makamu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kenya: Rais na Makamu wanakinzana wanavumiliana, Tanzania Rais ni Bunge, Mahakama na Serikali

    Tutazidi kusindikiza kwenye uchumi na kutengeneza wanafiki wa Taifa kupitia mfumo wa serikali tulioasisi awamu ya Tano. Yupo kiongozi wa Dini amediriki kutamka adharani kwamba tunakosa viongozi wenye maono, naomba niseme siyo wenye maono tu Bali wenye nguvu yakupanbana kwa hoja. Kenya awapo...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Philip Mpango pole na hongera kwa hisia za Wanamtwara. Umeonesha uongozi bora

    Dkt.Mpango wewe nikiongozi uliyeonyesha UONGOZI BORA NA SI UTAWALA WA MABAVU. Hakika mbele za Mungu nakupongeza sana. Leo 26/7/2021 umehutubia wananchi wa Mtwara waliokusanyika katika kuweka jiwe la msingi hospitali ya kanda ya kusini.Katika kufuatilia waliopewa nafasi ya kuhutubia miongoni...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud: Kuumiza watu ili uwe kiongozi ina raha gani?

    "Kuumiza watu ili uwe kiongozi ina raha gani" Mhe Makamu wa kwanza wa Rais -Serikali ya mapinduzi Zanzibar
  4. K

    JamiiForums Tanzania Usiombe mpate CEO asiyejishughulisha kusoma; mtaua kampuni

    Nimegundua ipo nguvu kubwa sana katika kusoma kitu kabla ya kusaini. Nimeona Kampuni yetu ikifilisika kwa sababu tu ya CO mpya alikuwa ni mtu wazimamoto asiyejipanga kupitia anachosaini. Jamaa kasaini mkataba wenye mapungufu lukuki akiamini cabnet yake watasoma. Kabinet nalo likaamini Wataalamu...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mkoa wetu wa Kigoma kutoa kiongozi ngazi ya Makamu wa Rais, sisi wana ACT pamoja na kiongozi wetu Zitto kabwe,tunaweka silaha chini

    Hivi nchi imetupa heshima hivi tunataka nini? Mkoa umetoa makamu wa Rais. Tunaweka silaha chini kumuenzi mwana kigoma mwenzetu, cha msingi atupiganie. ACT wazalendo kama chama cha waha, tunasema Samia katuheshimisha,tutamlipa kwa kura zote 2025,na wabunge wote, madiwani, na viongozi wote wa mitaa
  6. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kwa matamshi haya kuhusiana na uchaguzi mdogo huko Zanzibar, Makamu wa Raisi Zanzibar kutoka ACT-Wazalenido kujiuzulu wakati wowote?

    Haya kumekucha huko Zanzibar
  8. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar: Kuumiza watu ili uwe kiongozi ina raha gani?

    Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumchagua Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni kosa kwa kuwa kashfa nyingi zipo Wizara ya Fedha

    Mh. Madam President ana haki kabisa kumchagua msaidizi wake. Ila alifanya kosa kwa kumchagua Dr P. Mpango. Sababu kuu ni kuwa ametoka wizara nyeti ya Fedha. Wizara hii aliiongoza kwa miaka 5 na zaidi na ndio inayoongoza kwa kashfa za ubambikaji wa kodi, kushuka kwa thamani ya shilingi, wizi...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Shaka amvaa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar; "Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya Serikali unahudumiwa kwa kila kitu''

    "Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo" "Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki lafanya Uchaguzi wa Rais, Makamu na Katibu Mkuu

    Wanabodi, Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania katika mkutano wake Mkuu wa 77 uliofanyika makao makuu Kurasini kuanzia tarehe 21-25 Juni 2021 walifanya uchaguzi wa Viongozi watakaosimamia wa shughuli za baraza katika miaka mitatu ijayo kuanzia 2021 mpaka 2024 Baraza limemchagua...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango atambue utendaji mbovu wa MSD umechangiwa na mambo haya

    Jana Jumatatu tarehe 21 June,2021 Makamu wa Rais Mh. Dkt Mpango aliitembelea Bohari ya Dawa MSD ili kujua utendaji wa hiyo Bohari ambayo ni kiungo muhimu sana katika sector ya afya kwasababu MSD inashughulika na mambo makuu 3 kutokana na uanzishwaji wake na sheria ya bunge na. 13 ya mwaka 1993...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa Siasa za Dunia hasa Makamu akionekana na 'Pistol' Kiunoni, ila Mkuu wa nchi hiyo hiyo akiwa 'Huru' kabisa?

    Na mnavyojitahidi Kujilinda na hizo 'Pistol' zenu kwa Uwoga wenu na Kujihisi kwa 'Madhambi' mliyofanya mjitahidi pia hata Corona 'iliyowakosakosa' na Dally Kimoko Viruses mjilinde nayo kwa 'Silaha' hiyo hiyo. Karibuni sana hapa Kwetu Herzegovina.
  14. Geza Ulole

    JamiiForums Tanzania Hivi mambo ya Ulinzi ya Muungano inakuwaje Rais wa Zanzibar badala ya Makamu wa Rais anawakilisha Jamhuri?

    Naomba kujua Katiba inasema vp hapa? Maana kama Rais wa Jamhuri hawezi kwenda, mbona Makamu wa Rais asimuwakilishe? Je Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Mambo ya nje hawawezi kumuwakilisha Rais wa jamhuri wa Muungano kama Rais na Makamu wa Rais hawawezi? Tusikae kimya tukiona katiba inasiginwa kwa...
  15. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais kesho kufungua wiki ya Sokoine

    Kama inavyojieleza Kwenye Picha hapo chini
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais na Taasisi saidizi zirudi Dar es Salaam, Makamu wa Rais abaki Dodoma

    Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote. Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru 2021, Umewashwa na makamu wa pili wa Rais Zanzibar utakimbizwa siku 150!

    Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir. Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita. Source: ZBC
  18. J

    JamiiForums Tanzania Jimbo analotoka Rais au Makamu wake haliwezi kuongozwa na mbunge wa upinzani!

    Hilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa. Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM vs TLP ya Mrema. Jimbo analotoka kiongozi wa juu lazima liwe na usalama wa kutosha. Kazi Iendelee!
  19. U

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais azuru Kaburi la Magufuli akiwa njiani kuelekea Kibondo

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli. Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilikuwa kinamzuia Mama Kunyuka Pamba za maana alipokuwa Makamu na sasa anazinyuka kweli kweli?

    Tokea ale Kiapo chake hakuna Nguo anayovaa isimpendeze na hata isivutie Machoni mwetu Wazee wa Kuchunguza na Kudadisi kila Kitu. Siyo Siri Nguo alizokuwa akizivaa alipokuwa Makamu zilikuwa hazina Mvuto na zilizidi Kumzeesha Mithili ya Bibi Kizee mwenye Mkongojo wake. Halafu naona hata Usoni...
Back
Top Bottom