Hivi hiki kiherehere cha Polisi , Wabunge wa CCM kuzungumzia tukio la kushambuliwa Mbowe kina malengo gani?

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,560
2,000
Baada ya Mbowe kushambuliwa kumeibuka watu wenye kuelekea tukio lenyewe utagikiri wao ndio wahusika, familia au walikuwepo wakati wa tukio. Kuna wabunge wanatoa maelezo eti walikuwa na Mbowe usiku akiwa kalewa, jibu ni lahidi tu Mbowe hajaanza kunywa pombe jana wala juzi

Kuna Ndugai anadai kuna mengi tu juu ya tukio hilo, swali ameyajuaje? Alikuwa wapi wakati wa tukio? Saa saba hizo alikuwa anamfuatilia Mbowe kwanini?

Polisi wanasema tukio la kawaida, Kamanda Muroto amefanya uchunguzi saa ngapi kuyabaini hayo?

Kuna kitu kinaitwa key points na source of information akajifunze sio wote maamuma humu wa kuwadanganya. Muda Ni Mwalimu mzuri sana.

Mbowe ndio source namba moja ya tukio mnapotosha kwa nia gani?
 

mgaka

Member
Feb 16, 2019
72
150
Unajua wakati mwingine na sisi watz sijui tukoje? Ingekuwa nchi zingine pasingekalika

Tz tumejaa uoga,unafiki,hofu,mashaka,wasiwasi ndio maana viongozi wetu wanatuona wajinga saana wanatugeuza mazumbukuku

Hakuna ujinga kama kuona mtu anakufa au kuumizwa halafu watu tunakaa kimya, tusipotafakari kwakina hakika tutaendelea kuwa sehemu ya damu zinazomwagika kila siku

Hili ni suala ambalo halipaswi kuingizwa ushabiki wa vyama hata kidogo we are the human being, sote tunahaki ya kuishi bila kujali itikadi zetu

Tuache ushabiki wa kufurahia na kushangilia mabaya

#Leo kwa kwake hatujui kesho ni nani
#Tunapaswa kuupinga ukatili bila kujali tofauti zetu
 

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
7,315
2,000
Baada ya Mbowe Kushambuliwa kumeibuka watu wenye kuelekea tukio lenyewe utagikiri wao ndio wahusika ,familia au walikuwepo Wakati Wa tukio.Kuna wabunge wanatoa maelezo eti walikuwa na Mbowe usiku akiwa kalewa ,jibu Ni lahidi tu Mbowe hajaanza kunywa pombe Jana Wala juzi,Kuna Ndugai anadai Kuna mengi tu juu ya tukio Hilo,swali ameyajuaje?Alikuwa wapi wakati Wa tukio? Saa saba hizo alikuwa snsmfuatilia Mbowe kwa nini?...
Wameishiwa nguvu ndugu. Hotuba ya Lissu imewaumiza na kuwaogopesha kwa kiasi kikubwa ambapo saivi wanatafuta propaganda kujaribu kuzima upepo wa Lissu.

Vyovyote vile this year CCM wana hali mbaya. Wanatumia vyombo Vyote vya dola na hila zote dhidi ya Chadema ila kama Mungu aishivyo this year bila zote zinaenda kukwama
 

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,560
2,000
Ukiona marekani na Uingereza wanatoa kauli kalaani Kushambuliwa huku usifikili mchezo wanna vyanzo vya uhakika.
IMG_20200610_180219.jpg
 

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
9,983
2,000
Baada ya Mbowe Kushambuliwa kumeibuka watu wenye kuelekea tukio lenyewe utagikiri wao ndio wahusika ,familia au walikuwepo Wakati Wa tukio.Kuna wabunge wanatoa maelezo eti walikuwa na Mbowe usiku akiwa kalewa ,jibu Ni lahidi tu Mbowe hajaanza kunywa pombe Jana Wala juzi,Kuna Ndugai anadai Kuna mengi tu juu ya tukio Hilo,swali ameyajuaje?...
Kweli Mkuu. Hawa watu badala ya kufanya uchunguzi wakaona nini kimetokea wanakuwa na kiherehere kuongea utafikiri round ya kwanza nikiwa na shemeji yako. Pamoja na Ndugai.
 

goshaiwedi

Member
Feb 23, 2020
60
125
Ni kweli kuwa mh MBOWE kaumia,ni kweli kuwa ilikuwa usiku wa manane,(kwa mujibu wa mnyika)wote wanaombeza mbowe hakuna anayejibu hoja iliyopo mezani,zaidi wanazidi kuwaonyesha wapiga kura wao jinsi walivyochagua wajinga, mfano wote hao wanasema mh MBOWE alikuwa kalewa (tufanye ni kweli)na wote wanasema alikuwa mahali anapata kinywaji(tufanye ni kweli)

