The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
Simba wamejaribu kufanya jambo tofauti lakini lisilo na tija. Nadhani ni wakati sahihi wa kufocus kwenye kubuni jezi kali ambazo zitashindana na za @yangasc1935
Habari wanaJF,
Nawaza kujenga shule ya chekechea, sio Dar, ni mkoani, eneo ni la kutosha na sehemu hiyo ni mji ambao unakaribia hadhi ya makao makuu ya wilaya. Je, nizingatie mambo gani muhimu ?
Ahsanteni.
Nashindwa kuelewa, yaani eneo la nyuma ya stendi kuna soko la vyakula, ila cha ajabu sehemu zinapopark daladala zimezungukwa kwa kupangwa nyanya, viazi, machungwa nk.
Yaani njia ya kupita shida pindi unapanda daladala, hata madereva wanalalamikia hili.
Pia hupelekea watu kupigana kwa kunyaga...
Taarifa za uhakika zinasema kocha Nasreddine Mohamed Nabi, naye anasubiri ruhusa (Approval) ya CAF kumuwezesha kukaa kwenye benchi hapo kesho kwenye mchezo wa Champions League.
Nabi ambaye msimu uliopita alikaa benchi kwenye mechi 2 dhidi ya Rivers United ana vyeti vya UEFA 'A' na UEFA-Pro...
Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa?
Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii.
Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
Hatimaye Putin ameshinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya.C.E.O wa kampuni kubwa kabisa ya mambo ya uchumi Ulaya asema,"Ulaya hatimaye inaelekea katika mgogoro wa kibenki, kuanguka kwa viwanda, kaya na uchumi.Hii ni katika "wiki chache tu zijazo" amesema.
07 SEPTEMBA 2022 
Tuomas Malinen...
Mbunge wa Makete, Festo Sanga achana na mambo ya kushabikia mambo yasiyoeleweka ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba yatakuharibia sifa uliyoanza kuijenga kwa wananchi wako.
Jana wakati mjadala unaendelea kuhusu gharama za kuunganisha umeme, ulipost kwenye akaunti yako ya Instagram ukiituhumu...
Habari za wakati huu my virtual family JF
Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance
Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
Hello, natumai mu wazima. Kwenye kujaribu kuiongelea Blogging kwa kina, kutokana na maombi ya baadhi ya wadau, nimeona mwanzo kabisa uwe na Basics, na hapa ntaongelea mambo ambayo utahakikisha umeyaweka sawa kabla hujaendelea na swala zima la Blogging.
Mengi ya haya mambo yatakua sio mageni...
Tangu alipoingia madarakani juhudi za Rais Samia Suluhu katika kuboresha huduma kama vile Elimu, Afya na upatikanaji wa Maji safi na salama ni vipaumbele vilivyo wazi.
Baadhi ya jitihada muhimu zilizofanyika ndani ya muda mfupi katika sekta ya Elimu ni pamoja na;
1. Ujenzi wa Shule mpya za...
Unachohitaji kujua:
Kinachosababisha mapenzi/mahusiano kufa wala sio mambo makubwa sana bali ni usimamizi mbaya wa kila siku wa mambo madogo madogo ya maisha. Hayo mambo unayoyaona kuwa madogo ndio mambo makubwa. Mfano, mawasiliano kati yenu, kujali, zawadi za hapa na pale kama maua, pipi...
Ogopa mambo haya matatu!
Anaandika, Robert Heriel.
Yawezakana kuna mambo yanakuogopesha sana katika maisha yako. Lakini lazima uelewe kuwa yapo mambo makuu unayopaswa kuyaogopa Sana, tena Sana!
Mambo hayo ni:
1. Dhambi
2. Umasikini
3. Ujinga
1. Dhambi/Uovu/ uhalifu
Katika maisha yako ogopa...
Kama kuna ajenda ambyo Mheshimiwa Rais wetu ameivalia njuga basi ni mageuzi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama pamoja ni mifumo ya utoaji haki!
Katika hilo wanao nyooshewa sana kidole hadharani ni Jeshi la polisi, magereza pamoja na kidogo mahakama. Na huko sirini inawezekana kuna wengine...
Baadhi ya wilaya wanaoenda kujiandikisha kupata kunufaika na pembejeo wanaambiwa wawe na laini ya Voda na wanatakiwa kupiga picha.
Mh wWaziri wa Kilimo tunaomba ufafanuzi upya kuhusu utaratibu tafadhali kuna watu wanajifanya miungu watu huku mtaani.
Jamii tunayoishi imekuwa na mambo mengi ya kustaajabisha ambayo ukikaa kuyatafakari Kwa undani yanatokana na mambo ya kimila, watu wamekuwa wakiishi Kwa mateso wakijua hayo ndio maisha Yao kumbe ni Mila gandamizi, mfano huku kwetu Kusini kumekuwa na Mila za kupeleka watoto wadogo umri wa miaka...
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Kenya IEBC bwana Wafula Chabukati katika kiapo chake mbele ya Mahakama ya juu Kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Urais yaliyompa bwana Ruto Ushindi alidai kwa alishinikizwa na deep state kubatislisha matokeo ya Urais.
Hata hivyo hali ya hewa...
ZINGATIA HAYA KIJANA ILI UWEZE KUAJIRIKA AMA KUJIAJIRI MAPEMA
Wimbi la ukosefu wa Ajira ni kubwa duniani kote sio tu Tanzania. Ni tatizo linalohotaji suluhisho la kimkakati ili kulipunguza kama sio kuliondoa kabisa. Wasomi kwa sasa ni wengi na kila mwaka wanaohitimu vyuo kwa ngazi mbalimbali ni...
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imebuni kanuni zitakazoweka kikomo na kuelekeza kile Magavana 45 walioapishwa hivi karibuni wanaweza kufanya na wasichoweza kufanya wanapokuwa Ofisini
Kupitia Sheria ya Uongozi na Uadilifu, Magavana hawataruhusiwa kufanya biashara kama vile raia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.