maktaba

  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba na Vipande Vya Muziki wa Enzi Hizo

    MAKTABA NA VIPANDE VYA MUZIKI WA ENZI HIZO Huwa haipiti muda hungia katika mitaa ya Maktaba kujikumbusha hiki na kile. Leo nimekutana na mswada wa kitabu nilichoandika na Ally Sykes kuhusu maisha yake: ''Under the Shadow of British Colonialism The Life of Ally Sykes.'' (Hiki kitabu bado...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Imefiwa: Al Fatah Online TV na Kipindi cha Taazia

    MAKTABA IMEFIWA: AL FATAH ONLINE TV IMEFIKA KUFANYA KIPINDI CHA TAAZIA YA MOHAMMED ABDULRAHMAN Jana kutwa nzima napokea simu na msg za pole kisha kuulizwa mbona sijaandika taazia ya msiba wa Mohammed Abdulrahman. Leo asubuhi Salim Rashid wa Al Fatah amekuja kutoka Zanzibar na boti ya kwanza...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Kitabu Cha Rajabu Ibrahim Kirama

    MAKTABA IMEPOKEA KITABU CHA RAJABU IBRAHIM KIRAMA Rajabu Ibrahim Kirama ndiye aliyeuingiza Uislam Uchaggani kiasi cha zaidi ya miaka 150 iliyopita. Katika maajabu ya Allah alipofariki watoto wake walihifadhi nyaraka zake zote ambazo zinafika umri wa miaka 100. Nyaraka hizi zilihifadhiwa...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea: ''Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Photographic Journey''

    MAKTABA IMEPOKEA: MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE PHOTOGRAPHIC JOURNEY Rafiki yangu ndugu Ali Sultan mmoja wa watayarishaji wa kitabu hiki kikubwa cha Mwalimu jana alikuwa Ikulu Dodoma kwa uzinduzi wa kitabu hiki. Leo kafika Maktaba kunikabidhi kitabu. Kiswahili hakina msamiati wa kueleza...
  5. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Maktaba ya Taifa(NLT)

    Habari za muda huu, na ahsante kwa kufungua uzi huu. Natumaini kati yetu yupo mtu mwenye uzoefu wa maktaba kuu ya Tanzania (National library of Tanzania ) Tafadhali tunaomba utusaidie ( Mimi na wana JF wengine ambao watafaidika) kuhusu utaratibu wa maktaba hii hasa gharama zake kwa ujumla...
  6. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Mtoto wa Dandu, Joseph Kusaga na Kinjekitile Ngombare Mwiru

    Mastaa walipokutana miaka ya mwanzoni mwa 2000, Mtoto wa Dandu hapo alikuwa star sana, bahati mbaya alifariki kwa ajali ya gari.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Janabi hujaliona hili? chuo chetu kikuu hakiruhusu wanachuo kuingia na maji ya kunywa maktaba

    Kuna taratibu zingine ukizikuta unaanza kujiuliza hawa waliwaza nini? Kwa aina ya viongozi waliopo pale chuoni kwetu sina shaka wote wanajua umuhimu wa kunywa maji kila wakati ili Ubongo ufanye kazi vizuri. Sasa inakuaje mwanafunzi anaingia maktaba anakatazwa kubeba maji ya kunywa na kule...
  8. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yaridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) uliofikia asilimia 99

    Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) ambao umefikia asilimia 99 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Februari 2025. Akizungumza wakati wa majumuisho mara baada ya ziara ya kukagua ujenzi wa maktaba hiyo...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba ya CCM Dodoma

    MAKTABA YA CCM DODOMA Maktaba ya CCM Dodoma imesheheni vitabu vingi na majarida mengi. Mara ya mwisho miaka mingi iliyopita nilipokuwa hapo maktaba ilikuwa chumba kitupu mfano wa ukumbi mrefu wenye viti na meza mtu akakaa na kujisomea. Leo Maktaba ya CCM ni Maktaba hasa yenye meza na viti...
  10. N

