makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Mtambuzi

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Kwanza ningependa kukupongeza kwa juhudi zako za kutaka kuliboresha jiji letu hili la Dar. Nimekuwa nikifuatilia juhudi zako tangu ulipokuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni. Naamini jitihada zako za kutaka kuboresha wilaya ya Kinondoni ndizo zilizomfanya Raisi akuongezee majukumu kutokana na kuona...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wazurulaji wanaolengwa kukamatwa na RC Makonda ni akina nani?

    Habari wana JF Ni wazi kuwa taifa na dunia nzima wako kwenye vita dhidi ya adui asiyeonekana, corona virus. Ni mhimu wote tukaungana kupambana na adui huyu anayehatarisha uhai wetu! Tatizo langu ni dosari katika kauli za makamanda wetu wanatoa mbinu na maelekezo ya namna ya kupambana na adui...
  3. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Clip maalum kwa ajili ya mh Makonda labda ataheshimu neno Covid 19

  4. digba sowey

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa

    "Tokeni kafanyeni kazi eti Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa, ndio maana leo nawafuatilia wakandarasi, sasa nimkute mkandaraai hayupo site kisa corona, kuna wapuuzi huko wanasema Serikali inadanganya idadi imeongezeka, kwenu kuna Mtu amekufa na corona...
  5. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Wazo la Makonda siyo baya ila lianze na Serikali kuonesha mfano

    Wazo la RC wa Dar kuwasihi wenye nyumba kupunguza kodi hasa wakati huu wa janga la Korona siyo baya kutokana na hali mbaya ya uchumi kwa wengi kwa kuwa biashara nyingi zimesimama au kufa, ofisi na taasisi nyingi zinashindwa kulipa wafanyakazi wao. Kwa sasa wenye uhakika wa kipato ni watumishi wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania RC Makonda atembelea kituo cha daladala Makumbusho. Ahimiza usafi, aruhusu bodaboda, Bajaji kuingia mjini

    RC Makonda ametembelea kituo cha daladala Makumbusho na kuzungumza na wadau wa kituo hicho wakiwemo madereva, makondakta, wafanyabiashara na abiria wanaosubiri kusafiri. Makonda ameahidi zoezi la kupuliza dawa mitaani litakuwa endelevu na kuwataka wananchi wawe na nidhamu kwenye swala zima la...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Siamini nilichokishuhudia: daladala level seat, hakuna foleni, hakuna kelele, abiria hawasukumani, makonda hawatukani, unafika haraka unakoenda

    Hata kama corona ikiisha halafu mtu akatangaza kuwa sasa daladala zinaruhusiwa kujaza watu kama magunia kama ilivyokuwa mwanzo nitamshangaa sana. Kila mtu kukaa kwenye seat yake ni tija kwa afya ya msafiri, kiakili, kimwili na kisaikolojia. Kwa mara ya kwanza leo nimepanda daladala na kwenda...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda njoo Majohe uone vituko

    Majohe iko Ilala Gongo la Mboto DSM. Kuna mkandarasi aliyepewa kutengeneza barabara ya Kampala - Majohe ambaye Sina uhakika Kama unapata taarifa ya ujenzi wa barabara hiyo. Huyu mkandarasi anawachonganisha wanachi na serikali yao huna budi kuja kumsikiliza shida yake. Kusema ukweli anakutia...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya TAKUKURU na CAG. Asema Corona haitazuia Uchaguzi Mkuu 2020

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anakabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2018/2019 inayowasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Seriakali (CAG) Charles Kichere. Aidha Mhe. Rais atapokea Ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na...
  10. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu amchambua Paul Makonda

    Kuna kipindi huwa najiiliza maswali mengi sana Na miongoni ya maswali hayo. 1.Hivi Watu wanapokuwa Kwenye nyumba za kuabudu (Makanisani Na misikitini) huwa wanakwenda Kwa ajili ya kujionesha ama wanamaanisha? Kwa nini najiuliza Leo asubuhi nimeamka na kukutana na Vidio ya Kiongozi tena wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Si tatizo kwa Makonda kumwita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina ikiwa Chadema na Act wanaweza pia kumwita Magufuli hivyohivyo, ndio siasa

    Inaonekana wengi wamekasirishwa au kufedheheshwa sana na kitendo cha Makonda kuwaita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina. Sioni kama hili ni tatizo. Alichofanya Makonda ni kuweka utangulizi au precedent ya aina ya mipasho ya kisiasa unayoweza kufanya kwa kiongozi wa chama cha siasa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kama Makonda yuko sahihi, basi alichofanya Mbowe hakina tofauti na alichofanya Mandela mwaka 2005 alipomtangaza mwanae muathirika kuokoa wengine

