Kulikoni malipo ya TARURA kwa Wakandarasi

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Kwa uaratibu kila mkandarasi anapomaliza kazi na kukaguliwa na watalaam anatakiwa alipwe haki zake.

Wengi wa wakandarasi wanaotekeleza miradi ya TARURA hatujalipwa licha ya kumaliza kazi na kukaguliwa.

Kwa vile mwaka wa Serikali mwisho ni tarehe 30 Juni kila mwaka tulitarajia tutalipwa kabla ya tarehe hiyo lakini hali imekuwa kinyume na matarajio yetu.

Tunaomba tulipwe ili turudishe mikopo ya mabenki.
 
Back
Top Bottom