makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

    Rais Magufuli ametua Wakuu wa Mikoa Katibu Tawala wa Mkoa Wakuu wa Wilaya Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya .
  2. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania GE2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

    RC MAKONDA ACHUKUWA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo Julai 15 amechukuwa Fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama cha mapinduzi CCM. Jimbo hilo lilikuwa chini ya aliyekuwa Naibu Waziri...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubunge: Butiama Madaraka Nyerere vs Jackton Manyerere, Iringa Steve Nyerere vs Pierre Liquid na Kigamboni Yericko Nyerere vs Paul Makonda!

    Naona akina Nyerere bila kujali yupi ni Original na yupi ni fake wameamua kuusaka ubunge kwa udi na uvumba mwaka huu. Hata Makongoro Nyerere wakazi wenzio uliowaacha Mwananyamala Komakoma wanakukaribisha ugombee jimbo la Kinondoni kama itakupendeza. Mungu aubariki uzao wa Mwenye heri Julius...
  4. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Makonda anakagua miradi iliyotekelezwa na Serikali na kisha kuikabidhi kwa CCM?

    Ndugu zangu, au mimi tu sielewi hii kitu! Nauliza ili nipate kujua, nimekuwa nikishangaa huu mkakati wa Paulo Makonda, RC Dar es Salaam. Sijawahi kuona kabla, pengine ni kwa vile sijui! Kama hiyo haitoshi, anatumia nafasi hiyo kuwadhihaki watu na kuwananga ikiwa mbunge wa eneo la mradi...
  5. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania RC Makonda na DC Jokate mlisubiri hadi Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo akate Roho ndiyo mjimwambafai kuwa aliwaomba mumlelee Watoto?

    Hivi mnavyotafuta Sifa na Umaarufu Mitandaoni hasa kwa Kujimwambafai katika Kurasa zenu za Mitandao kuwa Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo aliwaomba mumlelee Watoto zake ( wake ) mnataka kusema kuwa aliona Mumewe hawezi Kuwalea hao Watoto au Mumewe hana tena Uwezo wa Kiuchumi wa Kuwalea hao...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania RC Makonda kumpiga marufuku Zitto Kabwe kuita waandishi ili kuzungumzia suala lolote la Jiji la Dar

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam
  7. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Uhuru huu waliopewa bodaboda ni takrima?

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amenukuliwa akisema; - "Hakuna Bodaboda wala Bajaji itakayokamatwa eti kisa ameingia katikati ya Jiji, mtafanya kazi zenu kwa uhuru mipaka yote ya Dar es Salaam ni halali yenu, hata mkisema tunafanya tamasha la Bajaji na Bodaboda hapa Mnazi Mmoja tutafanya, kikubwa...
  8. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Hili la Makonda kuruhusu bodaboda kuingia katikati ya jiji la Dar es salaam linafikirisha sana kwa hawa wanasiasa wetu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Makonda karuhusu boda ziingie katikati ya jiji. Zuio hili hapo mwanzoni bila shaka lilikua na maana yake pana na imekua kawaida na imekua kama sheria boda boda haziingii katikati ya jiji. Nimezumguuka miji kadhaa mikubwa hua hiki ni kitu wenzetu wengine...
  9. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 RC Makonda: Waendesha bodaboda wajitokeze kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu kupitia CCM

    Hiyo ndio kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda akiwataka waendesha boda boda wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi mkuu kupitia CCM. Anasema CCM kuna Demokrasia ya kutosha hivyo basi ni haki yao kugombea. Maoni Yangu Hiki nacho ni kituko...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 RC Makonda: Viongozi wa dini ombeeni uchaguzi ili tupate viongozi Watakatifu wa kumsaidia Rais Magufuli na watoa kafara wasifurukute

    Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amefanya kikao na viongozi wa dini kupitia jukwaa lao la Kamati ya maridhiano. Makonda amewataka viongozi hao wa dini kuuombea uchaguzi mkuu ili wakapatikane viongozi watakatifu watakaomsaidia Rais Magufuli katika awamu yake ya pili ya uongozi. Makonda amesema...
  11. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli RC Paul Makonda alikuwa Dodoma usiku wa kuamkia leo?

