malezi

Malezi School is a private educational institution based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nilichekwa sana Style yangu ya malezi ila leo hii watu wanatamani kuniiga

    Ni changamoto kubwa katika malezi hasa kwa sisi ambao kuna visenti kidogo huwa tunajikuta tunataka kulea watoto kizungu sana na kuwa na visingizio kama "sitaki mtoto wangu apitie shida nilizopitia" na kujikuta tunalea watoto ndivyo sivyo 1. Mwanzoni mtoto wangu alikuwa anasoma wanatoka saa 11...
  2. J

    JamiiForums Tanzania MALEZI: Aina za Kutelekeza Mtoto

    Kutelekeza watoto hufafanuliwa kama "aina ya unyanyasaji ambao unamaanisha kutompa mtoto huduma ya malezi inayohitajika na inayostahili kulingana na umri wa mtoto ingawaje kifedha mlezi au mzazi anaweza kufanya hivyo." Mara nyingi watu hushindwa kutofautisha kati ya umasikini na kutelekeza...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha ujenzi wa vituo vya malezi ya watoto ili kukabiliana na ukatili dhidi yao

    SERIKALI kupitia Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na Shirika la Brac Tanzania imeanza kuratibu uanzishwaji wa Vituo vya Malezi kwa watoto wadogo vitakavyomilikiwa na kuendeshwa na Jamii ya eneo husika. Hayo yamesemwa jijini Dar E s Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya...
  4. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi: Je, utasafiri na mtoto msimu huu?

    Iwapo unasafiri na mtoto mdogo mwenye umri chini ya kwenda shule. Uwapo katika daladala na mtoto umri huu hapaswi kulipiwa nauli. Mara nyingi husimama kati ya miguu yako ama pengine unampakata. Taratibu za LATRA zinasema huyu halipiwi nauli. Lakini kama unasafiri naye katika mabasi makubwa ya...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Afya ametoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya mchana vya malezi ya watoto (Day Care) kurekebisha kasoro kabla havijafungiwa

    Serikali imetoa siku 14 kwa wamiliki wa vituo vya malezi vya watoto na (Day Care), kurekebisha kasoro ili watoto hao walelewe katika mazingira sahihi na kwa kujibu wa Sheria. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii), Dk. John...
  6. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi ~ Elimu juu ya haki na usawa kwa mabinti wa Msalala

    Tarehe 1 Disemba 2020 timu yetu ilipokelewa kwa bashasha na mabinti watatu kutoka shule ya Sekondari ya Nyikoboko mkoani Shinyanga. Mabinti hawa kwa majina yao ni Mengi Daudi, Helena Joseph pamoja na Mengi Lucas, wanafunzi wa kidato cha kwanza. Mabinti hawa walikuwa kati ya washindi wa shindano...
  7. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi: Umuhimu wa baba kumsindikiza mama kliniki

    Ingawa akina baba walio wengi sasa wanajua umuhimu wa kuwasindikiza wazazi wenza (akina-mama) kliniki wakati wa ujauzito na hata baada ya kujifungua, bado wapo wengi wenye dhana kuwa kupima afya zao ndiyo lengo pekee la kwenda kliniki. Wengi walio na dhana hii pia huwategemea akina mama kupima...
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Malezi: Baba unatakiwa kuwa mkali mtoto wako anapofikia hatua hii

    Ma- dingi wengi siku hizi tunawalea watoto kimayai mayai sana ki- junior junior sana. Matokeo yake mtoto anakosa dira na kujiongoza peke yake huko mbeleni. Sasa Fanya haya kumuokoa mtoto wako (wa kiume) Dunia imeharibika sasa.. Hakuna wa kukunyooshea mwanao zaidi ya kumtumbukiza shimoni. 1...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mel B anamtaka Eddie Murphy kuongeza pesa za malezi ya mtoto wao Angel

    Mel B na Eddie Murphy walibahatika kupata mtoto wa kike Angel mwenye umri wa miaka 10 sasa. Miaka tisa iliyopita walifikia makubaliano Eddie awe anampa Mel B £21,000 kwa mwezi kwa malezi ya mtoto huyo. Kutokana na kushuka kwa mapato ya Mel B, ameamua kufanya majadiliano mapya ili Mr Murphy...
  10. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi ~ Wazazi wana hadhi sawa katika malezi ya watoto

    Yawezekana unazo sababu nzuri tu za kukufanya utake kudhoofisha mahusiano ya mwanao na mzazi mwenzio. Labda alimkataa mtoto (ujauzito), ama hatoi matunzo (pesa na mengineyo) kwa mtoto. Ingawa sababu hizi zina mashiko, makala yetu yanataka kuangazia athari anazopata mtoto mzazi ukiamua kumtenga...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini wagombea wa CHADEMA ndio wanaongoza kwa kukiuka maadili ya uchaguzi? Ni malezi mabovu ndani ya chama au?

