malengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elvis Legacy

    JamiiForums Tanzania Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM

    Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM. 1. Tafuta kadi ya CCM kwenye tawi lako. Kisha jenga mahusiano ya karibu na viongozi wa matawi na kata. (SIASA MAHUSIANO) 2. Soma katiba, kanuni na miongozo ya chama, vitabu kama kanuni za maadili na uongozi na kanuni za uchaguzi vikae...
  2. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Unajua ni vigumu kiasi gani kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufikia malengo yake

    Rais Samia Anaweza kuwa Rais Bora kabisa kutokea nchini Tanzania. Ila kinachotokea Sasa ni kama kila mtu anataka kuandika anachokiamini kwenye kitabu chake. Sasa kuna mnyukano mkubwa, CCM na wapinzani kila moja akitaka aende kwenye uelekeo wa kisiasa unaupa nafuu upande wake. Hata kesho...
  3. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Nampenda binti wa kitajiri ila ana kiburi, jeuri na dharau. Je, nimuoe?

    Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani. Huyu binti kwao ni watu wenye uwezo mkubwa sana kipesa, yaani wana pesa sana sana sana wameiacha...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia ajiwekee malengo ya kushinda tuzo za Mo Ibrahim kwa kurejesha Utawala bora na Demokrasia

    Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kujiwekea malengo ya kutwaa tuzo ya Mo Ibrahim ya utawala bora kwa kurejesha utawala bora unaojali msingi ya demokrasia. Ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Kwanini Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) isianzishe campaign ya kuhamasisha wazazi kuanza kuwalipia watoto wao pesa kidogokidogo katika accounts maalum ya bodi wangali wakiwa bado wanasoma elimu ya msingi (Darasa la Kwanza)? Jenga picha mtoto...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Nilimuunga mkono hayati Magufuli na sasa namuunga mkono Rais Samia, akitugeuka na mimi namgeuka

    Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kimara, Dr Mastai amesema yeye alimuunga mkono hayati Magufuli kuanzia siku ya kwanza aliyoingia madarakani hadi Jumapili iliyopita alipomfanyia maombezi maalumu Kanisani. Mchungaji Mastai amesema hata sasa anamuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan lakini akitugeuka...
  7. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwasasa wanawake wengi wamekuwa hawana huruma na malengo mema kwa waume zao

    Kwasasa usitegemee mwanamke anaweza kukuonea huruma wewe mume wake, haijalishi unapambana vipi kwa ajili ya familia yako, anytime anaweza kukufanyia tukio la hatari. Kwasasa hawa viumbe tuliozoea kuamini kuwa wana huruma, huruma wamebakiza kwa watoto wao na kwa ndugu zao wa damu tu. Sometimes...
  8. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mwanandoa Kijana, usikubali Mwenza aue ndoto zako

    Vijana wengi mnakimbilia ndoa. Ni jambo jema, ila wengi wenu mkishaingia humo mnasahau malengo yenu katika maisha (career, business/ investment) maisha si kukopa benki na kununua IST/Crown baadae kujenga banda Mbagala au Mbondole bali fikiria investment hususani ya kuongeza kipato. KAMWE...
  9. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuingia katika mahusiano na mtu ambaye huna malengo naye ila yeye ana malengo na wewe

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2016, kuna binti nilijikuta naanzisha mahusiano na yeye lakini nilikuwa sina malengo nae ya ndoa ila yeye alikuwa na malengo na mimi ya ndoa, alikuwa anapigania sana nimuoe. Ila mahusiano yetu hayakudumu binti aliniacha kwa sababu alikuwa anaona simtunzi, simpi hela...
  10. Idrisajr

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji watu wenye idea na video production watakaokuwa tayari kujitolea kufanya project free ila kwa malengo

    Nadhani kwa wale wenye idea na mambo ya movie making wanaelewa ila lengo la kuanzisha hii thread ni kukutanisha watu wenye mawazo tofauti ya idea moja. Na sio mawazo tu hata nyenzo(vitendea kazi) naamini tupo vijana wengi ambao tuna idea ila jinsi ya kuzifikisha kuna vitu vinatukwamisha kama...
  11. Grahams

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mpya 2021 umeanza; umejiwekea Malengo yapi? Malengo yangu niliyojiwekea ni haya

    Salaam, Mwaka 2020 umeisha na sasa tumeanza Mwaka Mpya 2021. Wengi mtakuwa mlijiwekea malengo mbalimbali yawe makubwa, ya kati au madogo kwa mwaka uliopita, lakini kwa sababu mbalimbali kuna mliofanikiwa kuyatimiza na wengine mkashindwa kuyatimiza. Sizungumzii kuhusu malengo ya kuoa au kuolewa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Malengo yangu mwaka 2021 ni kuacha pombe, umalaya na ku-bet

