maktaba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Maktaba ya kijamii ya Martha Onesmo yafunguliwa wilayani Mwanga

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda akiongea katika hafla hiyo. Mwakilishi wa mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Abdala Mwaipaya, Mkuu wa Wilaya ya Mwanga,akizungumza katika hafla hiyo. Mwanzilishi wa Maktaba jamii ya Martha Onesmo, Jennifer Dickson, (kushoto mwenye Tshirt...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Wageni Kutoka Mbali na Karibu

    IMEPOKEA WAGENI KUTOKA MBALI NA KARIBU Maktaba leo imepokea wageni kutoka mbali na karibu. Kulia ni Mwalimu Juma Nyuni kutoka MUM, Prof. Kai Kresse wa Zentrum Moderner Orient, Berlin, Ujerumani, Mohamed Said, Prof. Ibrahim Noor Shariff kutoka Muscat, Oman na Afisa wa MUM Mohamed Ali. Ndugu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maeneo ya Maktaba (Libraries) ninayoweza kwenda kujisomea hapa Dar ukiondoa Maktaba Kuu ya Taifa

    Wadau, Ukiondoa Maktaba Kuu ya Taifa, naomba kujuzwa kama kuna maktaba yeyote nyingine ambayo mtu yeyote anaweza akaenda kujisomea. Naomba kama unajua jina, location, utaratibu, gharama ya maktaba na uwepo wa huduma za ziada kama umeme, internet, nk, katika maktaba hiyo au hizo pia...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Eng. Aisha Ulenge ashauri uanzishwaji wa Programu kuhamasisha Wanafunzi kutumia Maktaba

    Mbunge Eng. Aisha Ulenge Ashauri Uanzishwaji wa Programu Kuhamasisha Wanafunzi Kutumia Maktaba Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhandisi Mwanaisha Ulenge amefanya ziara ya kutembelea Maktaba ya Mkoa wa Tanga na kushauri kuanzishwa program ya kuhamasisha Wanafunzi na jamii kuitumia Maktaba...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda Maktaba: Kadhia ya Kuwaunga Mkono Wapalestina

    Leo asubuhi Maktaba ilipata bahati ya kutembelewa na Sheikh Ponda. Kwangu ilikuwa furaha kubwa. Sheikh Ponda kaifuta vumbi Tanzania na kaifariji Palestina kwa kutoa mkono wa taazia kwa Wapalestina kwa msiba mkubwa unaowakabili. Wapalestina watawaandika wananchi wa Tanzania katika historia ya...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Dk. Kalemani: Serikali imetoa mabilioni kujenga maktaba kubwa kabisa ya hadhi ya Kanda ya Afrika Mashariki Chato

    Kama bado hujasema basi utasema, wanachato wanajengewa maktaba kubwa kabisa kama Ile ya makao makuu Dar es salaam. Serikali imeshaanza kumwaga mabilioni. Hayo yamesemwa na mbunge wa Chato dk Kalemani wakati akitoa neno katika mkutano wa hadhara wa Makonda. Kalemani ameeleza kwamba, baada Rais...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo Maktaba na Mkutubi Festo wa National Archives Dodoma

    Maktaba ilibahatika kutembelewa na Mkutubi Festo Liheta kutoka National Archives Dodoma. Kusudia la safari yake ilikuwa kupata nyaraka. Tulifanya mazungumzo mafupi: https://youtu.be/wO86ftnPSa4
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Haruna Mbeyu ndani ya maktaba

    HARUNA MBEYU NDANI YA MAKTABA Leo jioni nimetembelewa na rafiki yangu ndugu Haruna Mbeyu. Nimemjua Haruna bado mtoto mdogo wa shule Miaka mingi hayupo lakini hapungui Tanzania. Haruna ana ila moja. Kila akipata mtu anakuja Dar es Salaam kutoka London atampa vitabu aniletee. Leo kaja nikaona...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ilyas Abdulwahid Sykes (Jaluo) ndani ya Maktaba

