanda au kushuka, na hii ataitimiza kwa kujiwekea miradi mbali mbali ya kibiashara, kilimo, na ufugaji. Ili...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club na ubunifu wa hali ya juu usio na tija

    Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ya kuzingatia kama nataka kujenga shule ya chekechea?

    Habari wanaJF, Nawaza kujenga shule ya chekechea, sio Dar, ni mkoani, eneo ni la kutosha na sehemu hiyo ni mji ambao unakaribia hadhi ya makao makuu ya wilaya. Je, nizingatie mambo gani muhimu ? Ahsanteni.
  6. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Hivi stendi ya daladala Sabasaba Dodoma wameshindwa kuwatenganisha wauza bidhaa za sokoni na parking za daladala?

    Nashindwa kuelewa, yaani eneo la nyuma ya stendi kuna soko la vyakula, ila cha ajabu sehemu zinapopark daladala zimezungukwa kwa kupangwa nyanya, viazi, machungwa nk. Yaani njia ya kupita shida pindi unapanda daladala, hata madereva wanalalamikia hili. Pia hupelekea watu kupigana kwa kunyaga...
  7. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi wa Yanga SC ni kama Kocha wa Simba SC naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF

    Taarifa za uhakika zinasema kocha Nasreddine Mohamed Nabi, naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF kumuwezesha kukaa kwenye benchi hapo kesho kwenye mchezo wa Champions League. Nabi ambaye msimu uliopita alikaa benchi kwenye mechi 2 dhidi ya Rivers United ana vyeti vya UEFA 'A' na UEFA-Pro...
  8. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo muhimu ya kuyafahamu kabla ya kuomba wazo la biashara mtandaoni

    Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa? Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii. Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
  9. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Putin ashinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya: CEO wa kampuni ya mambo ya uchumi Ulaya asema Ulaya inaelekea kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi

    Hatimaye Putin ameshinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya.C.E.O wa kampuni kubwa kabisa ya mambo ya uchumi Ulaya asema,"Ulaya hatimaye inaelekea katika mgogoro wa kibenki, kuanguka kwa viwanda, kaya na uchumi.Hii ni katika "wiki chache tu zijazo" amesema. 07 SEPTEMBA 2022  Tuomas Malinen...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Festo Sanga wewe ni mbunge mzuri sana usijiingize kwenye mambo ya Makamba yatakuchafua

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga achana na mambo ya kushabikia mambo yasiyoeleweka ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba yatakuharibia sifa uliyoanza kuijenga kwa wananchi wako. Jana wakati mjadala unaendelea kuhusu gharama za kuunganisha umeme, ulipost kwenye akaunti yako ya Instagram ukiituhumu...
  11. Jorge WIP

    JamiiForums Tanzania Usahili: Tutorial Assistant, Kuna baadhi ya mambo kuhusu written interview ningependa kufahamishwa

    Habari za wakati huu my virtual family JF Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
  12. Kainetics

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi ya kuzingatia kwenye Blog yako kabla ua kuanza rasmi

    Hello, natumai mu wazima. Kwenye kujaribu kuiongelea Blogging kwa kina, kutokana na maombi ya baadhi ya wadau, nimeona mwanzo kabisa uwe na Basics, na hapa ntaongelea mambo ambayo utahakikisha umeyaweka sawa kabla hujaendelea na swala zima la Blogging. Mengi ya haya mambo yatakua sio mageni...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 yaliyofanyika katika Wizara ya Elimu ndani ya muda mfupi

    Tangu alipoingia madarakani juhudi za Rais Samia Suluhu katika kuboresha huduma kama vile Elimu, Afya na upatikanaji wa Maji safi na salama ni vipaumbele vilivyo wazi. Baadhi ya jitihada muhimu zilizofanyika ndani ya muda mfupi katika sekta ya Elimu ni pamoja na; 1. Ujenzi wa Shule mpya za...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kutomsifia mpenzi wako ni kutengeneza urahisi wa kuachwa au kusalitiwa

    Unachohitaji kujua: Kinachosababisha mapenzi/mahusiano kufa wala sio mambo makubwa sana bali ni usimamizi mbaya wa kila siku wa mambo madogo madogo ya maisha. Hayo mambo unayoyaona kuwa madogo ndio mambo makubwa. Mfano, mawasiliano kati yenu, kujali, zawadi za hapa na pale kama maua, pipi...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ogopa mambo haya matatu!

    Ogopa mambo haya matatu! Anaandika, Robert Heriel. Yawezakana kuna mambo yanakuogopesha sana katika maisha yako. Lakini lazima uelewe kuwa yapo mambo makuu unayopaswa kuyaogopa Sana, tena Sana! Mambo hayo ni: 1. Dhambi 2. Umasikini 3. Ujinga 1. Dhambi/Uovu/ uhalifu Katika maisha yako ogopa...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mambo ipo huku

    Tanzania: Exchange rate to USD
  17. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Mageuzi yanaanzia juu. Je, Waziri wa Mambo ya Ndani yupo tayari kwa mageuzi?

    Kama kuna ajenda ambyo Mheshimiwa Rais wetu ameivalia njuga basi ni mageuzi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama pamoja ni mifumo ya utoaji haki! Katika hilo wanao nyooshewa sana kidole hadharani ni Jeshi la polisi, magereza pamoja na kidogo mahakama. Na huko sirini inawezekana kuna wengine...
  18. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri wa Kilimo aliagiza hivi kama sharti la kunufaika na pembejeo?

    Baadhi ya wilaya wanaoenda kujiandikisha kupata kunufaika na pembejeo wanaambiwa wawe na laini ya Voda na wanatakiwa kupiga picha. Mh wWaziri wa Kilimo tunaomba ufafanuzi upya kuhusu utaratibu tafadhali kuna watu wanajifanya miungu watu huku mtaani.
  19. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mila kandamizi katika jamii

    Jamii tunayoishi imekuwa na mambo mengi ya kustaajabisha ambayo ukikaa kuyatafakari Kwa undani yanatokana na mambo ya kimila, watu wamekuwa wakiishi Kwa mateso wakijua hayo ndio maisha Yao kumbe ni Mila gandamizi, mfano huku kwetu Kusini kumekuwa na Mila za kupeleka watoto wadogo umri wa miaka...
  20. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kule Kenya mambo ni moto

    Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Kenya IEBC bwana Wafula Chabukati katika kiapo chake mbele ya Mahakama ya juu Kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Urais yaliyompa bwana Ruto Ushindi alidai kwa alishinikizwa na deep state kubatislisha matokeo ya Urais. Hata hivyo hali ya hewa...
Back
Top Bottom