makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. J

    Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya TAKUKURU na CAG. Asema Corona haitazuia Uchaguzi Mkuu 2020

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anakabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka 2018/2019 inayowasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Seriakali (CAG) Charles Kichere. Aidha Mhe. Rais atapokea Ripoti ya Taasisi ya Kuzuia na...
  2. Mmawia

    Dotto Bulendu amchambua Paul Makonda

    Kuna kipindi huwa najiiliza maswali mengi sana Na miongoni ya maswali hayo. 1.Hivi Watu wanapokuwa Kwenye nyumba za kuabudu (Makanisani Na misikitini) huwa wanakwenda Kwa ajili ya kujionesha ama wanamaanisha? Kwa nini najiuliza Leo asubuhi nimeamka na kukutana na Vidio ya Kiongozi tena wa...
  3. S

    Si tatizo kwa Makonda kumwita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina ikiwa Chadema na Act wanaweza pia kumwita Magufuli hivyohivyo, ndio siasa

    Inaonekana wengi wamekasirishwa au kufedheheshwa sana na kitendo cha Makonda kuwaita Mbowe mwanasiasa uchwara na Zitto mshirikina. Sioni kama hili ni tatizo. Alichofanya Makonda ni kuweka utangulizi au precedent ya aina ya mipasho ya kisiasa unayoweza kufanya kwa kiongozi wa chama cha siasa...
  4. S

    Kama Makonda yuko sahihi, basi alichofanya Mbowe hakina tofauti na alichofanya Mandela mwaka 2005 alipomtangaza mwanae muathirika kuokoa wengine

    Nimesema mara kwa mara humu kuwa baadhi ya viongozi tulionao wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajiumbue na hatimae waanguke wao na chama chao. Kutokana na wao kukosa maarifa,matokeo yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku yanawagharimu wao kama wao na wakati huo huo...
  5. J

    Makonda: Kuanzia tarehe 28/3/2020 hakuna ndege itakayotua Dar kwa sababu mashirika mengi ya ndege yamesimamisha safari

    Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema kuanzia tarehe 28/3/2020 hakuna ndege itakayotua katika uwanja wa ndege wa JNIA kwa kuwa mashirika ya ndege ya kimataifa yamesimamisha safari. Makonda ameyataja mashiirika hayo kuwa ni pamoja na KLM, Emirates , SAA , KQ, Ethiopian Airlines na Qatar...
  6. Sky Eclat

    Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

    Mtoto wa Mbowe anaeitwa James Mbowe amesema kuwa ugonjwa wa korona ni janga la kitaifa na halipaswi kufanyiwa mchezo wala mzaha. Amesema kitendo cha Mh. Makonda ni kitendo cha kushangaza kwa kuwa amejivika usemaji wa familia ya Mbowe kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa ugonjwa wa korona umepiga...
  7. J

    Makonda: Wageni kutoka nchi zilizoathirika na Corona wanapowasili tu huwekwa karantini katika Hotel maalum kwa siku 14

    Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amesema wageni wote wanaoingia jijini wakitokea nchi zilizoathirika zaidi na corona watawekwa karantini ya siku 14 katika hoteli maalum kwa gharama zao wenyewe. Makonda amesema Hotel hizo hazitatangazwa kwa sababu za kiusalama na kuepusha unyanyapaaji kwa wageni...
  8. Influenza

    Makonda awataka wananchi kutulia na kutotangaza Mgonjwa wa Corona kwani hawana mamlaka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema Mwananchi wa kawaida hana ruhusa ya kutangaza kuwa mtu ana #Coronavirus kisa umemuona Hospitali kwani Mamlaka hayo anayo Waziri wa Afya, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais Amesema “Mkoa wangu ndio unaongoza kwa wajuaji, sasa niwaombe msilete ujuaji...
  9. J

    CORONA: RC Makonda atoa mwongozo kwa wananchi wa mkoa Dar es Salaam na wageni

    Mkuu wa mkoa wa DSM ametoa mwongozo rasmi wa kudhibiti uwezekano wa virusi vya Corona kuingia mkoani Dsm. Mambo muhimu ni pamoja na vyombo vya usafiri kutojaza abiria kupita uwezi wake kisheria. Vyombo vya kunawia kuwekwa katika stendi zote na majumbani Kuepuka kusalimiana kwa mikono na...
  10. jmushi1

    Vita ya madawa ya kulevya aliyoanzisha Makonda ilikuwa ni “bosheni”?

