malipo

  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mkuu wa Mkoa asema walimu wanaodai malipo kwa wanafunzi wachukuliwe hatua

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema ameagiza kuchukuliwa hatua za kisheria walimu watakaobainika kudai malipo kwa wanafunzi akisema elimu ni bure. Amesema hayo wakati akifungua kikao cha Wadau wa elimu Mkoa wa Shinyanga, leo Alhamisi Machi 3, 2022 chenye lengo la kujadili maendeleo ya elimu...
  2. klinbritetz

    JamiiForums Tanzania Hesabu za kampuni na kodi

    sajili kampuni yako leo kwa bei nafuu, 1. LTD - 125,000 tu 2. JINA LA BIASHARA- 10,000 tu 3. kuandika Memorandum.... huduma nyingine ni pamoja na 1. Audit of annual financial statements 2. Monthly VAT Return 3. Registration of employees for taxes SDL AND PAYE 4. Monthly payroll (TRA taxes...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Malipo ya kazi ya anuani za makazi Ilala yawe ni kidogo sana?

    Habarini, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli nimefurahishwa na huu mpango wa anuani ya makazi na postikodi ambao kwa namna moja au nyingine litawezesha vijana kupata ajira hizo za muda mfupi. Kilichonisukuma kuandika ni kuona vijana watakaofanikiwa kupata kazi hizo kulipwa ujira...
  4. Little brain

    JamiiForums Tanzania Simba wanavyozinyonga timu pinzani wanasahau malipo ni hapa hapa duniani.

    wakati mnashangilia points za mchongo mnazopewa bila jasho kumbukeni timu mnazozifanyia uchafu hamjacheza nazo kwao. Prison,Namungo,Coastal,mbeya kwanza,geita Malipo ni hapa hapa hatutaki kusikia mambo ya bahasha wala GSM.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya kufiwa na mzazi, mke au mtoto kwa mtumishi wa umma

    Za mda huu wana jamvi Ningeomba kujua je kuna malipo yeyote kwa mtumishi wa umma kama alifiwa na mzazi,mke au mtoto wake?
  6. sanalii

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme tukanunue wote vifaa original, malipo 50,000 to 100,000

    Fundi wangu nilimuamin ila naona ameamua kunizidishia bei ya vifaa, na hakuzidisha elfu mbili au tatu, vipo alivyozidisha hadi asilimia nyingi. Mfano kifaa cha 15,000 ameandika 35,000 huu ni upigaji mkubwa sana, Mimi sina uzoefu wa vifaa vya umeme nahofia kuuziwa fake
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na malipo kwa masikini wa TASAF bali ianze kuwalipa pesa walemavu wote wasio na ajira

    Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa mtandao wa www.dq-video.xyz unaohusu malipo baada ya kutazama video

    Habari wakuu? Ningependa kufahamishwa juu ya huu mtandao unaohusika na malipo ya USD 400 baada ya kutazama video online kama ni halali au utapeli. Yeyote mwenye ufahamu wa huu mtandao naomba anipe maelezo.
  9. K

    JamiiForums Tanzania KULIKONI MALIPO YA WAKANDARASI

    Mkandarasi anawajibika kutekeleza mradi aliyopewa kwa kiwango kinachokubalika na baadaye hukaguliwa na kama mradi umekidhi kiwango basi anatakiwa kulipwa haki yake. Kwa siku za karibuni mambo siyo rafiki sana kuhusu malipo ya Wakandarasi hasa TARURA.. Mkandarasi unamaliza kazi na hatua zote...
  10. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Tozo za visima hazina uhalisia - mtazamo wangu

    Nilikuwa nasoma jarida moja nikaona kuwa mtu akichimba kisima kwa ajili ya matumizi yake ya nyumbani anatakiwa kulipia kodi ya shs 8,300 kwa mwezi. Wakati huo huo matumizi ya kawaida ya nyumbani kwa maji ya Dawasco hulipia kati ya 4000 na 10,000 hivi. kwa namna nyingine ni kama vile watu...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, kukataa pesa iliyochakaa kama malipo ya bidhaa na huduma ni kosa kisheria?

    Mfano mtu amepewa huduma fulani, ila wakati wa kulipa akatoa noti iliyochakaa (halali na haijkatika sehemu yeyote ile), endapo yule mtoa huduma atakataa kuipokea nyaraka hiyo halali kabisa ya serikali kisa imechakaa, ni kosa kisheria?
  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Serikali imelipa zaidi ya 2.9 bilioni kama riba ya ucheleweshaji wa malipo kwa makandarasi, Prof: Assad anajifunza nini hapa?

    Wakati ujenzi wa kipande cha Dar – Morogoro ulitakiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 30 baada ya kuzinduliwa, na muda huo umepita, haifahamiki sababu za kuchelewa kwake wala siku ya kuanza kutumika. CAG Charles Kichere alibainisha katika ripoti yake ya miradi ya maendeleo ya mwaka 2019/20...
  13. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Hivi waamuzi wa Mpira wa Miguu Tanzania wanalipwa vizuri kweli? Tusilete lawama bure tu!

    Habari wanamichezo na wapenda soka wote ndani na nje ya Tanzania. Haya mambo yamekuwa yakijirudia mara kwa mara katika misimu yote ya ligi kuu ya Tanzania kwa sasa 'NBC Premier League' kuhusu lawama kwa Kunguru wetu hawa wa mpira. (Referees) Tutafute hoja za msingi na mambo yanayoleta yote...
  14. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Employee Share Option Plan-Mfumo wa malipo kupitia Haki za Umiliki(HISA)

    Habari za wakati huu; Katika kufanya kazi na wajasiriamli wengi huwa nakutana na wale ambao huwa wanatafuta Mbia(Partners) kwa sababu mbalimbali ikiwamo mahitaji ya mtaji,ujuzi,connnection etc.Wengi wao huwa wanjua nini wanataka na suluhu yake ni nini ili wanakuwa hawajui namna bora ya...
  15. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Waisilamu changamkieni fursa kipindi hiki cha uhaba wa maji

    Thawabu Za Kutoa Maji Katika Uislamu: Sababu Saba Za Kujenga Kisima cha BURE Maji ni neema kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt) ambayo mara nyingi tunaichukulia kawaida, lakini wakati wa ukame, kupitia rehema za Mwenyezi Mungu, tunazidi kufahamu shida zinazowakabili wale wasio na maji salama...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Malipo ya Wabunge tangu uhuru yanaakisi maendeleo?

    Miaka sitini ya Uhuru inaendana na malipo ya wabunge kila mwezi ukilinganisha na uhalisia wa majimbo? Kwanini kila kikao cha bunge ni hoja za maji maji.Hatuna mbinu mbadala maji kiwe kipaumbele?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya fao la kukosa ajira kila mwezi (33.3%)

    Ndugu wana JF, Nimekuwa naomba kupewa muongozo kuhusiana na hayo malipo ya NSSF. Kwa ufupi baada ya kufatilia kwa muda wa miezi mitatu nilifanikiwa kupewa instalment ile ya kwanza (33.3%) ya basic salary, tarehe 7 mwezi wa kumi. Kinachonitia shaka sioni update yoyote ya invoice ya pili, kwa huu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote!

    Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora === SERIKALI imesema watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Malipo kupitia NCARD wakati mwingine ni changamoto! Wanafyeka pesa bila taarifa

    Hawa jamaa wa NCARD sometimes Yes sometimes No! Wapo kianalog analogi sana! Mwanzoni January walinifyeka 10000 bila kutumia chochote. Nikapiga customer care wakaahidi kushughulikia lakini holaa! Juzi tena nimeweka elfu hamsini nayo wakalamba kimya kimya bila kutumia! Taarifa nimewapa lakini...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kulikoni malipo ya TARURA kwa Wakandarasi?

    Kama ilivyo taratibu Mkandarasi ukiishamaliza utekelezaji wa mradi uliopewa na TARURA kwa kipindi husika na ikakaguliwa vizuri na kukidhi viwango unatakiwa ulipwe katika muda wa wiki moja. Wengi wa Wakandarasi wamemaliza baadhi ya miradi waliyopewa na TARURA na mpaka sasa hawajalipwa licha ya...
Back
Top Bottom