malipo

  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hai, Kilimanjaro: Mgomo kuhusu malipo ya semina ya sensa

    Leo unatarajiwa kufanyika mgomo kuanzia mchana na watu waliopewa semina ya sensa kudai malipo yao ya zaidi ya siku 10. Watu wamejipanga ikifikia hadi mchana wa leo hawajalipwa watagomea semina hiyo.
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu na TCRA +BOT wanashindwa kuzuia malipo yanayoenda kwa akaunti za Mange Kimambi? Zinafadhili uhalifu

    Hizi Hela zinatoka katika akaunti za mpesa/tigo/halotel/Airtel. Watu hulipia Application ya Mange kutokea makampuni hayo, kwa wingi. Watanzania wengi hawana ujanja wa kutumia Mastercard and the like, ni ku-highlight destination ya Hela inakotumwa na kuingiza mfumo wa ku-block transaction...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mgawanyo wa fedha za malipo ya marehemu

    Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua mgawanyiko wake unakuwaje tuko watoto sita na mama , kuna jambo moja nataka kuongeza hapo sisi watoto...
  4. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa malipo kwa ajili ebusiness

    Habari za mida wakuu, Kama kichwa kinavoeleza naomba kijua jinsi gani naweza tengeneza mfumo wa malipo kwa website yangu.
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Sidney Sweeney analalamika malipo anayolipwa hayamtoshi kuishi

    Sidney ni Hollywood Star ambae analipwa $25,000 kwa episode moja. Anasema kati ya hizo 10% inakwenda kwa agent wake, 5% ni ya lawyer na 3% ni ya meneja. Hela inayobaki baada ya tax ndiyo anaishi nayo yeye. Analalamika amechoka kufanya kazi na anataka kuchukua likizo ya miezi sita kutuliza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TCRA Wafungie API za malipo ya Selcom kwenye app ya Mange Kimambi

    Tunawapongeza TCRA kwa kuifungia app ya Mange Kimambi, kwa TZ mpaka uwe na VPN ndo unaipata. Lakini Hilo halitoshi kwani Bado anaendelea kuwachangisha Watanzania kupitia Selcom. Yaan watu wanalipia upumbavu na ikiukwaji wa maadili kwenye app yake. TCRA tunajua mna uwezo wa kumwambia Selcom...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa malipo serikalini (MUSE) ndio unaoua morali za watumishi na kuchelewesha maendeleo nchini

    Habari! Huu mfumo si mpya sana maana una miaka zaidi ya miaka 2 hivi hapa nchini tangu uanze kutumika. Ni mfumo wa Kidijitali wa pamoja wa malipo ya kiserikali. Mfumo huu ni mwiba kwa wahasibu wezi na watumishi mafisadi. Ulianzishwa na serikali ya Magufuli. Uliweza kufuta matumizi ya check...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Wacongo Yanga Princess wasHtaki FIFA kudai malipo

    inaiskitisha sana, dah kwa hiyo mkatooka congo hadi ......he :D😜
  9. A

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

    Tanzania ni moja ya nchi ambazo huduma za kununua na kulipia ving'amuzi zinafanyika kwa kasi sana, hasa baada ya ushindani kuongezeka miaka kadhaa nyuma kutoka kampuni moja ambayo ilitawala soko kupata ushindani kutoka kwenye kampuni mpya zilizoanzishwa hasa moja ambayo ukuaji wake umechangiwa...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje kama ukiwa umejisajili NSSF halafu haufanyi malipo?

