Tetesi: Makonda Kuwa Spika 2020-2025?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Kuna uwezekano Makonda kuja kuwekwa kuwa Spika baada ya uchaguzi mwaka huu kama Magufuli atashinda. Ndio maana ile sheria yetu kuwalinda Rais, Spika, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu inapitishwa haraka ili kwenda kulinda mambo yake. Mimi najiuliza tu mtu ambaye hana hata course ya sheria anakuwaje Spika?

Je hii kitu wadau imekaaje? bunge litakuwaje chini ya mtu design ya Makonda.
 
Kuna uwezekano Makonda kuja kuwekwa kuwa Spika baada ya uchaguzi mwaka huu kama Magufuli atashinda. Ndio maana ile sheria yetu inapitishwa haraka ili kwenda kulinda mambo. Mimi najiuliza tu mtu ambaye hana hata course ya sheria anakuwaje Spika?

amepangwa kumbadili mzee wa kusini "Katelefoni".
 
Kuna uwezekano Makonda kuja kuwekwa kuwa Spika baada ya uchaguzi mwaka huu kama Magufuli atashinda. Ndio maana ile sheria yetu inapitishwa haraka ili kwenda kulinda mambo. Mimi najiuliza tu mtu ambaye hana hata course ya sheria anakuwaje Spika?

Je hii kitu wadau imekaaje? bunge litakuwaje chini ya mtu design ya Makonda.
Sio bure umerogwa ,na aliekuroga kafa
 
Kuna uwezekano Makonda kuja kuwekwa kuwa Spika baada ya uchaguzi mwaka huu kama Magufuli atashinda. Ndio maana ile sheria yetu inapitishwa haraka ili kwenda kulinda mambo. Mimi najiuliza tu mtu ambaye hana hata course ya sheria anakuwaje Spika?

Je hii kitu wadau imekaaje? bunge litakuwaje chini ya mtu design ya Makonda.
Ni jambo jema!
 
Back
Top Bottom