    Wakuu salaam! Mwaka 2020 Nimeamua na nimedhamiria kuacha mambo haya: 1. Pombe 2. Umalaya 3. Ku-bet Hii combination inafanya natumia zaidi ya laki 6 kwa mwezi wakati kipato changu ni chini ya 500k, najikuta katika madeni ya kijinga kijinga. Nimedhamiria kumrejea Muumba, yaani kwa dhambi...
  13. Youth Worker Tanzania

    JamiiForums Tanzania Faida ya kuandika malengo

    Wakuu Habari, Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa nafasi ya Uhai na salama . Leo niandike jambo kuhusu kuandika Malengo Mwanzo niliamini ni maneno tu kama yalivyo mengine hasa yale yanayosemwa na Inspirational na motovational Speakers, ambao hivi karibuni wamekuwa wakidhihakiwa kama...
  14. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu, malengo ya kurasimisha ujuzi kwa mafundi uliouanzisha hauendani na maelekezo yako pale VETA, watumbue wahusika

    Kwa mujibu wa maelekezo ya ofsi ya waziri mkuu, mpango huu kwa mafundi kupitia VETA, mafunzo ambayo yanatolewa kwa miezi 3 na kugharamikiwa na serikali, kwa Kila mwanafunzi aliyechaguliwa anapaswa kulipwa elfu 50 Kila mwezi akiwa mafunzoni, lakini khari imekuwa tofauti, wanafunzi hawa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya maisha wengi tunayopitia ni mapito kuelekea maendeleo ya kweli au tunapotezeana malengo na muda?

    Nina miaka kadhaa inayoniruhusu kuwa na familia, lakini pamoja na elimu yangu, sina hela ila nina deni kama la milion 14 hivi ninazodaiwa na bodi ya mikopo, hapo sijaweka zaka ambazo sijui nilitoa lini? Kiukweli moja haikai wala mbili haisimami, Maisha ni magumu, rafiki yangu mwajiriwa na mnazi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Ugeni wa Gwajima na Makonda kwa Kardinali Pengo katika Ulimwengu wa kiroho unamaanisha tofauti kabisa na malengo yao

    Nitaeleza kwa kifupi sana. Maelezo ukiona ni marefu basi soma Paragraph ya Mwisho! Ugeni uliofanyika kwa aliyekuwa askofu wa Jimbo kuu la DSM Kard. Pengo unatoa taarifa nzito kabisa katika Ulimwengu wa kiroho tofauti na malengo ya Gwajima na Makonda yalivyo. Ugeni huo uliojumuisha watu wawili...
  17. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni mpambano kati ya muweka msingi wa maendeleo ya kweli kwa miaka mingi ijayo dhidi ya mkurupukaji mwenye malengo mafupi yanayotegemea uwepo wake?

    Habari ya asubuhi wanachama wa JamiiForums, Ukiwafuatilia kwa makini wagombea wawili wenye ushindani mkali Tundu Lissu dhidi ya John Magufuli kwenye uchaguzi wa Tanzania wa mwaka 2020 utagundua yafuatayo: Tundu Lissu ni mgombea mwenye maono ya mbali na mwenye malengo ya muda mrefu wakati John...
  18. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Malengo ya vyama uchaguzi mkuu 2020

    Kila chama kina malengo yake kwenye uchaguzi huu. 1. ACT Wazalendo Lengo lao kubwa ni kugawana majimbo na CCM Zanzibar. Hili asilimia za kufanikiwa ni asilimia 60% PLUS. Siasa za Zanzibar zilikuwa Ni za CCM VS CUF lakini CUF hii iwe chini ya Maalim Seif. Kwa hiyo Mambo yanavyooneka Ni kuwa CUF...
  19. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba aichambua bajeti ya 2020-2021 kitaalam | Malengo ya mpango wa pili wa miaka mitano yamefikiwa?

    TAARIFA KWA UMMA UCHAMBUZI WA BAJETI YA 2020/2021: MALENGO YA MPANGO WA PILI WA MIAKA MITANO YAMEFIKIWA?
  20. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Hivi hiki kiherehere cha Polisi , Wabunge wa CCM kuzungumzia tukio la kushambuliwa Mbowe kina malengo gani?

    Baada ya Mbowe kushambuliwa kumeibuka watu wenye kuelekea tukio lenyewe utagikiri wao ndio wahusika, familia au walikuwepo wakati wa tukio. Kuna wabunge wanatoa maelezo eti walikuwa na Mbowe usiku akiwa kalewa, jibu ni lahidi tu Mbowe hajaanza kunywa pombe jana wala juzi Kuna Ndugai anadai kuna...
Back
Top Bottom