Pia wanasema hakuwa peke yake(tufanye ni kweli)sasa mpaka hapo mantiki yao iko wapi,mh MBOWE kulewa ni kosa kisheria,mh MBOWE kurudi kwake usiku kavunja sheria gani?

hivyo hoja sio ulevi,wala sio kurudi usiku wa manane,hoja ni je mbowe kashambuliwa na wasiojulikana au kaanguka kwa kilevi?sasa hapo anayeweza pata jibu ni nani kati ya lusinde ALIYELITAMKIA BUNGE KUWA ALIMWONA MH BAR au MUSUKUMA,au LIJUALIKALI,au MBOWE MWENYEWE?hivi likifika mahakamani mbowe akadai ni lusinde, musukuma na Lijualikali watapona?

Wao ndio wametwambia hajapigwa na walimwona bar akilewa,mh MBOWE naye akisema ni kweli nilikuwa bar lkn niliowaacha bar ndio nilikutana nao ngazini wanaponyokaje kwa mfano?

Tuchunge kauli zetu, mdomo uliponza kichwa
 

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,230
2,000
Mbowe ni mwanasiasa ana wapinzani wake na wanaomuunga mkono.

Lolote likitokea tutegemee pande mbili kuvutana. Hata ingekuwa kwa Ndungai yangekuwa haya haya haya tu.

Kwake hana camera? Zingesaidia ni kiongozi mkubwa vitu kama camera anapoishi ni muhimu saana.
 

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,929
2,000
Msukuma kamsukuma mbowe, lijua likali alitaka amgabdamizi hadi jua Kali litokew, kesi alitaka kesi ya kulewa iyimie ili kibabajiji lusindo aje ambebe ampeleke hospitali ya serikali wammalize kabisa kwa lisindano LA silinde, ubaya unaulea mwenyewe aisee
 

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
4,675
2,000
Mkuu hayo yote ni kupigwa uchaguzi 2015 maana wanahasira na sasa tunagundua huo upupu
 

mr chopa

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
4,603
2,000
Ni kweli kuwa mh MBOWE kaumia,ni kweli kuwa ilikuwa usiku wa manane,(kwa mujibu wa mnyika)wote wanaombeza mbowe hakuna anayejibu hoja iliyopo mezani,zaidi wanazidi kuwaonyesha wapiga kura wao jinsi walivyochagua wajinga,mfano wote hao wanasema mh MBOWE alikuwa kalewa(tufanye ni kweli)na wote wanasema alikuwa mahali anapata kinywaji(tufanye ni kweli)pia wanasema hakuwa peke yake(tufanye ni kweli)sasa mpaka hapo mantiki yao iko wapi,mh MBOWE kulewa ni kosa kisheria,mh MBOWE kurudi kwake usiku kavunja sheria gani,?hivyo hoja sio ulevi,wala sio kurudi usiku wa manane,hoja ni je mbowe kashambuliwa na wasiojulikana au kaanguka kwa kilevi?sasa hapo anayeweza pata jibu ni nani kati ya lusinde ALIYELITAMKIA BUNGE KUWA ALIMWONA MH BAR au MUSUKUMA,au LIJUALIKALI,au MBOWE MWENYEWE?hivi likifika mahakamani mbowe akadai ni lusinde,musukuma,na lijualikali watapona?wao ndio wametwambia hajapigwa na walimwona bar akilewa,mh MBOWE naye akisema ni kweli nilikuwa bar lkn niliowaacha bar ndio nilikutana nao ngazini wanaponyokaje kwa mfano,??? Tuchunge kauli zetu,mdomo uliponza kichwa
Umesahau na kadanganya kapigwa wakati kateleza kwenye ngazi kutokana na ulevi
 

goshaiwedi

Member
Feb 23, 2020
60
125
Mbowe ni mwanasiasa ana wapinzani wake na wanaomuunga mkono.

Lolote likitokea tutegemee pande mbili kuvutana. Hata ingekuwa kwa Ndungai yangekuwa haya haya haya tu.

Kwake hana camera? Zingesaidia ni kiongozi mkubwa vitu kama camera anapoishi ni muhimu saana.
Sijakuelewa,sikuelewi,wala hueleweki unapozungumzia camera,tangu lini camera za eneo bunge zikafanya kazi?au umesahau ya lisu vs camera vs walinzi wa serekali!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom