Tunamuhitaji Paul Makonda aje Jimbo la Nyamagana

Kiki kileo

Member
May 3, 2020
49
125
Tafadhali Mh Makonda kijana mchapakazi na hazina ya Tanzania, tunakukubali sana Wanamwanza njoo ugombee ubunge jimbo la Nyamagana wewe ni mtoto wa mwanza. Karibu sana kura zote ni NDIYO...
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
30,403
2,000
Tafadhali Mh Makonda kijana mchapakazi na hazina ya Tanzania, tunakukubali sana Wanamwanza njoo ugombee ubunge jimbo la Nyamagana wewe ni mtoto wa mwanza. Karibu sana kura zote ni NDIYO...
Hapo mnaletewa kijana mchapa kazi kutoka Chadema!
 
Nov 12, 2019
94
150
Hahaha Siasa Ni kitu Cha ajabu Sana.. Makonda huyu huyu aliekua anapigiwa kelele mpaka na miziki akatungiwa.. kanisani, misikitini mpaka na nchi za mbele wakampiga ban leo anagombaniwa akagombee wapi..

Dah! 2020 pita tu uende!!
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
23,687
2,000
Huwaga wapo kwenye kambi ya waziri mkuu huwa wanabana vitu lakini vinahishia kutopata urais wanawake wao:

1. Malecela
2. Majaliwa
3. Pinda
4. Lowasa
5. Msuya

Tawezekana hawakuoa wanawake wenye dharau hapo zamani ulikuwa handsome na ulikuwa na fedha nyingi na vingora hadi nyumbani baby

Ndiyo walivyo saizi hatujui nani ni nani maana kama walituletea uongozi wa kuridhi itakuwa fursa kwa hisani ya watu wa marekani

1. Watoto na mke wa Nyerere
2. Watoto na mke wa mwinyi
3. Watoto na mke wa mkapa
4. Watoto na mke wa kikwete
5. Watoto na mke wa magufuli

Kukaa ikulu raha lazima siri zitavija ukiweka toy la urais,,

Lazima wawagawe wanawake
Hao wote ni wagombea wa Nyamagana,si mchezo.
 
Nini hiki?
 
Hawa ulowataja wanakuja Nyamagana?
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
49,968
2,000
Hii nchi bora wangepewa wachaga wajanja kuliko wasuKuma
Mpaka imefika hatua wanaanza kuvutan na USA
Wanaipigania Zimbabwe ifutiwe vikwazo bila kujua sababu y hivyo vikwazo
Makonda huyu kwenye vikwazo anaandaliwa kuwa kwenye high ranking, mnadhani nchi itaishia wapi?
Makonda ni pusher
 
Top Bottom