makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la JMT siyo lazima awe Mbunge. Mnaoshangilia anguko la Makonda angalieni furaha ya nyani isije kuishia jangwani

    Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi. Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza. So wale watani zangu wa Ufipa...
  2. mgt software

    JamiiForums Tanzania Video Clip zote za tambo za Makonda wekeni hapa ili iwe kumbukumbu kwa wenye tabia kama hii

    WanaJF Katika kuweka kumbu kumbu sawa watu wote wenye video za majigambo na tambo, hata screen short za Twitter, Insta ili iwe funzo kwa watoto wetu kama sehemu ya history kwa vijana wenye tamaa waliozaliwa 1982.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

    Ndivyo ilivyo. Mkuu wa mkoa mstaafu wa DSM Paul Makonda atafanya makabidhiano rasmi na mrithi wake Aboubakar Kunenge katika sherehe fupi itakoyohudhuriwa na watumishi wote. Tumtakie kila la kheri anayeondoka na anayeingia. Maendeleo hayana vyama!
  4. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mpitisheni Makonda amalizie kazi aloianza, Wananchi bado tunamuhitaji

    Sipendi kabisa ushabiki wa vyama vya siasa, Wengi wameshangilia kushindwa kwake katika Chama cha Mapinduzi. My behavioral psychanalysis is:- Kwa kauli za Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi: Makonda ana uwezo mkubwa wa kiuongozi na amekabiliana na tough times kuliko wakuu wote wa mikoa hapa...
  5. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Makonda ashtakiwa kwa Bashiru, hakika wameamua kumzuia Paul

    Katibu Mkuu, Chama Cha Mapinduzi , S.L.P 50, Dodoma. 15/07/2020. Ndugu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, (Dkt) Bashiru Ally, * YAH: NDUGU PAUL MAKONDA KUVUNJA KANUNI NA SHERIA ZA UCHAGUZI KIGAMBONI.* Husika na kichwa cha habari, Kwa heshima kubwa sisi wana CCM Vijibweni-Kigamboni tunapenda...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza Makonda ndicho hicho kingemponza Magufuli

    KILICHOMPONZA MAKONDA NDICHO KINGEMPONZA MAGUFULI. Na, Robert Heriel Licha ya kuwa watu hawa kwa sehemu kubwa nawakubali na kuwapigia chapuo, lakini kamwe sitoacha kusema ukweli kuwa kinachowaponza ni kitu kimoja, ambacho kinafanya wasikubalike kwa wengi. Makonda ni kijana mchapakazi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaweza kumshawishi Makonda awe mgombea wenu wa Urais kama mlivyomshawishi Lowassa 2015

    Hii ni fursa muhimu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kumpata mgombea mwenye ushawishi mkubwa kuliko wale walioko upinzani kwa sasa. Najua CHADEMA imekamilisha zoezi la urejeshaji fomu za urais lakini hiyo haiwazuii kubadili gia angani endapo Makonda atakubali kupeperusha bendera yenu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Paul Makonda: Asanteni sana Kigamboni, mapenzi ya Mungu ni makubwa kuliko mapenzi yangu

    Paul Makonda amesema haya... “Nimepata pole nyingi sana kutokana na matokeo ya jana, kwanza nawashukuru kwa upendo wenu na maombi yenu ya kunitakia mafanikio katika kutimiza NDOTO yangu” “Jambo moja kubwa ni muhimu ni kuyajua mapenzi ya Mungu na katika hili mapenzi ya Mungu ni makubwa...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli kama angesimama na mtu mwingine kwenye kura za maoni asingeshinda kama ilivyokuwa kwa Makonda

    Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu (a bitter truth) ambao wengi hawaupendi. Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda. Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda...
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania Watanzania kushangilia kuangushwa kwa Makonda katika kura za maoni Jimbo la Kigamboni kunaashiria nini?