    Mimi nilijisajili NSSF mwezi May. Kulingana na taratibu za ofisi yetu bado mwajiri wangu hajaanza kutuma hiyo fedha huko. Hivi kule wananiandikia deni au inakuaje? Msaada wakuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kulikoni malipo ya TARURA kwa Wakandarasi

    Kwa uaratibu kila mkandarasi anapomaliza kazi na kukaguliwa na watalaam anatakiwa alipwe haki zake. Wengi wa wakandarasi wanaotekeleza miradi ya TARURA hatujalipwa licha ya kumaliza kazi na kukaguliwa. Kwa vile mwaka wa Serikali mwisho ni tarehe 30 Juni kila mwaka tulitarajia tutalipwa...
  12. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Sera ya matajiri wakubwa nchini kuwa Raia wenye asili fulani na kazi fulani iwe yenye malipo makubwa zibadilike!

    Wakuu Poleni na majukumu. Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi. Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaidia mtu ambae mnajuana kidogo au humjui kabisa bila malipo / masharti na siku za mbele akaja kukusaidia ili kurudisha fadhila

    Huwaga naskia kuna stori kwamba kuna watu huwa wanakuja kusaidiwa huko mbele ya safari na watu wasiowajua ama kujuana kwa mbali ambao waliwahi kuwasaidia kipindi ha nyuma. Je, wewe ni moja wapo ama una mtu unaemjua uliewahi kushuhudia kaja kusaidiwa na mtu ambae aliwahi kumsaidia na walikuwa...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure

    Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao imefutwa. Hivyo elimu bila ada itakuwa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Pia inaangaliwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Malipo ya posho kwa watumishi

    Naomba kuuliza posho hulipwa kwa ngazi ya elimu au ngazi ya mshahara? Hii inakaaje ,mwenye ufafanuzi plz your welcome
  16. S

    JamiiForums Tanzania Hivi wabunge wanaovuliwa Ubunge mikopo yao hulipwa na Serikali au hukatwa kwenye malipo yao ya kiinua mgongo?

    Hili ndio swali ninalojiuliza hasa ninapotafakari nguvu kubwa inayotumika kuwalinda Halima Mdee na wenzake baada ya chama chao kuwavua uanachama. Kama wamechukua mikopo(bila shaka wamechukua), mikopo hiyo italipwaje iwapo watasitishiwa ubunge wao na ukizingatia wako wengi na mikopo ya wabunge...
  17. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama Halima aliahidiwa kazi ya kukopwa miloni 30+ ili akimbie nchi. Hawa wapinzani vinara Lissu na Lema wamepewa kazi ya malipo kiasi gani?

    Kama ni binadamu wa kawaida, mchambuzi mzuri wa siasa na mwanaharakati huwezi Sasa kukosa mashaka juu ya Mwenendo wa Freeman Mbowe tokea awali kabisa. Uwenda anajenga upinzani bandia na wanaharakati hutumika kuwapumbaza tu. Anasema alikuwa tayari kumuajili mdee South je kafanya hivyo kwa Lema...
  18. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Kikokotoo(Mafao): Rais Samia anastahili pongezi kwa hili

    Jana, statement toka Ikulu ilieleza kuwa Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya Pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi, 2022), ambapo sasa amekubali ombi la kupandisha malipo ya mafao, kutoka 25%...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Malipo ya hisa zangu

    Ninazo hisa kadhaa kwenye Makampuni mbalimbali lakini sijapata malipo yangu kwa muda mrefu. Nimesikia kuwa kuna kampuni inaweza kunisaidia kufuatilia mgawo wangu wa hisa zangu. Ninawaomba kama mtu anaweza kunipa jina la kampuni hiyo, namba ya simu au barua pepe anisaidie ili niweze kuwasiliana...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Nigeria yaharamisha malipo ya fidia kwa watekaji nyara

    Bunge la Seneti la Nigeria limepitisha mswada wa kifungo cha miaka 15 jela kwa kulipa fidia ili kumwachilia huru mtu ambaye ametekwa nyara, na adhabu ya kifo kwa uhalifu wa utekaji nyara ambapo mwathirika hufariki Muswada huo, ambao unarekebisha sheria ya ugaidi ya Nigeria, unaamuru hukumu ya...
Back
Top Bottom