malezi

Malezi School is a private educational institution based in Nairobi, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Fisadi anaweza kutengenezwa kutokana na malezi, angalizo ni hili kwa wazazi/walezi

    "Kushindwa kuwapatia watoto mahitaji muhimu kama vile makuzi na malezi yenye kuzingatia maadili, na elimu bora ya awali tunahatarisha ustawi wa jamii ya kizazi kijacho “Hapo ni kutengeneza Mafisadi, wapiga deal, wahuni wataendelea... Samaki hukunjwa angali mbichi," Dk. Richard Shukia - Mhadhiri...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini kina mama tu ndio huwa wanatueleza mabaya ya baba lakini sio rahisi kina baba kueleza mabaya ya mama?

    Nimejiuliza sana, mama zetu ni wepesi sana kueleza mabaya ya baba zetu na kuyaanika wazi, kauli kama kipindi unaumwa mimi ndio nilikupeleka hospital baba yako alikuwa amelewa chakari, baba yako alikuwa akipata hela basi humuoni nyumbani n.k... Kauli za namna hiyo zimekuwa nyingi sana katika...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Malezi: Mnaotumia condom wasaidieni wanaopaswa kutumia P2 kesho msikose watoto

    Kununua na kutumia kondom unachangia uchumi, unadhibiti magonjwa na unalinda mimba zisizotarajiwa. Hakuna side effects kwenye via vya ndani vya uzazi na ni njia salama. 2. Watoto wangu Mnaotumia P2/ 72 hrs na nyingine nawapongeza kuchangia uchumi na kudhibiti mimba zisizotarajiwa. Ila amkwepi...
  4. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Walezi wa siku hizi malezi ni ziro wengi wao, hili jambo si mara ya kwanza kuliona

    Habari wakuu wenzangu Unakuta mtu yupo bize na smart phone kuliko malezi au kumjali mtoto, unakuta mtoto katundikiwa mziwa mama hajali kama mtoto ananyonya kupitia pua au mdomo ye ni bize na kuperuzi tu, Jambo lililonikera ni moja tu, nimekutana na mama mmoja ni mnenee tako iloo yani shape...
  5. Usinifokee

    JamiiForums Tanzania Malezi ya sasa bado siyaelewi

    Habarini wakuu, Mimi si mwandishi mzuri lakini naomba tusaidiane katika hili. Naomba nianze na visa kama viwili nilivyokutana navyo siku za karibuni Wiki mbili zilizopita, Wakati nipo mapumziko ya kimatembezi baada ya kuihudumia jamii yangu kwenye masuala ya kitabibu ndipo nilipo kutana na...
  6. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

    Tukubali tukatae, ukiona mtu ana tattoo yoyote ujue ni matokeo ya malezi mabaya. Tattoo ni ishara ya mtu kutokujijali, kutojali afya wala thamani ya mwili wake na pia kutokutumia akili sawasawa. Ndio maana China kwa ajili ya kulinda kizazi cha sasa na kizazi cha baadae imepiga marufuku...
  7. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wengi wanaua mama zao?

    Kumekua na ungezeko la watoto kuua mama zao wa kuwazaa hivi karibuni jambo linaloibua huzuni na hofu kwenye jamiii. Asilimia kubwa imekuwa wahanga ni kina mama zaidi ya kina baba nimewaza jambo hili kwa kina ndani ya siku mbili hizi kuna mambo nayohisi yanaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa zaidi...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbinu za malezi ziendane na hatua za ukuaji wa Mtoto

    Mbinu za malezi zilizoleta matokeo mazuri kwa mtoto wa miaka 13 zinaweza zisilete matokeo yanayotarajiwa kwa Mtoto wa miaka 7 kwa sababu ya hatua ya ukuaji wa watoto hao. Kuna umri unafika katika namna ya saikolojia ya mtoto huwa na kawaida ya kuuliza kwanini, “kwanini nioshe vyombo mimi na sio...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Covid-19 na malezi ya watoto: Mpongeze au mzawadie mtoto wako pindi atakapochukua tahadhari

    Katika kukuza tabia ya kuchukua tahadhari za Covid-19 kwa makundi yote katika jamii, watoto ni miongoni mwa kundi ambalo linahitaji umakini mkubwa katika kulichukulisha tahadhari. Wataalamu wanashauri wazazi au walezi kuwapongeza au kuwazawadia watoto wao pindi wanapopatia kuchukua tahadhari...
  10. Ophonso

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza mahubiri ya hii video Kamanda Sirro alikuwa sahihi kabisa malezi ya Hamza

  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika malezi ya mtoto kiziwi anapokuwa nyumbani na kwenye jamii

