mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Changamoto za makadirio ya kodi na Tozo na upigaji tra

  2. N

    JamiiForums Tanzania Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kupitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa; Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango. Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya...
  3. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Channel za kiislam kuzungumzia zaidi mambo ya ndoa

    Mimi ni mpenzi sana wa kutizama channel za waislam hasa TV Imaan na Swahili TV ya mombasa. Changamoto inayojitokeza ni mijadala inayoendeshwa katika channel hizi mara nyingi huzungumzia mambo ya ndoa. Kupeana mapenzi moto moto kwa wanandoa (mawarda) na kuoa wake zaidi ya mmoja, kuna wengine...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Haya hapa Mambo 14 anayotaka Raila Odinga kwenye Pingamizi la Urais

    Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja One Raila Odinga na Mgombea Mwenza Martha Karua leo Agosti 22, 2022 waliwasilisha ombi katika Mahakama ya Juu, wakitaka kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa 2022. Katika ombi lao, Raila Odinga (mlalamikaji wa kwanza) na Martha Karua (mlalamikaji...
  5. Mkemia Fred James

    JamiiForums Tanzania Mambo yenye huzuni kubwa duniani

    1. Kusema "Kwaheri"kwa mtu unayempenda sana. 2. Kumuona unayempenda akifariki mbele ya macho yako. 3. Kumuona mama yako mzazi akilia kwa uchungu. 4. Kumuona baba yako akiteseka kulitafutia "ADA"ili akulipie wewe. 5. Kumpoteza rafiki/ndugu kwa ajali au ugonjwa fulani. 6. Kubezwa au...
  6. Kainetics

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi soma kitabu cha 'Animal Farm' unaweza fananisha matukio karibia yote na mambo yanayofanywa na hii Serikali Yetu

    Habari wana JF, sipendi ongelea sana sana mambo ya siasa, lakini kadri siku zinavyokwenda na mwelekeo wa maisha yetu in general unavyozidi kuyumbishwa, nazidi kujenga parallels na plot nzima ya moja ya vitabu vyangu pendwa, 'Animal Farm' kilichoandikwa na George Orwell. Yaani ni kama uongozi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA huwatetea wananchi kwenye mambo gani?

    Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani? Mungu ni mwema wakati wote!
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ipambane na suala la afya ya akili kwa Watanzania kabla ya kufanya mambo mengine makubwa.

    Hamjambo humu ndani? Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana. Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani. Vijana wa nchi hii wasomi kwa...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine kuyasema huenda ikaonekana ni aibu. Nina tabia ya kupenda Kila mwanamke Mzuri

    Kwema Wakuu! Natambua wapo wakubwa zangu humu ambao mnaweza nishauri na kuniongoza kwenye mazuri. Aisee! Nisiwe Mnafiki, sijui ni ugonjwa au ndio asili yangu, au asili ya kila Mwanaume. Nina tabia ya Kupenda kila Mwanamke Mzuri atakayepita Mbele yangu. Awali wakati Nabalehe miaka zaidi ya 10...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vuteni subira Manzoki atatua tu Simba SC, ila kuna Mambo muhimu Machache tunayakamilisha

    Tumeanza Kwanza leo na Kiungo Mkabaji Fundi Morice Chwuku kisha tunamalizana na ama Kumuuza Kanoute au Sakho ili Ceaser Lobi Manzoki atue Simba SC. Haendi Yanga SC msidanganywe.
  11. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuongezeka kwa saratani ya matiti kutokana na mambo ya mazingira na mtindo wa maisha

    Saratani ya matiti ni ugonjwa ambao seli kwenye matiti hukua bila kudhibitiwa na huweza kutengeneza uvimbe. Saratani ya matiti inaweza kusababishwa na mchanganyiko wa vinasaba, mazingira, homoni na mtindo wa maisha kwa wanawake. Kuna aina tofauti za saratani ya matiti, kwa kuwa wanawake wengi...
  12. Matendo Andrew

    JamiiForums Tanzania Mambo mengi ya Serikali yetu yanafeli kwasababu ya wanaoyaendesha ni wasomi

