Haruna Mbeyu ndani ya maktaba

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,921
30,266
HARUNA MBEYU NDANI YA MAKTABA

Leo jioni nimetembelewa na rafiki yangu ndugu Haruna Mbeyu. Nimemjua Haruna bado mtoto mdogo wa shule

Miaka mingi hayupo lakini hapungui Tanzania. Haruna ana ila moja. Kila akipata mtu anakuja Dar es Salaam kutoka London atampa vitabu aniletee. Leo kaja nikaona ndiyo nafasi yangu.

Nikakumba baadhi ya vitabu alivyoniletea nikamuomba tupige picha nimevibeba.

Kanikubalia. Usishangae.

Haruna toka udogo wake ni Educationist. Akiwa kijana mdogo sana alifungua shule mtaani kwake. Shule hii ipo hadi hivi sasa watoto wanasoma.

1696999590565.jpeg
 
Ndio nani huyo?

Almaarufu meya wa muda mrefu. Cheo cha heshima wenzie wa diaspora wamepatia kwa kujitoa kwa jamii bila kuchoka.

Mh. Naibu Spika, Job Ndugai (wa kwanza kushoto), akipokea nishani kwa niaba ya Mama Salma Kikwete kutoka kwa Dk. Mohammed Zaharani. Wakiangalia kwa furaha ni Mh. Beatrice Shelukindo, Bi Mariam Mungula na Ndg. Haruna Mbeyu
 
AT TUESDAY, JULY 10, 2012


'Meya' wa jiji la London Haruna Mbeyu (kati) akiwa na mpiganaji Ayoub Mzee (shoto) na mdau Jumbe



Meya wa London bwana Haruna Mbeyu akiwa na mhitimu MSc graduate



Meya wa London Haruna Mbeyu in the house akishiriki hafla ya kijamii ya diaspora
 
Back
Top Bottom