    JamiiForums Tanzania KERO Maktaba ya Vitabu Zanzibar haina Huduma ya Maji, Watumishi na Wanachama tunateseka, tupo hatarini kupata magonjwa

    Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji. Naomba Wizara ya Elimu pamoja na Bodi ya Huduma za Makataba Zanzibar kushughulikia changamoto hii haraka iwezekavyo...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba, sio mbaya kukumbushana

    Mnyama Simba aliongoza kundi mbele ya mabingwa wa kihistoria Al Ahly katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mambo kama haya ni wakubwa wa kazi tu, timu yako kama ina watoto wanaopaka rangi nywele huwezi kufika huko.
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mgeni Adhim Atembelea Maktaba

    Leo jioni nimepokea mgeni adhim kupita kiasi niliyekutananae akiwa mtoto mdogo akisoma shule ya msingi. Mtoto huyubalikuja nyumbani kwangu kaletwa na baba yake. Ilikuwa asubuhi moja mwaka wa 2018. Mtoto huyu baba yake ambae hatukuwa tunafahamiana aliniambia kuwa mwanae alikuwa amesoma kitabu...
  13. nasrimgambo

    JamiiForums Tanzania Kuna uhitaji mkubwa wa maktaba nyenginezo mpya hapa Dar

    Ukiachana na wanafunzi ambao wanahudhuria shule ama vyuo ambako kuna madarasa na maeneo ya kujisomea, raia wa kawaida wanaotala kujisomea wanapata changamoto kweye mji huu Hasa ukizingatia watu wengi wanaishi mitaa na mazingira yasiyo encourage utulivu wa kujisomea. Kimbilio lao pekee...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu Kutoka Maktaba 1989 Askofu Mkuu Marko A Mgulunde, Pd. W. Slaa na Mama Getrude Mongela

    Mhashamu Askofu Mkuu Marko A Mgulunde akimpongeza Mama Getrude Mongela mara baada ya kutoa mada yake iliyohusu uhusiano wa kanisa na serikali kwenye warsha ya Caritas; huku Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Pd. W Slaa (kushoto) akiangalia. [PICHA Pd. Anthony Chilumba]...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Al Fatah Ilipotembelea Maktaba Sehemu ya Tatu

    https://youtu.be/P1o9i3aSBUw?si=sl46f1N7qXlOe7Yb
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Al Fatah Ilipotembelea Maktaba Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/T-yuovEhtwQ?si=A6xJADkt2L1dTQvk
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Al Fatah Walipotembelea Maktaba Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/9LoUUlaLxFA?si=ESZUqXGFchy9-ID7
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Timu ya Al Fatah Imetembelea Maktaba Kwa Mazungumzo

    TEAM YA AL FATAH ONLINE TV WALIOPOTEMBELEA MAKTABA KWA MAHOJIANO Sijawahi kufanya kipindi cha namna hii na kwa mtindo huu. Nilimwambia Rashid na wenzake Talib na Juma kuwa Maktaba ina mitaa na ningependa kuwatembeza kuwaonyesha mitaa hiyo. Nilidhani ni kazi nyepesi. Waingereza wana msemo, "A...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba yapokea Vitabu Kutoka Songea, Ujerumani na Marekani

    Nawashukuru ndugu zangu kupita kiasi. Kila siku wananikumbuka na kuniletea vitabu ama wavitume au kuja wenyewe maktaba kwa miguu yao. Abdulaziz Ali Khamis yeye anatoka Mombasa. Mara kwa mara huja nitembelea Maktaba. Safari hii alikuja Tanzania akafika hadi Songea kutembelea Makumbusho ya Vita...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Vitabu Kutoka Makumbusho ya Maji Maji Songea

    MAKTABA IMEPOKEA ZAWADI YA VITABU NA PICHA KUTOKA MAKUMBUSHO YA MAJI MAJI SONGEA Ndugu yangu Abdulaziz Khamis kutoka Kenya leo kanitembelea na kuniletea vitabu kutoka Makumbusho ya Maji Maji, Songea. Akiwa Songea kanirushia picha nyingi alizopiga hapo Makumbusho. Allah amjaze kheri.
Back
Top Bottom