makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Kididimo

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Kuna "Biological weapons" tujihadhari. Asema hata pale ukumbini walipo, zinaweza kuwepo bila waliomo kujua

    Ni hotuba zinazoendelea katika mkutano wa Kimataifa wa Madini. Kama mtanzania, hili haliko sawa sana ukizingatia sisi ndo wenyeji. Wageni wanataraji kunywa, kula, kustarehe na kulala hapa kwetu. Kwa kauli hii, si vyema tuitoe sisi wenyeji. Inaashiria kama vile tuna uzoefu fulani na hizo...
  2. technically

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka sana IGP Sirro, yupo kimya toka tamko la Marekani juu ya Makonda. Kulikoni?

    Kanyamaza, hapendi tena lawama. Je, atakubali kuendelea kuwa IGP kuelekea Uchaguzi Mkuu au atajiuzulu? Au atatumbuliwa? Maana ni mtu muungwana anayefanya kazi na watu wasio na maadili kama alivyokuwa Kangi. Je, atakubali kutumika maana yupo kwenye rada ya Wamarekani kuelekea ICC? Ningekuwa...
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amchenjia Makonda?

    Rais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe. Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo. Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 RC Makonda awaalika wakazi Dar kwenye Uboreshaji Daftari la Wapiga kura

    Leo zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura linaanza jijini Dsm. Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda yuko live Clouds tv akielezea jambo hilo pamoja na mambo mengine mbalimbali ya kimaendeleo katika mkoa wa Dsm na taifa kwa ujumla. Karibu. Maendeleo hayana vyama!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wakazi wa Kunduchi kuandamana hadi kwa RC Makonda kupinga Serikali ya mtaa kuwachangisha 100,000/= kila mmoja kujenga mtaro!

    Wakazi wa Kondo maeneo ya Mwaitenda na Bunge st katika kata ya kunduchi wilayani kinondoni wamepanga kuandamana hadi kwa RC Makonda kupinga serikali yao ya mtaa kuwachangisha michango kinyume cha utaratibu. Wakazi hao wamedai serikali ya awamu ya 4 wakati Makonda akiwa DC wa Kinondoni...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kufikia tarehe 01/03/2020 wanafunzi wote wa sekondari watakaa madarasani kila mmoja na dawati lake, wazazi hawatachangishwa!

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Makonda amesema jiji la Dar es Salaam lina upungufu wa madarasa 381 baada ya wanafunzi wengi kufaulu. Hivyo mkoa utakamilisha ujenzi wa madarasa hayo kufikia tarehe 28/02/2020 na mnamo tarehe 01/03/2020 kila mwanafunzi atasomea darasani akiwa na kiti na meza...
  7. G Sam

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Wanaotetea watoto wanaopata mimba shuleni wana akili za kuvaa nguo tu

    Leo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu. Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na wapumbavu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wabunge wanena kuhusu zuio la Marekani kwa Makonda

    February 4, 2020 Dodoma, Tanzania Viwanja vya Bungeni: Wabunge watoa maoni zuio la Marekani Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe.Constantine Kanyasu azungumza kuhusu zuio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda, kwenda nchini Marekani na kusema haliwezi kuathiri Sekta...
  9. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

    Wanajamvi, hiki kipengele hapo chini, kimo kwenye hii makala ya Washington post inayosema “Democracy Dies in Darkness” ya mwaka 2018 “Makonda and Magufuli are too closely linked for the president to escape responsibility.“-The Washington Post. Katika makala hiyo ambayo link nimeiweka...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Makonda anawajibishwa kwa Makosa ya Magufuli why?

    Hakuna mtu mwenye ubavu wa kufanya jamba analochukia bosi wake na akabaki salama makosa yote yaliyotajwa na Marekani ni makosa yanayoungwa mkono na rais wetu so wakuwajibika hapa ni Makonda au Magufuli? tuache unafiki anayetakiwa kuwekewa vikwazo ni Magufuli.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Makonda yuko sahihi Ushoga umekatazwa kwenye Biblia, wananchi acheni kushabikia dhambi

    Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda. Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka. Gamanywa amedai kuwa...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi Makonda alipokuwa anatenda uhalifu wake viongozi wakuu wa Nchi kama Rais na Waziri Mkuu hawakuwa na Taarifa? Hawakujua ama hawakufahamu?

