Kutoka maktaba: Enzi hizo Hamis anasuka

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Ni Hamisi akiwa na Marehemu Amina, miaka inakimbia sana.
IMG_7957.png
 
Khamis mwinjuma aka mwana fa ni mfanyakazi wa tiss kitambo sana.
Inafikirisha knamna flani, hata hawa mawaziri wa sasa majanki. Kuna kodez kama wote wanafanana.

Ila ya huyu mwana hiphop duuuh, sjawahi ifikiria kabisaaa. Sasa hapa kazi inakua ni gani?? Kuwachimba wenzie au inakuaje? Sifa zingne si wanasema lazima uwe vzuri kichwani, ni kweli haya wanajamvi?
 
Hatunywi sumu , hatujinyongi CCM mbele kwa mbele .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom