malipo

  1. A HUMBLE LEADER

    JamiiForums Tanzania NECTA, kwanini msitumie teknolojia ya malipo kwa wasimamizi wa mitihani ili kuepusha malalamiko kama mkoani Tabora?

    MKOANI TABORA Wasimamizi wa mitihani ya NECTA ya Darasa la nne,kidato cha pili na cha nne walioitwa kwenye semina maalumu pale AMUCTA tarehe 15 na pale Themi Hill tarehe 17 wamelalamika kutolipwa posho za semina na nauli kwa kisingizio eti muongozo wa malipo haujatoka kutokea NECTA...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Sheria zitenganishwe na Malipo ili zitekelezeke vinginevyo tunajidanganya

    Tatizo kubwa la utii wa sheria atika nchi za kimasikini ni kugeuzwa vyanzo vya mapato! Vinginevyo kama kweli tunataka utii wa sheria basi utekelezaji wake utengwe mbali na tozo au malipo yoyote! Mfano! Vibali Vya ujenzi viwe ni BURE KABISA na vitolewe kwa wakati ikiwezekana ndani ya siku moja...
  3. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu Walala ofisi ya Mkurugenzi Buchosa Mwanza, wakishinikiza malipo

    Huu ni uonevu mkubwa,walimu wanashindwa kupewa kipaumbele na kuanza kulalamika hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili. Taifa hili tunafika kubaya, nchi imeishiwa pesa hata ya kulipa mishahara walimu. Hao katika video ni walimu wa shule za sekondari halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Internship bila malipo kwa wakazi wa Arusha wilaya meru

    Wana jamvi, aliye somea COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii), HUMAN RESOURCES MANAGEMENT, mnakaribishwa kuomba Internship kwa wale mnaotaka kujifunza kazi hapa ndio pahala penu. Internship haina incentives au malipo yoyote ni kazi ya kujitolea kwa wanaotaka kujifunza kazi. tumeni c.v...
  5. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Weka mfumo wa malipo unaotumia M-Pesa na Airtel Money kwenye tovuti yako

    Unapofanya uamuzi wa kuanza biashara yeyote unahitaji kujitengenezea kipato kizuri. kwa kuzingatia ubora na utofauti wa bidhaa unazoziuza. Unaweza ukapata wateja wengi na biashara yako ikakuwa kwa haraka. Kwa sasa tumekuwa na biashara nyingi sana. Wengi wetu tukisahau kuwa kuna biashara...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndio malipo na faida za Mawaziri wa Kenya ikiwemo kulipwa Tsh Milioni 17.6 kwa mwezi

    Wakati Baraza la Mawaziri la Kenya lililoteuliwa wiki hii likisubiri kuidhinishwa na Bunge imebainika kuwa malipo ya mwezi kwa kila Waziri ni Ksh. 924,000 (Tsh 17,656,624). Malipo hayo yanajumuisha Mshahara Ksh 554,400 (Tsh. 10,593,974), posho ya nyumba Ksh.200,000 (Tsh. 3,821,780) na malipo ya...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Waislamu hutoa sadaka kisha husubiri malipo siku ya hukumu, wakristo tunatoa sadaka kisha tunasubiri baraka

    Habari! Ninaandika hapa si kwa lengo la kuichafua dini (njia) yangu ya Kikristo bali kuwapa changamoto kidogo wakristo wenzangu. Yesu alisema hazina zetu zilipo ndipo roho zetu zitakapokuwepo. Hapa alimaanisha sadaka tuitoayo ina nafasi huko mbele. Kwa maana nyingine ni kwamba tusipende kuvuna...
  8. Execute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa miaka ishirini amekubali niweke bili na malipo ni siku za matumizi.

    Tumekubaliana kila nikihitaji nimwambie awe anakuja. Atakuwa ananitumia ratiba yake ya mzunguko kila mwezi ili nisimuite siku zisizokuwa nzuri kwake. Uzuri ni kwamba tumeshapima na bei/tozo elekezi tumekubaliana.
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali inaangalia uwezekano wa kuongeza malipo ya mafao ya wastaafu

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema uamuzi wa kuongeza malipo ya kila mwezi utafanyika baada ya tathimini kuona uhimilivu wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Ndalichako alikuwa akijibu swali kuhusu kuwalipa warithi 67% ya...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwa namna hiyo siri za nchi zitakuwa salama vipi kama CS mstaafu anazungushwa malipo yake?!