    Ripoti ya Deaf Women Included iliyochapishwa 2021 ilifanya utafiti na kugundua, Asilimia kubwa ya watoto wanaopatwa na changamoto ya uziwi mara nyingi huwa wahanga wa ukatili katika jamii kwa sababu wanaoamua kuwafanyia ukatili hujua hawawezi kusema. Inahitaji ufuatiliaji wa karibu kufahamu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Niwatie moyo "single mothers"

    Miaka kadhaa iliopita dada yangu alizalishwa, na yule mwanaume alijibu jeuri sana wazazi walipomtafuta kumuuliza kuhusu kumpa mimba Yao, Kwa jeuri nyingi alisema amebeba kwa umalaya wake. Miaka Mingi imepita yule baba alienda alioa kwa harusi kubwa sana akabahatika watoto wawili na yule mkewe...
  13. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Malezi bora kwa watoto ndani ya familia na taasisi za kielimu ni msingi bora katika kuwajenga vijana wenye maadili ,wachapakazi na waaminifu

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wengi wetu ni mashuhuda wa kushuka kwa maadili miongoni mwa vijana na watoto wa sasa .Vijana wengi wamekosa nidhamu si kutowaheshimu wakubwa bali hata nidhamu ya kazi imepungua sana kwenye jamii zetu. Watu wengi wamependekeza bodaboda kama...
  14. Matanga

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde mwanaume mwenzangu Usimuachie mkeo pesa chumbani

    MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI MWANAUME[emoji177] Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani, Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua Chakula, Anapika, Anawaambia watoto, Njooni Wanangu Mle Nimewapikia Chakula Kitamu...
  15. Hermenegild sulle

    JamiiForums Tanzania Walimu na ualimu: Jamii ina mchango mkubwa katika malezi na makuzi ya vijana wetu

    Elimu bora ni hazina ambayo wazazi wenye uelewa hujivunia wanaposhuhudia imewakomboa kupitia kwa watoto wao. Wazazi wa namna hii hutambua ili kufanikisha utume huu, wanajukumu la kuwa walimu wakwanza kwa kuonyesha mfano bora kupitia imani na maisha yao. Katika hali hii watoto wanakuwa ni kioo...
  16. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Malezi: Watoto kuharibu vitu

    Wasalaam Wakuu!. Watoto ni baraka kubwa sana na kila mzazi angelipenda kuwa na watoto ili kujenga familia yenye furaha na amani. Watoto ni faraja kubwa sana kwa wazazi lakini muda mwingine ni changamoto sana. Je, umewahi kukutana na changamoto ya watoto kuharibu mali na vitu vya thamani katika...
  17. Ushirombomoya

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ubepari ulivyochangia kushuka kwa malezi na anguko la uwajibikaji. Nini suluhisho?

    Habari! wanajukwaa, nimekuwa msomaji wa bandiko mbalimbali za wanajukwaa hili kwa kipindi kirefu hata kabla sijajiunga rasmi humu bandiko hizo zimeniongezea maarifa na kunihabarisha kwa kiasi kikubwa. Leo nami napenda nitoe mchango wangu kuhusu uhusiano kati ya ubepari na athari zake kwenye...
  18. Jade_

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uraibu wa Ngono

    Uraibu upo wa aina nyingi. Kuna uraibu wa pombe, sigara, madawa ya kulevya, na uraibu wa chakula. Leo nitajikita kwenye uraibu wa ngono. Tofauti na uraibu wa pombe, sigara na madawa ya kulevya ambazo hazimpati yeyote, (sio kila mtu atangukia kwenye raibu hizi) uraibu wa chakula na ngono ni...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia na malezi bora kuelekea kutimia kwa ndoto za walio wengi

    Je, wangapi unawajua wametimiza ndoto zao '?, Na wewe kama wewe ulishiliki vipi kuzitimiza '? ,Na pia ni wangapi unawafaham hawajatimiza ndoto zao na wameshakata tamaa katika kutimia kwa ndoto hizo '?, Na ni wangapi mpaka leo bado wanapambana ili kufikia na kutimia kwa ndoto zao ,na wewe...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Malezi bora kwa watoto hasa wa kike kwa Taifa bora la kesho na maendeleo

    Watoto wetu wa leo ndio taifa letu la kesho, Ikiwa tutawaandaa vyema tutatengeneza jamii na taifa bora pia lenye nguvu baadae na kufikia malengo kwa haraka zaidi . Tukitaka kufikia malengo na kuwa na taifa bora na lenye nguvu kwanza tunatakiwa kujenga misingi imara kwa watoto wa kike kwani: -...
Back
Top Bottom