    Nimefuatilia orodha ya wagombea waliofungiwa kufanya mikutano ya kampeni na kamati za maadili kwa kukiuka maadili ya uchaguzi na nimekuta wagombea wa Chadema ndio wengi. Lakini pia wagombea wa CCM wanaongoza kwa kuzingatia sheria na maadili ya uchaguzi. Nabaki najiuliza Chadema wanafeli wapi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Malezi ya Watoto Njiti: Utunzaji wa aina ya Kangaruu wa Mama kwa Mtoto

    Utunzaji wa aina ya Kangaruu wa Mama kwa Mtoto (UKM) ni njia ya utunzaji iliyopewa jina kwa kurejelea jinsi kangaruu wanavyowatunza ndama wao. Njia hii imetambulika kuwa bora sana katika kuwatunza watoto waliozaliwa kabla ya kuhitimu muhula na waliozaliwa wakiwa na uzani wa chini. Njia hii...
  13. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Shule za bweni shule za msingi zifungeni. Ni uzembe wa malezi

    Baada ya ajali na kupoteza maisha ya watoto kule Kagera, shule nyingine mkoani Tabora imeungua. Mmoja katika waliohojiwa alionesha mashaka kwamba kwa nini kwa muda mfupi kiasi hiki na kwa nini zote za dini moja - alimaanisha za Kiislamu. Binafsi nina tatizo na ubora na tabia ya kupeleka watoto...
  14. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi: Nani anawajibika na jukumu la kujenga maadili ya watoto wetu?

    Sisi wananchi tumekaa kimya tukiangalia watoto wetu wakifanyiwa vitendo vya kidhalimu na unyanyasaji mitaani na vijiji katika mamlaka zote za serikali za mitaa. Tumekaa tu na kukubali aina hizi za matukio kama vile ni mambo ya kawaida, wakati kwa kweli ni msiba wa kitaifa wa maadili. Wapo...
  15. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Malezi: Ukigundua umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini? Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania eti; Ukigundua kuwa umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini ili kuweza kupooza machungu yake na wewe kujipunguzia hatia nafsini mwako? Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu? (1)...
  16. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi: Mambo 8 ya kuzingatia ili kuwa baba bora

    Mtandao wa MenCare uliwahi kuwahoji washirika wake 100 wakiwemo akina mama, akina baba, wanaharakati na watafiti katika malezi kutoka nchi 50 kutoa ushauri kwa wazazi wakiume. Mambo manane yafuatayo yalishauriwa kwa akina baba wote wanaohusika moja kwa moja katika maisha ya watoto iwe...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Miaka ijayo Ndoa nyingi zitakuwa hivi...

    Katika hali ambayo haikutarajiwa, Ann Magwi na Jonathan Munini kutoka Kenya, wamelazimika kukatisha zoezi la kufunga ndoa, baada ya James Sidai kujitokeza kanisani na kusema yeye ndio Baba yao Mzazi, Baba huyo aliingia kanisani akiwa na Dada yake na kusema ndoa hiyo isifungwe kwa kuwa Maharusi...
  18. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi ~ Hizi hapa hatari tano anazoweza kukutana nazo mwanao mtandaoni

    Mara kadhaa kupitia wasaa huu tumezungumza juu ya matumizi ya mtandao na athari zake, chanya na hasi. Leo tunakutanabaishia aina tano kuu za hatari anazoweza kukutana nazo mwanao awapo mitandaoni na namna bora ya kukabiliana nazo ili kupafanya mtandaoni mahali salama kwa mwanao. Maudhui...
  19. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania MAKALA: Malezi ~ Shule ya kwanza ya mtoto ni nyumbani

    Utakubaliana nasi kuwa shule ya kwanza katika maisha ya mtoto ni nyumbani – wazazi, ndugu wa familia tandaa, majirani na marafiki wa familia husika. Kupitia mzazi/mlezi mtoto anapata nyenzo zitakazoongoza maisha yake yote – heshima, utii, unyenyekevu na kadhalika. Yaani wema au ubaya wa mtu mara...
  20. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi ~ Changamoto wanazopitia akina mama waliotelekezwa

    Malezi ya mtoto huwa si kazi rahisi, ikiwa ni pamoja na kumuogesha, kumfulia, kumpa chakula na kuhakikisha afya nzuri na elimu bora ya mtoto. Hali hii ni ngumu zaidi kwa mzazi mmoja ambaye mzigo wa kifedha na malezi umo mikononi mwake. Tamaduni zetu za kiafrika zinaasa malezi ya watoto...
Back
Top Bottom