    Kwa mjibu wa gazeti la Mwananchi aliyewahi kuwa Katibu Mkuu kiongozi bwana Martin Lumbanga hadi wa leo hii anazungushwa kulipwa haki zake.
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Haya hapa malipo ya kustaafu ya Rais Uhuru Kenyatta

    Rais Uhuru Kenyatta atakuwa akipokea angalau Tsh. Milioni 668.5 kama sehemu ya malipo yake ya kustaafu baada ya kukaa madarakani kwa miaka 10. Kulingana na marupurupu yaliyoainishwa katika Sheria ya Mafao ya Kustaafu ya Rais ya 2013, Rais anayemaliza muda wake ana haki ya malipo ya mkupuo...
  12. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Njia ipi bora ya mimi kupokea malipo kutoka kwa provider hawa

    .
  13. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yasitisha malipo ya Ruzuku za unga, madeni yazidi

    Wizara ya Kilimo imethibitisha uamuzi huo huku ikitaja sababu kuwa ni kuzidiwa na malimbikizo ya madeni yaliyopelekea wafanyabiashara wa kati kulipwa mamilioni ya pesa huku wauzaji reja reja wakikosa zabuni. Wasagishaji Unga wamelalamikia uamuzi huo unaoanza leo Septemba 2,2022 wakidai kuwa...
  14. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Makarani wa sensa hawatalipwa malipo yaliyobaki kama hawatafikisha kaya 100 kila mmoja

    Mtakwimu mkuu wa serikali NBS, Dr. Albina Chuwa amewatahadharisha makarani kuwa hawatalipwa kiasi cha malipo kilichobaki endapo hawatafikisha kaya 100 kila mmoja, wakati akieleza mwenendo wa zoezi hilo tangu kuanza kwake mpaka hivi sasa. Amesema lengo ni kuhakikisha watu wote wanahesabiwa. Dr...
  15. polokwane

    JamiiForums Tanzania SERIKALI : pesa za malipo ya makarani mngelipa direct kutoka hazina , hizi mlizo peleka halmashauri kuna halimashauri hazijawalipa makarani hadi sasa.

    Hiii nchi na serikali kuu mnaziamini bado halimashauri hizi kwenye maswala ya fedha lakini bado zina misingi ya hovyo tangu kuumbwa kwake, wamejaa mchwa na wezi huko. Mnahabari Hadi sasa kuna halmashauri hazijawalipa makarani wao zaidi ya kulipwa pesa ya awali ya siku 5 tu za semina na bado...
  16. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana, ajira mtandao vilio njia za malipo

    Peter ni rafiki yangu na ni kijana wa miaka 27, mjasiriamali na anatumia mitandao kujitaftia riziki. Vilevile ni mtaalamu katika masuala ya uundaji na uendelezaji wa tovuti(website designing and development), pia ni mtaalamu wa kuunda picha na uchoraji (graphic designing). Katika harakati za...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nataka kuandika kitabu nikipeleke kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji? Malipo yapo vipi? Kuna uaminifu katika kunipa mgao wangu?

    Habari zenu wana Jamii forums. Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana kwenye stationary na naduka ya vitabu. Kabla sijaanza kukiandika nimeona ni vema niyajue kwanza...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nataka kuandika kitabu, nikipeleke kwenye kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji ? malipo yapo vp ? kuna janja janja zipi za kukwepa ?

    moved
  19. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuwapa vijana wazo la ujasiliamali/biashara baada ya malipo ya kazi ya zoezi la sensa kuisha

    Wasalamu! nawasalimu wote kwa jina la tozo ziendelee. Tunaishukuru serikali kwa kusikia ombi letu la kuwapa ajira ya mda vijana wasio na ajira kwenye zoezi la sensa ya watu angalau vijana wachache waliobahatika kupata nafasi hio wataambulia kitu baada ya zoezi kuisha. Si chini ya sh milioni...
  20. Stroke

    JamiiForums Tanzania Li Jinglan Mkalimani wa Nyerere aliyefariki akisubiria malipo ya fidia dhidi ya NHC kwa miaka 19

    Mkalimani wa Mwalimu Nyerere Bi. Li Jinglan amefariki Agosti 5 huku akisotea malipo ya Tsh. 1. Bilioni alizoshinda kama fidia dhidi ya NHC. Baada ya kushinda kesi mwaka 2003 dhidi ya NHC na Nyingine mbili, Mkalimani huyo wa Mwalimu Nyerere hakuwahi pata malipo yake. Pole Bi. Li Jinglan.
Back
Top Bottom