makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Private investigator

    JamiiForums Tanzania Hongera Mh. Makonda, Marekani imeguswa na utendaji wako

    Ndio!! Hizi ni pongezi zangu binafsi toka Mwanza kwa Mh Makonda kwa kutambuliwa na Marekani wababe wa dunia. Wameamua kumpiga pini kwenda Marekani. Nitaeleza kwanini nampongeza Mh Makonda kwa hili. Ikumbukwe Marekani mbali na kujitanabaisha kama taifa linalolinda haki za binadamu ila ndio...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

    Siongei sana
  3. G Sam

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Waziri wa mambo ya nje ya Marekani anamkuta Paul Makonda na hatia ya kuua watu! Kwanini anakumbatiwa sana na Rais Magufuli?

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani ambaye kimsingi ni moja ya viongozi wanaoheshimika sana duniani anaitangazia dunia kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda anadhulumu haki ya mtu kuishi ( Anaua watu) na dunia nzima inasambaza habari hizo. Ukija hapa Tanzania utaambiwa na...
  4. Nsumba ntale tz

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu. Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa...
  5. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Hivi hii system haiwezi kutumika na Makonda na wengineo?

    Hello JF.. Merry Christmas Everyone. Wazungu walituwahi wakaweka miundo mbinu mizuri huko chini kwa chini kwa ajili ya choo na floods. Sasa,hatuwezi kuanza kubomoa na kuanza kujenga hio miundo mbinu na sisi (ingawa inawezakana in the future) But nimeona kuna hii system sio mpya..ila...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Bakhresa alijenga ofisi ya CCM tawi la Masaki RC Makonda anajenga ofisi za wilaya ya Kinondoni, CCM haikumbatii umaskini

    Kiukweli ukiziangalia ofisi za CCM tawi la Masaki halafu ukayapitia makao makuu ya chama kikuu cha upinzani pale Ufipa lazima utajifunza kitu. Ofisi za CCM masaki zimejengwa na billionea Bakhresa. Najiuliza tu kuna wakati bilionea Sabodo alitangaza kuwajengea Chadema jengo la makao yao...
  7. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Makonda awapa Ofisi CHADEMA. Awataka walipie pango la ofisi ya Makao Makuu kwani mwenye nyumba analalamika

    Habari wakuu, Ofisi ambayo CHADEMA Makao Makuu wamezawaidiwa Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amewagawia nyumba ambayo ni Ofisi ya CCM Wilaya ya Kinondoni. Amesema ameamua kuwagawia CHADEMA kwa sababu Makao Makuu ya CHADEMA Wamepanga na hawalipi Kodi hivyo, Mwenye nyumba kila siku anashinda...
  8. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Makonda atoa bima ya afya kwa watoto 625

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amegawa kadi za bima ya afya za Mfuko wa Jamii (CHF) kwa watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu 625. Akizungumza wakati wa kutoa bima hizo, Makonda alisema anatoa zawadi ya sikukuu za Christmas, mwaka mpya na Maulid baada ya kubaini...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul C. Makonda ana Akili, Elimu na Ufahamu mkubwa kuliko Watanzania wote

    Kama kuna Mtu ambaye nilikuwa nabisha na nakataa kabisa kuhusu ‘ Dhihaka ‘ za Watanzania wenye Akili nyingi dhidi ya Uelewa na Uwezo wa Maarifa aliyonayo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul C. Makonda basi nilikuwa ni Mimi GENTAMYCINE ila kwa nilichokisikia leo na Mimi sasa rasmi...
  10. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Makonda atangaza siku za tano ukaguzi bure wa magari Dar

    Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametangaza siku tano, kuanzia Desemba 10 hadi 15, 2019 kwa wenye magari kufanya ukaguzi ili wasafiri salama kwenda mikoani kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka. Makonda ametangaza ukaguzi huo leo Alhamisi Desemba 5...
  11. gango2

    JamiiForums Tanzania Mh Makonda: Mkandarasi barabara ya Makongo shida nini!

    Ni takribani mwezi mmoja sasa umepita Tangu mlipokuja na magreda na magari mengi kuzindua ujenzi wa barabara ya MAKONGO "tarehe 1 November" Sasa tunaanza kukosa matumaini tena maana mlipoondoka siku hiyo na magari hayo nayo yakaondoka, tunaendelea kula vumbi kama kawaida! hakuna hata dalili...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wa Makonda wasijitokeze hadharani ili kuthibitisha jina halisi la mtoto wao?

    Fedheha anayoipata mtoto wao iliyosababishwa na tuhuma za kuiba jina la mtu kutokana na kufeli masomo yake ya awali ni kubwa sana. Hata kama anatengeneza hela hata za haramu lakini kwa kweli tuhuma hizi ni aibu kubwa sana kwake na kwa wazazi wake. Wanyakyusa wa Kyela wana kamsemo kao haka...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda awaapisha Wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka wajumbe wa mabaraza ya Ardhi kuwa makini na watu watakaokuwa wanawasimamia, katika kutatua migogoro na kuleta usuluhishi kwa kuwa mkoa huo, umejaa watu wajanja na wanaojifanya kujua kila kitu. Hayo ameyabainisha leo Novemba 23, 2019, mara...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

    Ni katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Karibu! Kardinali Pengo na Sheikh wa mkoa kwa niaba ya Mufti wanauombea mkutano huo. Sasa viongozi wa dini wanaangalia mkanda wa video unaomuonyesha RC Makonda akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo. ====== Mkuu wa Mkoa wa Dar...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Rais, tengua hii amri ya Makonda kuhusu unywaji pombe, inatesa wakazi wa Dar

    Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni. Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli...
  16. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

    Heshima wakuu, Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda. Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo...
  17. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Makonda aungwe mkono kusaidia watoto

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekuwa na kampeni ya kusaidia watoto wenye matatizo ya ugonjwa wa moyo. Kupitia kampeni hii kwa kushirikiana na wadau wengi, Makonda ameweza kusaidia watoto 45 kufanyiwa upasuaji katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Huu ni msaada mkubwa ambao...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Makonda akabidhi Sh mil 34 upasuaji wa moyo watoto

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi Sh milioni 34.5 Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa upasuaji wa moyo watoto wanaotoka familia masikini. Fedha hizo zilitolewa na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond akishirikiana na wasanii wenzake ili kuunga...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Makonda atembelea mradi wa ujenzi wa njia nane kutoka Morocco hadi Mwenge

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa barabara nne mpya kutoka Morocco hadi Mwenge ambapo kukamilika kwa njia hizo kutafanya idadi ya barabara kufikia nane jambo linalotarajiwa kupunguza na ikiwezekana kumaliza tatizo la foleni kwenye...
Back
Top Bottom