Pants Road Tabata Segerea na Kinyerezi Mh. Makonda amka

Yoranda

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
341
333
Hawa watoto wamejaa mh mkuu wa mkoa weka vijana wako. Wanakata,wanapiga mapanga, wanapora, wanavunja, wanatwaa flat screen, Simu, yaan hawana huruma na korona hii wao kata funua. Jamani msaada wa patrol

Error.
Please correct Panya road
 
Umesha ripoti katika kituo kilicho karibu nawe?
Viongozi wako wa mtaa wanasemaj?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom