Kenya yasitisha malipo ya Ruzuku ya Unga

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Wakenya watalazimika kuanza kununua Unga kwa bei ya juu baada ya serikali kusimamisha Mpango wa Kitaifa wa Ruzuku ya Unga wa Mahindi kutokana na uhaba wa fedha

Waziri wa Kilimo, Peter Munya kupitia taarifa yake leo amethibitisha hilo kwa maelezo kuwa Hazina ya Taifa haijatoa pesa za Ruzuku mpaka sasa

Mwezi uliopita, Rais Kenyatta aliagiza kushushwa kwa bei ya Unga nchini kote ili kuwapunguzia makali ya maisha wananchi kutokana na mfumuko wa bei

Baada ya agizo hilo bei ya kilo 2 za Unga ilikuwa Tsh. 1,954 (KSh. 100) kutoka Tsh. 4,397 (KSh225).

=============

Kenyans will have to go back to digging deeper into their pockets after the government on Saturday suspended the National Maize Flour Subsidy Program due to inadequate funds.

Agriculture CS Peter Munya in a memo said that the suspension was due to inadequate funds from the treasury.

“Due to inadequate exchequer releases from the National Treasury, it has been decided that, the Maize Flour Subsidy Program be suspended with immediate effect,” Mr Munya said.

Last month, President Uhuru Kenyatta announced stimulus measures to cushion Kenyans against the high cost of living, effectively lowering the cost of maize flour.

The Head of State said a 2kilogram-packet of Unga would retail at Sh100 down from an average of Sh225 following talks with millers at State House, Nairobi.

“I note with regret that the cost of a 2 kg pack of maize-meal remains out of reach for many, as it is currently retailing at an average of Sh205,” Kenyatta said after a meeting with Millers at State House.

He announced the suspension of the Railway Development Levy and the Importation Declaration fee, effectively lowering the cost of a 2-kilogram maize flour to Sh100.

“As a consequence of this continued escalation in food prices, I today announce Fiscal Measures focused on food Subsidy, as our Fifth Stimulus Programme covering the supply and distribution of our nation’s staple food – maize meal, across the entire country,” he said.

NATION
 
Wangeendelea kuwapa ruzuku ya unga mpaka joto la uchaguzi lipoe. Maana njaa nayo nishida sana. Ina weza kumfanya mtu alianzishe, kumbe njaa ndiyo ina mtuma. Serikali itumie tu busara ya kawaida kuendelea kutoa ruzuku. Itasidia kupunguza vurugu na kuleta utengamano.
 
Back
Top Bottom