    Wanajamvi, wakati mkuu wa mkoa wa Dar Makonda alipokuja na ile listi ya manguli wa madawa ya kulevya, nilijuwa tu ilikuwa ni “bosheni” Nilisema kuna watu anawaondoa kwenye biashara ili baadhi ya wengineo wanufaike. Cha msingi hapa, ni ku create kundi rafiki la madawa hayo. Kuna taarifa kuwa...
  11. muzi

    Kwa uamuzi huu wa kumfungia Paul Makonda kuingia Marekani sasa ni rasmi hawezi kuwa rais wa Tanzania, waziri mkuu, waziri wa mambo ya nje wala balozi

    NILIWAHI KUSEMA MAREKANI IKIPIGA CHAFYA DUNIA INAUGUA MAFUA Pole Paul Makonda! Kwa uamzi huu wa kumfungia Paul Makonda kuingia Marekani sasa ni rasmi hawezi kuwa rais wa Tanzania, waziri mkuu, waziri wa mambo ya nje wala balozi katika nchi yoyote ya Ulaya. (Nitafafanua). Wakati wa matamko ya...
  12. Elius W Ndabila

    Paul Makonda ni kiongozi kijana jasiri/ energeticist

    Wakati kuna kundi nchini linapinga kila jambo ambalo linaonyeshwa kufanywa na mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Makonda, leo ninajitokeza kumtetea na kuwaambia kuwa huyu ni kijana shujaa. Ifahamike ili mtu kuitwa shujaa lazima awe amefanya jambo ambalo linabeba kila nukta ya uzalenzo, weredi...
  13. Kididimo

    RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

    Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini. Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji. Wageni wanataraji kunywa, kula, kustarehe na kulala hapa kwetu. Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo...
  14. technically

    Nimemkumbuka sana IGP Sirro, yupo kimya toka tamko la Marekani juu ya Makonda. Kulikoni?

    Kanyamaza, hapendi tena lawama. Je, atakubali kuendelea kuwa IGP kuelekea Uchaguzi Mkuu au atajiuzulu? Au atatumbuliwa? Maana ni mtu muungwana anayefanya kazi na watu wasio na maadili kama alivyokuwa Kangi. Je, atakubali kutumika maana yupo kwenye rada ya Wamarekani kuelekea ICC? Ningekuwa...
  15. Nyani Ngabu

    Rais Magufuli amchenjia Makonda?

    Rais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe. Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo. Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani...
  16. J

    GE2020 RC Makonda awaalika wakazi Dar kwenye Uboreshaji Daftari la Wapiga kura

    Leo zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura linaanza jijini Dsm. Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda yuko live Clouds tv akielezea jambo hilo pamoja na mambo mengine mbalimbali ya kimaendeleo katika mkoa wa Dsm na taifa kwa ujumla. Karibu. Maendeleo hayana vyama!
  17. J

    Wananchi wakazi wa Kunduchi kuandamana hadi kwa RC Makonda kupinga Serikali ya mtaa kuwachangisha 100,000/= kila mmoja kujenga mtaro!

    Wakazi wa Kondo maeneo ya Mwaitenda na Bunge st katika kata ya kunduchi wilayani kinondoni wamepanga kuandamana hadi kwa RC Makonda kupinga serikali yao ya mtaa kuwachangisha michango kinyume cha utaratibu. Wakazi hao wamedai serikali ya awamu ya 4 wakati Makonda akiwa DC wa Kinondoni...
  18. J

    Makonda: Kufikia tarehe 01/03/2020 wanafunzi wote wa sekondari watakaa madarasani kila mmoja na dawati lake, wazazi hawatachangishwa!

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Makonda amesema jiji la Dar es Salaam lina upungufu wa madarasa 381 baada ya wanafunzi wengi kufaulu. Hivyo mkoa utakamilisha ujenzi wa madarasa hayo kufikia tarehe 28/02/2020 na mnamo tarehe 01/03/2020 kila mwanafunzi atasomea darasani akiwa na kiti na meza...
  19. G Sam

    Paul Makonda: Wanaotetea watoto wanaopata mimba shuleni wana akili za kuvaa nguo tu

    Leo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu. Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na wapumbavu.
  20. B

    Dodoma: Wabunge wanena kuhusu zuio la Marekani kwa Makonda

    February 4, 2020 Dodoma, Tanzania Viwanja vya Bungeni: Wabunge watoa maoni zuio la Marekani Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe.Constantine Kanyasu azungumza kuhusu zuio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda, kwenda nchini Marekani na kusema haliwezi kuathiri Sekta...
Back
Top Bottom