    Ukifuatilia wenye mafanikio makubwa Sana hapa nchini ni watu wa kawaida Sana kielimu. Hii unamaanisha kwamba tangu siku walipogundua kwamba hawana elimu kubwa waliamua kujisemea moyoni kwana natakiwa kua na vitu vikuu vitatu: UWAJIBIKAJI UAMINIFU NIDHAMU YA FEDHA Haya ndio Mambo tunayo wazidi...
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Dejan kawakosea nini? Mashabiki mbona mna mambo ya hovyo sana. Huo ni ubaguzi wa wazi michezoni, FIFA haitaki hayo mambo

    Dejan ni straika mpya wa Simba ,ni straika kweli kama umefuatilia timu alizochezea na magoli aliyofunga. Kacheza timu kubwa Ulaya na anafunga magoli mazuri sana, lakini mashabiki wa nchi hii wana mambo ya kitoto sana. Hicho mnachomfanyia Dejan sio ushabiki ni upumbavu ,na ni ubaguzi wa rangi...
  14. Mkemia Fred James

    JamiiForums Tanzania Fanya Mambo haya ili uheshimike katika Jamii

    1. Heshimu wengine,wakubwa kwa wadogo.Ukitaka heshima toa heshima. 2. Epuka kuwa mmbeya,fanya mambo yako. 3. Heshimu sheria na taratibu zilizowekwa maeneo mbalimbali. 4. Kuwa jirani mwema. Hujui leo na kesho. 5. Fikiri kabla ya kuongea chochote mbele za watu. 6. Jizuie kuweka ahadi ambazo...
  15. V

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo ya kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa

    Muhtasari: Dhumuni la nakala hii ni kuelimisha jamii kuhusiana na kanuni za kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa. Pia, kutoa hamasa kwa vijana na wajasiriamali mbalimbali kukuza mitaji na utajiri kwa kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Man United mambo magumu EPL, yapigwa tena 4-0 Agosti 13, 2022

    Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Manchester United, ndivyo ilivyo kwa kocha mpya wa timu hiyo, Erik ten Hag, ni baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-0 dhidi ya Brentford, leo Agosti 13, 2022. Huo unakuwa ni mchezo wa pili mfululizo kwa timu hiyo kupoteza katika Premier League msimu huu, ambapo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo haya yanaweza kuboresha Sekta ya Michezo nchini Tanzania

    Kwa muda mrefu sana nchi yetu imekuwa ikipambana kwa kila hali ili kuhakikisha inajiweka kwenye nafasi nzuri katika sekta ya michezo hususani kwenye mashindano ya kikanda, bara na yale ya kimataifa. Jitihada hizi zimekuwa zikifanyika mara kwa mara lakini bado mafanikio yake hayaendani na...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Nimejifunza mambo matano kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya

    Uchaguzi Mkuu wa Kenya umefanya nijue umuhimu wa utawala wa sheria na Katiba hasa kwenye masuala muhimu ya kusimamia haki za msingi za wananchi. 1. Hakuna Kupita bila Kupingwa 2. Mtandao Haukuzimwa (No VPN Needed) 3. Majukumu ya Vyombo vya Dola (Kulinda usalama wa Wapiga Kura na zoezi hilo)...
  19. Mag3

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuchutame, Uchaguzi Mkuu nchini Kenya umetuacha uchi

    Sina la kusema, nimepigwa butwaa. Najiuliza kama ule nilioushuhudia nchini Tanzania mwaka 2020 ulikuwa ni uchaguzi kweli. Tukubali tusikubali, huu uchaguzi nchini Kenya umetuvua nguo na kutuacha uchi wa mnyama na kama bado tunazo tuchutame. Nafuatilia matokeo yanavyotiririka kwenye TV na...
  20. Lee Swagger

    JamiiForums Tanzania Njia ya haraka sana ya kufa ukiwa mdogo ni kuendelea kufanya mambo haya

    Watu wanapoteza maisha, na kila siku tunawalilia. Hata hivyo tusichojua ni kwamba baadhi yao, hasa vijana, wanaweza kuwa wamechangia vifo vyao kabla ya wakati wao kwa kujihusisha na tabia fulani ambazo ni hatari kwa maisha yao ya kibinadamu. Baadhi yao hata hawatambui kwamba vitendo au tabia...
Back
Top Bottom