    Picha hiyo huyo ni Ilyas Abdulwahid Sykes. Jina la utani udogoni tukimwita "Jaluo." Kanitembelea nyumbani kwangu na hapa namwonesha Maktaba iliyohifadhi historia ya baba yake marehemu Abdulwahid Sykes. Baada ya kifo cha baba yake Ilyas na kaka yake marehemu Kleist walikwenda kusoma Canada...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Jarida la Africa Events Kutoka Maktaba Lipo Katika Kavazi la Dr. Salim Ahmed Salim

    JARIDA LA AFRICA EVENTS KUTOKA MAKTABA LIPO KATIKA KAVAZI LA DR. SALIM AHMED SALIM Hiki kisa nimepata kukieleza siku za nyuma na hivi karibuni nilipokuwa naandika kuhusu uzinduzi wa Kavazi la Dr. Salim. Mke wangu alikuwa katika Tume ya Warioba ya Katiba pamoja na Dr. Salim Ahmed Salim. Siku...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kutoka maktaba: Enzi hizo Hamis anasuka

    Ni Hamisi akiwa na Marehemu Amina, miaka inakimbia sana.
  12. palalisote

    JamiiForums Tanzania Picha: Jakaya Kikwete akibusu mkono wa Papa Benedict

    The Roman Empire bado inatawala dunia. Wao kwa gharama yoyote ile watamuweka Rais madarakani.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda, Uongozi wa Bodi ya Huduma za Maktaba msifanye Ujenzi tu, badala yake Mjikite katika ununuzi vitabu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Bodi ya Huduma za Maktaba kutoendelea na ujenzi wa majengo na badala yake wajikite katika ununuzi vitabu mbalimbali vya maktaba. Prof. Mkenda ametoa agizo hilo Julai 28, 2023 Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa DKT. Rugemeleza Nshala wadai Askari wamepekua maktaba ya mteja wao kinyume cha Sheria

    Siku chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumpa wito Wakili Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam, kuna mambo kadhaa yameibuka. Ikumbukwe kuwa Ofisi ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Prof. Sospeter Muhongo: Kila Shule ya Msingi/Sekondari Iwe na Maktaba

    Prof. Sospeter Muhongo - Kila Shule ya Msingi/Sekondari Iwe na Maktaba/Maabara Prof. Sospeter Muhongo Akiishauri Wizara ya Elimu, Sayansi & Teknolojia Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo ametoa ushauri kwenye uboreshaji wa ELIMU yetu. Mbunge huyo ameelezea umuhimu wa...
  16. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Ipe maneno picha hii

  17. dosho12

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwepo wa Vitabu na Makala kwa Lugha ya Kiswahili na Ongezeko la Maktaba Katika Kukuza Maendeleo

    UWEPO WA VITABU NA MAKALA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA ONGEZEKO LA MAKTABA KATIKA KUKUZA MAENDELEO Elimu ni ufunguo wa maisha ni kauli ambayo wote tumezoea kuisikia, ila unajua asilimia kubwa ya elimu inapatikana kwenye vitabu. Vitabu hubeba historia na mitazamo mbali mbali ya watu ulimwenguni...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ipo siku tutajenga sanamu ya Hayati Magufuli na kufungua Maktaba yake ili vizazi vijifunze Uzalendo

    Mungu wewe unachukua majabali una chukua wanaume ambao kweli jando lao halikuwa la ganzi. Wanaume wenye misuli ya Imani na uwezo wakuona kesho kwa Imani na matendo. Kwa Tanzania Ulitupa Hayati John Pombe Magufuli. Kijana alie zaliwa ktk ufukara ila ukampa kukikalia kiti cha Jamuhuri ya watu Wa...
  19. nguvumali

    JamiiForums Tanzania Maktaba ya taifa Dodoma rekebisheni kasoro hizi

    Nilifika Maktaba ya Dodoma siku saba zilizopita, ni maktaba nzuri sana kwa kuangalia jengo. Kuna kasoro ambazo lazima zirekebishwe haraka. 1. KELELE NJE YA MAKTABA Viongozi wa maktaba lazima wazingatie ukweli kuwa maktaba ni eneo lenye kuhitaji utulivu sana kama ilivyo mahakamani na...
  20. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Wataje wachezaji hawa wa Ajax Amsterdam

    Swali jepesi kwa wapenda soka, wale wakongwe unaweza kuwataja wachezaji hawa wa Ajax? Jaribu
Back
Top Bottom