Paul Makonda njoo Majohe uone vituko

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
5,296
2,000
Majohe iko Ilala Gongo la Mboto DSM.

Kuna mkandarasi aliyepewa kutengeneza barabara ya Kampala - Majohe ambaye Sina uhakika Kama unapata taarifa ya ujenzi wa barabara hiyo. Huyu mkandarasi anawachonganisha wanachi na serikali yao huna budi kuja kumsikiliza shida yake.

Kusema ukweli anakutia aibu na serikali pia. nikisema sana yatakuwa majungu bora ufike mwenye ujiridhishe.

Hii ni ile barabara ya Kampala - jeshini- kanisani - mji mpya - Bwela hadi Rada.
 
moj6

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
2,460
2,000
Daa niliiacha imefifa hapo Kona kwenye kota zao kumbe haijafika majohe bado?
Majohe iko Ilala Gongo la mboto DSM.

Kuna mkandarasi aliyepewa kutengeneza barabara ya Kampala - Majohe ambaye Sina uhakika Kama unapata taarifa ya ujenzi wa barabara hiyo. Huyu mkandarasi anawachonganisha wanachi na serikali yao huna budi kuja kumsikiliza shida yake.

Kusema ukweli anakutia aibu na serikali pia. nikisema sana yatakuwa majungu bora ufike mwenye ujiridhishe.

Hii ni ile barabara ya Kampala - jeshini- kanisani - mji mpya - Bwela hadi Rada.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
5,296
2,000
Daa niliiacha imefifa hapo Kona kwenye kota zao kumbe haijafika majohe bado?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasubiri No 1 aende akatoe amri. Iko siku litatokea tukio litakalohitaji no. 1 aende kwa kutumia barabara hiyo ndiyo kila kitu kitafahamika.
Sasa hivi ni mwezi mmoja magari hayapiti eti uwekaji wa kalafati lililoharibiwa na mvua haujakamilika
 
Top Bottom