Clip maalum kwa ajili ya mh Makonda labda ataheshimu neno Covid 19

Chukueni tahadhari ila acheni kutisha watu. Kama mmeamua kujifungia jifungieni. Sisi tutachukua tahadhari zote ila maisha tunaendelea nayo.
Utatekeleza vipi "social distancing" kwa hali ilivyo hapo Dar na katika miji mingine?Tunachotakiwa na kupunguza kasi ya maambukizi ili mlipuko usitoke na hospitali zetu zisizidiwe na wagonjwa.Ili kupunguza maambukizi ni lazima uwezekano wa kumuambukiza mwenzio uwe mdogo mno.Je hilo linawezekana vipi ikiwa watu wote watatoka nje na kuendelea na shughuli zao kama kawaida?
 
Ugonjwa wa korona unaenezwaje? Tahadhari za kuuepuka zimeelezwa ni zipi? Je ni kweli mpaka leo haujasikia awareness raising ya kuepuka au kupunguza kasi za kusambaa kwa huu ugonjwa? Sio hapa tz tu, hata mbele.
Nchi za mbele wana bajeti ya kulisha wananchi wao ktk lockdown, ndio maana trump kaweka stimulus package karibu 2trillion us dollar, kwa nini? Kwa sababu wanaweza ku sustain! Je sie tuwaambie watu wasitoke, tunawalishaje? Tusiige kunya kwa tembo, ...............!
Tuchukue tahadhari tunazoambiwa. Watoto wako majumbani, wanafunzi wako majumbani. Mipaka kwa kiasi fulani inadhibitiw, Hii lockdown inatosha!
 
Bashite anachukulia COViD19 kiurahisi siku ikisanuka ndo wa kwanza kukimbilia koromije
 
Utatekeleza vipi "social distancing" kwa hali ilivyo hapo Dar na katika miji mingine?Tunachotakiwa na kupunguza kasi ya maambukizi ili mlipuko usitoke na hospitali zetu zisizidiwe na wagonjwa.Ili kupunguza maambukizi ni lazima uwezekano wa kumuambukiza mwenzio uwe mdogo mno.Je hilo linawezekana vipi ikiwa watu wote watatoka nje na kuendelea na shughuli zao kama kawaida?
Kama unajua ugumu wa social distancing ungelaumu kelele yiyote bila kiwaweka aware watu. Ukweli kuhusu tishio lenyewe its wrong kuwakebehi watu kuwanwanaogopaje covid bila kuwahamasisha njia sahihi as if ukinawa tu mikono kwisha habari yake. Tunarudi nyakati za kusema kiwa risasi zitageuka maji .sad
 
Ugonjwa wa korona unaenezwaje? Tahadhari za kuuepuka zimeelezwa ni zipi? Je ni kweli mpaka leo haujasikia awareness raising ya kuepuka au kupunguza kasi za kusambaa kwa huu ugonjwa? Sio hapa tz tu, hata mbele.
Nchi za mbele wana bajeti ya kulisha wananchi wao ktk lockdown, ndio maana trump kaweka stimulus package karibu 2trillion us dollar, kwa nini? Kwa sababu wanaweza ku sustain! Je sie tuwaambie watu wasitoke, tunawalishaje? Tusiige kunya kwa tembo, ...............!
Tuchukue tahadhari tunazoambiwa. Watoto wako majumbani, wanafunzi wako majumbani. Mipaka kwa kiasi fulani inadhibitiw, Hii lockdown inatosha!
Post yangu nilikuwa namjibu mtu aliyekuwa anahamasisha kuchukua tahadhari at the same akiamuru watu watoke na kuendelea na shughuli zao. Ndio maana nilimuuliza kuwa "atatekeleza vipi social distancing?"
 
Kama unajua ugumu wa social distancing ungelaumu kelele yiyote bila kiwaweka aware watu. Ukweli kuhusu tishio lenyewe its wrong kuwakebehi watu kuwanwanaogopaje covid bila kuwahamasisha njia sahihi as if ukinawa tu mikono kwisha habari yake. Tunarudi nyakati za kusema kiwa risasi zitageuka maji .sad
Soma vizuri post yangu.Nilikuwa na respond kwa post ya mwanzo
 
Wahuni wameubatizo huu Ugonjwa kwasasa Unaitwa "Makonda Disease"
 
Back
Top Bottom