NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,526
- 17,431
Wakuu
Poleni na majukumu.
Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi.
Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko yake ni wazawa kutopewa kipaumbele na serikali kwenye fursa za uchumi kama waliyopewa wageni hasa Raia wenye asili Asia.
Kwamba Raia wenye asili ya Asia walipewa kipaumbele na sapoti ya kutosha katika uwekezaji wao kiuchumi KULIKO wazawa na Hii ilileta pengo kubwa la utajiri Kati ya wazawa na Raia Hawa wenye asili ya Asia Hadi leo.
Majina yanayowika kwenye uchumi wetu Hadi leo ni ya Hao raia KULIKO sisi wenyewe!!
Ni dola pekee inayoamua mambo hata wala sio utashi wa mtu mmoja na hilo hufanywa KWA sababu mbali mbali wanazijua wao.
Umefika wakati wa kubadili sera hii na sisi wazawa tuwe matajiri ndani ya nchi yetu wenyewe kama ilivyo huko marekani ambapo matajiri wazawa Ndio wameshikilia uchumi wa nchi hiyo Hadi leo.
Sioni faida tena KWA dola kuwapendelea wageni na kuwasahau wazawat kama ilivyo Sasa.
Pia kazi ya siasa kuwa ya malipo makubwa Sana KULIKO nyingine na kama ualimu,udaktari na nyinginezo ni kujali kundi dogo la watu kuacha Kundi kubwa la wananchi ambao wangesaidia kukuza mzunguko wa uchumi KULIKO Sasa.
Sera hizo mbili ambazo zimeratibiwa na wenye Dola zinapaswa kubadilika kuendana na nyakati za sasa!!
Naamini wenye dola watafanya Mabadiliko ya kimfumo kuelekea katiba Mpya ijayo Ili kuondoa Hali iliyopo inayowafanya wananchi kuwa watumwa katika nchi yao huku wageni wakiwa maboss!!
Naendelea kuamini yupo mtu anaandaliwa na dola ambaye atakuwa Rahisi kuendana na Mabadiliko hayo.
Mungu ibariki TANZANIA