Kutomsifia mpenzi wako ni kutengeneza urahisi wa kuachwa au kusalitiwa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,372
8,108
Unachohitaji kujua:

Kinachosababisha mapenzi/mahusiano kufa wala sio mambo makubwa sana bali ni usimamizi mbaya wa kila siku wa mambo madogo madogo ya maisha. Hayo mambo unayoyaona kuwa madogo ndio mambo makubwa. Mfano, mawasiliano kati yenu, kujali, zawadi za hapa na pale kama maua, pipi, gadgets, aina za vyakula n.k.

Sio mpaka ugombane na mama mkwe au mashemeji na mawifi ukadhani ndiyo mambo makubwa sana ya kuyahofia, hata kutojibu text tu na kufanya kama mwenzako ataelewa uko busy, my friend utaachwa au kuibiwa babe yako mchana kweupe.

Mfano mwingine chukulia wote mnafanya kazi sehemu tofauti, hata mara moja hujawahi kumwambia mpenzi wako "babe umependeza", au leo unanukia vizuri, au babe leo lunch juu yangu", then anafika kazini kwake kuna kajamaa flani kako very active kumchangamkia na kumpa sifa kama zote, unategemea huyu mtu ataendelea kukufikiria wewe ambaye kazi yako ni kumvua tu ch**?

Babe wa ofisini kwa mpenzi wako lazima akusababishie msongo wa mawazo ukiendelea hivo nakwambia.

Badilika!
 
Mkishapata Watoto kama Wawili au Watatu. Na Mnaanza Kufuga Ng'ombe na Kuku ili Muongeze Pato Hapo Ndani Ndio Utajua Haya Mambo Yanatakiwa Yafanywe sana Mkiwa Bado Ni Vijana na Hamna Majukumu sana. Mpo mpo Mnaangaliana Sana Kimwili zaidi kuliko Kiuchumi na Ki-future ya Kizazi chenu.

Huwezi kukuta Mwanamke mtafutaji au Mwanaume Mtafutaji Akababaishwa na Kuchukuliwa na Mwanamke wake. Maana Ni kitu ambacho huwezi kukizuia Pale Mwenzako akitaka Kuamua Kufanya Hata Kama Unamjazia Sifa Kibao na Kumletea mizawadi, wakati Yeye anataka Mwanaume mwenye Prado au Anataka Mwanamke mwenye Tako.

Asante
 
Aiseee
 
Kwa uzoefu wangu na sio utafiti....ndoa inavokuwa na muda mrefu na wivu hasa kwa wanaume unaongezeka. Maana anakuwa na wasiwasi wa kulipwa kisasi na mkewe kutokana na MAPITO yake. Hivo anakaa mkao wa wasiwasi

Watu wazima umri mkubwa mkubwa wapo wanaume wengi tu wanaogopa hata kula chakula Kwa kuhofia kupewa kitu Cha kuulia PANYA hivo unakuta mwanaume akikuta chakula kimetulia kwenye hotpot HALI....mpaka aite watoto au mke nae ale aone au kipakuliwe aone ndo anakula.

Binafsi naamini yayo masifa mkuu aloyasema ni mazuri. Maana sehemu inapokaa watu 2 wa malezi tofauti inataka AKILI. Kwa sisi wanawake inataka UTULIVU PIA.
 
Unachohitaji kujua:

Kinachosababisha mapenzi/mahusiano kufa wala sio mambo makubwa sana bali ni usimamizi mbaya wa kila siku wa mambo madogo madogo ya maisha. Hayo mambo unayoyaona kuwa madogo ndio mambo makubwa. Mfano, mawasiliano kati yenu, kujali, zawadi za hapa na pale kama maua, pipi, gadgets, aina za vyakula n.k.

Sio mpaka ugombane na mama mkwe au mashemeji na mawifi ukadhani ndiyo mambo makubwa sana ya kuyahofia, hata kutojibu text tu na kufanya kama mwenzako ataelewa uko busy, my friend utaachwa au kuibiwa babe yako mchana kweupe.

Mfano mwingine chukulia wote mnafanya kazi sehemu tofauti, hata mara moja hujawahi kumwambia mpenzi wako "babe umependeza", au leo unanukia vizuri, au babe leo lunch juu yangu", then anafika kazini kwake kuna kajamaa flani kako very active kumchangamkia na kumpa sifa kama zote, unategemea huyu mtu ataendelea kukufikiria wewe ambaye kazi yako ni kumvua tu ch**?

Babe wa ofisini kwa mpenzi wako lazima akusababishie msongo wa mawazo ukiendelea hivo nakwambia.

Badilika!
Huo ni uzoba practice what you like, so it becomes dual habit, teach ur partner, don't always expect, initiate some glocalized customs that interests you the most either self created, copied, etc. It has come to my attention that occasionally is ever sweet than usually, kile kitu wala daily hukinaisha na kile kitu wala Kwa hamu na si ya nyumbani waiona tamu si haina mkereko always shangwe, especially if ni ya kutoka na wife au mume ya mtu na hata kama kila mtu ako na wake Kwa Nyumba.
 
Ukiwa na Mpenz Malaya Ni Malaya TU,
Hakuna excuse pale Malaya anapoamua kufanya umalaya wake,

Haijalishi,
Unapiga Simu kila saa,
Unatuma zawadi kila muda,
Unampeti peti na Maneno matamu,pesa n.k

Ila Kuna mhuni anamkaza,
Pesa zako unazompa anahongwa
Na akizingua jamaa anamchapa na vibao

Cha muhimu Ni feelings,
Tujifunze kuinvest moyo kwa wenye feelings na sisi, mapenz huja automatic
 
You nailed it buddy, it starts and generated from within about a person, am no sure of the organic and induced love, but I think love is belonging and attachment, once someone's belong and attached no excuses, variations ni perceptions za experience na mafundisho, and all these have to be shared across to bring long-term onenes all the time, haya maswali hua nauliza what has made you be with me especially on permanent terms?what has typically moved you into me that will last throughout ur life? What will keep you away from other men's traps in my absence? how do your feelings get traps so easily or fast at glance on a man, what is the impact of a person look, belongs, signs of richness, money, cure of thirsty, hunger with plenty food and nice foods (tamaa na kujizuia, na kutohisi kujikataa au kujutia kwa kutokuwa na kitu fulani nyakati hizo au wakati huo, how impactful are the words of friends, how independent are you in perceptions, perspectives etc.

Note that: Brain is particularly very important than tangible parts to do with a woman. Most of the peace and happiness btn couples hinges on effective communication, (not only others apply).

Mwinuka zeze!!
 
Back
Top Bottom