maktaba

  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania Video kutoka maktaba: Baba Askofu Josephati Gwajima akimfufua mwanafunzi aliyefariki dunia ghafla

    Enendeni mkawaambie wana wa Kawe ; Wafu wanafufuka, viwete wanatembea, vipofu wanaona! Hapa baba Askofu alimfufua mfu once upon a time!
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kilichomponza Balozi Adadi Rajabu hiki hapa

    Kama mtakumbuka, kipindi hiki cha miaka mitano ya utumwa ya bwana yule kulitokea upuuzi wa Polisi kukamatakamata watu hasa upinzani kipuuzipuuzi. Kuna siku Balozi Adadi alisimama bungeni na kueleza kuwa kilichokuwa kinafanyika ni uhuni na kwamba kuna taratibu zake za kumkamata mtuhumiwa na...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kutoka maktaba za Taifa

    Msaada wa kuwatambua wengine zaidi ya Dr John Magufuli.
  4. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Maktaba ya ujerumani (Bavaria) imefikia uamuzi wa kurejesha vitabu vya freemasons vilivyoibiwa miaka 80 iliyopita

    Imekuwa ni sherehe kubwa kwenye imani hii ya freemasons baada ya kurejesha vitabu vilivyoibiwa wakati wa utawala wa Nazi na inakadiriwa kuwa zaidi ya miaka 80 iliyopita. Vitabu hivyo inasemekana vina maelezo kuntu ya matambiko "rituals" ya ibada za ki-freemasons.
Back
Top Bottom