    Ikiwa kama Paulo Makonda ametenda unyama uliotajwa na Serikali ya Marekani na ambao umepelekea kudhalilisha nchi yetu kuliko ilivyowahi kudhalilishwa tangu Mungu aumbe mbingu na ardhi, nina swali dogo sana la kuuliza. Je alipokuwa anatenda uhalifu huo viongozi wakuu wa nchi hii akiwemo Rais...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wiki yenye utata: Tulianza na Dr Kigwangalla akaja Kangi Lugolla akafuatia Zitto halafu RC Makonda na sasa ni Mtume na nabii Mwamposya aliyekamatiwa !

    Kiukweli wiki hii ilianza kwa makashikashi ya kisiasa na kumalizika na huzuni ya kuwapoteza watanzania wenzetu zaidi ya 18 katika tukio la kiibada. Tulianza na Dr Kigwangalla na tangazo lake la kuingia vitani kisha akaja Mzee Kangi Lugolla na Ilani yake ya CCM then akaja Zitto na Wazaxi...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Lile tamko la RC Makonda kuhusu mashoga katika mkoa wake limeleta mabadiliko yeyote katika swala hilo?

    Hili tamko la kukomesha mashoga katika mkoa wa mwenye mkoa lilikuwa na strategy plans? Llilifanikiwa kukomesha mashoga katika mkoa? Kama halikufanikiwa ilikuwa ni kauli tu ambayo sasa anailipia gharama kubwa?
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

    Wanabodi, Kabla Magufuli hajawa rais wetu, sisi wengine wenu tulijua tangu mwaka 2014 na tukasema humu!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli Miongoni mwa sifa zilizomuibua Magufuli ni sifa inayoitwa "uthubutu" boldness and sometimes unreasonably boldness...
  16. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Kilichonishangaza kwenye Taarifa ya habari, ni chombo kimoja kilichorusha habari ya Makonda. Huu ni utaratibu mzuri dhidi ya Mabeberu

    Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu ==== Edit: Azam TV wamei-cover habari hii
  17. J

    JamiiForums Tanzania Sasa mke wa Makonda ana kosa gani hadi azuiliwe kuingia Marekani?

    Nimeshangazwa sana na katazo la mke wa RC kuingia nchini Marekani. Yeye binafsi ana kosa gani?! Naomba Pascal Mayalla na Nyani Ngabu mkuje hapa kunitoa tongotongo. Nawasilisha!
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Mh.Paul Makonda atembelea Chama Cha Wanasheria (TAWLA) wanaopambana na ukatili wa kijinsia

    Kutoka Mitandaoni: Mh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam babalao kwa herufi ndogo ametembelea kituo cha Wanasheria Wanawake wanaojihusisha na msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto. Makonda amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya. My Take: Hili ni jibu Konki sana kwa Pompeo na waliompotosha!
  19. F

    JamiiForums Tanzania Tamko la Mark Pompeo (US Secretary of State) dhidi ya Paul Makonda ni aibu sana kwa Mhashamu Baba Kadinali Pengo!

    Ni hivi karibuni tu Paul Makonda akiwa amewaita viongozi mbalimbali wa dini pale Julius Nyerere Convection Center kuwafundisha na kuwahabarisha kuhusu " maajabu" aliyofanya Mheshimiwa Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli kwa kipindi cha miaka 4. Mhashamu Baba Kadinali Pengo alisikika akisema...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Muhimu : Simba iitishe Mkutano Mkuu wa Dharula ili kumuondoa Makonda

    Sasa ni dhahiri kwamba huyu Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani , kuendelea kumbakisha kama Mshauri Mkuu wa bodi ya Simba ni kuiingiza timu yetu kwenye uchafu wake ulioshitukiwa dunia nzima . Simba ni Taasisi kubwa yenye mipango mingi ndani na nje ya nchi , mtu mwenye tuhuma za kuzuia...
Back
Top Bottom