    Heshima kwenu Wanajamvi, Nmeanzisha thread hii kudadisi au kuconnect Dot kuhusiana na Mambo yanayoendelea Dodoma. Leo Jumanne 09 Juni 2020, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, aliandaa Mkutano na Madereva Bodaboda. Sijajua alitaka kuongelea nini, lakini ni kwamba aliwakusanya Madereva wote...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Msaada tunaomba Mhe. Paul Makonda atusaidie, Kampuni ya Jog imechukua fedha za wawekezaji

    Ndugu zangu, Naamini hapa jamvini watu wa aina mbalimbali na nyeti wanasoma jumbe hizi. Kampuni ya Jog Agri-Consult & Solutiions (T) Ltd chini ya wakurugenzi wake Grace Mzoo (Mkurugenzi Mtendaji) pamoja na Jackson Bwire pamoja na Mhasibu wao Cecilia Bukukura imechukua pesa za wawekezaji wa...
  13. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Makonda Kuwa Spika 2020-2025?

    Kuna uwezekano Makonda kuja kuwekwa kuwa Spika baada ya uchaguzi mwaka huu kama Magufuli atashinda. Ndio maana ile sheria yetu kuwalinda Rais, Spika, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu inapitishwa haraka ili kwenda kulinda mambo yake. Mimi najiuliza tu mtu ambaye hana hata course ya sheria anakuwaje...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wanaopora mali za watu wapewe kipigo cha kimataifa

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Pual Makonda amewataka wananchi kuwachunga watoto wao kwani kuna wimbi la vijana waporaji pamoja wanaoiba vifaa vya magari ambalo limeuka hivi karibuni. "Uibe tekino au pochi haina kitu tutakuhesabu kama mwizi wa Dreamliner, kipigo chako ni cha Kimataifa. Wale...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Daladala zapewa ruhusa ya kusimamisha wanafunzi 4 tu kwa mkoa wa Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Pau Makonda ametoa ruksa wanafunzi wanne kusimama kwenye chombo kimoja cha usafiri. Akihojiwa na kituo cha ITV, RC Makonda amesema: “Nimeelekeza watu wote wa daladala kuhakikisha wanabeba wanafunzi wasiopungua wanne (4). Kama ni level seat kwa maelekezo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Shangwe la makonda mji WA rindima

    Kwa hakika watu wametapakaa kwenye shopping kubwa zote za mjini Kwa maeneo niliyotembea mpaka SASA nipo mlimani city hakuna parking kila eneo limejaa gari ndani watu ni kibao, nimetembea kariakooo hakuna sehemu ya kuweka mguu, vilevile maduka kama vunja bei yamejaa kwelikweli hakuna sehemu ya...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Makonda atoa siku 10 kwa Wilaya ya Kigamboni kuhakikisha hospitali inaanza kufanya kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa siku kumi kwa uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kuhakikisha Hospital hiyo inaanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo June Mosi baada ya Majengo yote ya Hospital hiyo kukamilika. RC Makonda ametoa agizo hilo leo wakati wa ziara ya kukagua...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Makonda kabla ya kuudanganya umma kuhusu punguzo la bei ya nguo, tueleze kuhusu punguzo la kodi za nyumba kama ulivyoagiza

    Ikiwa kama watanzania wanaweza kudanganywa na mtu mmoja kama mazombie na bado wakakaa kimya , basi hii itakuwa bahati mbaya sana . Paulo Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitoa amri kwa wenye nyumba kuwapunguzia kodi wapangaji wao kutokana na ugumu wa maisha uliosababishwa na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tunamuhitaji Paul Makonda aje Jimbo la Nyamagana

    Tafadhali Mh Makonda kijana mchapakazi na hazina ya Tanzania, tunakukubali sana Wanamwanza njoo ugombee ubunge jimbo la Nyamagana wewe ni mtoto wa mwanza. Karibu sana kura zote ni NDIYO...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

    Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge. Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za...
Back
Top Bottom