Shangwe la makonda mji WA rindima

Opportunitycost

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
307
500
Kwa hakika watu wametapakaa kwenye shopping kubwa zote za mjini Kwa maeneo niliyotembea mpaka SASA nipo mlimani city hakuna parking kila eneo limejaa gari ndani watu ni kibao, nimetembea kariakooo hakuna sehemu ya kuweka mguu, vilevile maduka kama vunja bei yamejaa kwelikweli hakuna sehemu ya kukanyaga, foleni Kwa barabara ya traaa, shekilango, samujoma, n kubwa mno, hakika Mkuu WA mkoa ana kipaji cha ajabu cha kushawishi.
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,660
2,000
HUYU ATAKUWA MGENI WA JIJI, SIKU ZOTE INAPOKARIBIA SIKUKUU HASA HII YA IDD WATU HUWA WENGI SANA TOWN WAKINUNUA MAHITAJI.HAIJALISHI KUNA CORONA AU HAMNA
 

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
5,887
2,000
Hukute kaanzisha mada hata Dar hajui ilipo.

Sasa kuweka picha mpaka mjombako aje kukusalimia mmh?
 
Top Bottom