    Kuangushwa katika kura za maoni za CCM, katika jimbo la Kigamboni, kwa Paul Makonda na Faustine Ndugulile, kumepokelewa kwa shangwe kubwa sana na watanzania wa nchi nzima Hivi hali hiyo inaweza ikawa inaashiria nini? Hivi inawezekanaje kwa mkuu wa mkoa, ambaye mara kwa Mara amekuwa akisifiwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda, Kigamboni na Kazi yake ya Ukuu wa Mkoa, Nini kitafuata au ndio amekuwa raia wa kawaida

    Haya ni mawazo yangu binafsi na kile ninacho hisi naomba nielekezwe au kukosolewa kwa hili, Kwanza, Swali ni Kwanini umati mkubwa sana wa watanzania nchi nzima walikuwa na shahuku ya kutaka kujua matokeo ya Kigamboni, majimbo mengine badae Kwa nini, Kwanini tena Kwanini. Pili, Alikuwa Mkuu wa...
  13. mgt software

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi ya Katibu Mkuu na Katibu Mwenezi kwenda kwa Makonda yamekaa kimkakati kuonyesha habebwi. Akipita tu kuwa uwaziri huo

    Wana JF Mipango mikakati ya viongozi wakuu wakionyesha kuwa Makonda kawahi sana na ana tamaa ya vyeo vya juu wakati angali kijanam na wengine wakasema kuwa watoto wa miaka fulani wana tamaa mbaya, kumbe hiyo ni danganya toto ya kutufanya vipofu kuwa yametimia mwana wa mfalme kabigwa chini. Toka...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Paul Christian Makonda anafaa kuwa Waziri

    Paul Makonda alipewa nafasi ya ukuu wa wilaya na Rais JK akafanya vyema sana, Rais JPM baadaye akampa ukuu wa mkoa Dar. Hapa pia amefanya vizuri sana inategemea mzani unaotumia kumpima (sisi tunampima kwa ilani ya CCM). Ngazi hii pia anapaswa kuivuka, msukumo wa kuhamia ngazi nyingine...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumkata Paul Makonda kwenye Kura za Maoni CCM, siyo maamuzi yenye akili

    KUMKATA MAKONDA SI MAAMUZI YENYE AKILI Na, Robert Heriel Ikiwa CCM itaamua kumkata Mhe. Paul Makonda itakuwa imefanya maamuzi yasiyo na busara. Yatakuwa ni maamuzi yasiyo na akili. Makonda ni moja vijana wachache muhimu kwa zama hizi katika taifa hili. Taifa la Tanzania linahitaji vijana mia...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Paul Makonda na Kigamboni

    Wana jamvi, Niseme tu kwamba ninayo yasema hapa ni maoni yangu binafsi naweza kusahihishwa au la, ni kwamba Paul Makonda anaingia kugombea kwenye Jimbo ambalo alikuwepo Aliye wahi kuwa Naibu Waziri wa Afya, je huyo Waziri mstaafu hagombei tena kwa jimbo hilo? Makonda kuonekana kugmbea huko...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni vema Mambosasa akaondoka na Makonda

    Kwa kadri ya ufahamu wangu wa mambo ya kipolisi , Rpc Mambosasa ambaye aliteuliwa na IGP aliwajibika zaidi kwa Makonda kuliko alivyowajibika kwa mamlaka yake ya uteuzi , wako wanaoona aliwajibika zaidi kwa Makonda binafsi kuliko hata Makonda wa ofisi ya RC , huyu anapaswa kung'olewa kama...
  18. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Makonda hauna tofauti na wa Samatta, watajuta sana

    Habari wana jamvi!??. Uamuzi wa Samatta kila mtu anaujua sihitaji kuuelezea kwa upana. Astoni Villa ipo kwenye hatari ya kushuka daraja, Samatta alicheza UEFA Champions League msimu uliopita lakini sasa anaenda kucheza Championship. Makonda alikua mkuu wa mkoa wa Dar anaenda kuomba kugombea...
  19. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sylvester Mujuni 'Mpoki' achukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni

    Mpoki amejitokeza kuomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni. Mpoki ni msanii wa vichekesho, mshehereshaji, mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni redio ya EFM na pia ni mwimbaji wa nyimbo za kugani. Pia soma > Mpoki ndio mchekeshaji bora wa stand up comedy kwa Tanzania > Huyu Mpoki vipi...
  20. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, kauli hizi za 'Tamaa ya Madaraka na kutomtuma mtu kugombea' alizotoa Rais Magufuli ni dongo kwa Makonda na Gambo?

    Rais Magufuli baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dodoma amenena kwamba viongozi mbalimbali hawaridhiki kabisa na madaraka hasa waliozaliwa mwaka 82 (1982). Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na...
Back
Top Bottom