    Nimesema mara kwa mara humu kuwa baadhi ya viongozi tulionao wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajiumbue na hatimae waanguke wao na chama chao. Kutokana na wao kukosa maarifa,matokeo yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku yanawagharimu wao kama wao na wakati huo huo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kuanzia tarehe 28/3/2020 hakuna ndege itakayotua Dar kwa sababu mashirika mengi ya ndege yamesimamisha safari

    Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema kuanzia tarehe 28/3/2020 hakuna ndege itakayotua katika uwanja wa ndege wa JNIA kwa kuwa mashirika ya ndege ya kimataifa yamesimamisha safari. Makonda ameyataja mashiirika hayo kuwa ni pamoja na KLM, Emirates , SAA , KQ, Ethiopian Airlines na Qatar...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

    Mtoto wa Mbowe anaeitwa James Mbowe amesema kuwa ugonjwa wa korona ni janga la kitaifa na halipaswi kufanyiwa mchezo wala mzaha. Amesema kitendo cha Mh. Makonda ni kitendo cha kushangaza kwa kuwa amejivika usemaji wa familia ya Mbowe kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa ugonjwa wa korona umepiga...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wageni kutoka nchi zilizoathirika na Corona wanapowasili tu huwekwa karantini katika Hotel maalum kwa siku 14

    Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema wageni wote wanaoingia jijini wakitokea nchi zilizoathirika zaidi na corona watawekwa karantini ya siku 14 katika hoteli maalum kwa gharama zao wenyewe. Makonda amesema Hotel hizo hazitatangazwa kwa sababu za kiusalama na kuepusha unyanyapaaji kwa wageni...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Makonda awataka wananchi kutulia na kutotangaza Mgonjwa wa Corona kwani hawana mamlaka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema Mwananchi wa kawaida hana ruhusa ya kutangaza kuwa mtu ana #Coronavirus kisa umemuona Hospitali kwani Mamlaka hayo anayo Waziri wa Afya, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais Amesema “Mkoa wangu ndio unaongoza kwa wajuaji, sasa niwaombe msilete ujuaji...
  17. J

    JamiiForums Tanzania CORONA: RC Makonda atoa mwongozo kwa wananchi wa mkoa Dar es Salaam na wageni

    Mkuu wa mkoa wa DSM ametoa mwongozo rasmi wa kudhibiti uwezekano wa virusi vya Corona kuingia mkoani Dsm. Mambo muhimu ni pamoja na vyombo vya usafiri kutojaza abiria kupita uwezi wake kisheria. Vyombo vya kunawia kuwekwa katika stendi zote na majumbani Kuepuka kusalimiana kwa mikono na...
  18. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Vita ya madawa ya kulevya aliyoanzisha Makonda ilikuwa ni “bosheni”?

    Wanajamvi, wakati mkuu wa mkoa wa Dar Makonda alipokuja na ile listi ya manguli wa madawa ya kulevya, nilijuwa tu ilikuwa ni “bosheni” Nilisema kuna watu anawaondoa kwenye biashara ili baadhi ya wengineo wanufaike. Cha msingi hapa, ni ku create kundi rafiki la madawa hayo. Kuna taarifa kuwa...
  19. muzi

    JamiiForums Tanzania Kwa uamuzi huu wa kumfungia Paul Makonda kuingia Marekani sasa ni rasmi hawezi kuwa rais wa Tanzania, waziri mkuu, waziri wa mambo ya nje wala balozi

    NILIWAHI KUSEMA MAREKANI IKIPIGA CHAFYA DUNIA INAUGUA MAFUA Pole Paul Makonda! Kwa uamzi huu wa kumfungia Paul Makonda kuingia Marekani sasa ni rasmi hawezi kuwa rais wa Tanzania, waziri mkuu, waziri wa mambo ya nje wala balozi katika nchi yoyote ya Ulaya. (Nitafafanua). Wakati wa matamko ya...
  20. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni kiongozi kijana jasiri/ energeticist

    Wakati kuna kundi nchini linapinga kila jambo ambalo linaonyeshwa kufanywa na mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Makonda, leo ninajitokeza kumtetea na kuwaambia kuwa huyu ni kijana shujaa. Ifahamike ili mtu kuitwa shujaa lazima awe amefanya jambo ambalo linabeba kila nukta ya uzalenzo, weredi...
Back
Top Bottom