maji

  1. JamiiForums Tanzania Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

    Haya haya jamani mji umechafuka kwa mara nyingine tena... Wakati Kajala anaendelea kutrend kutokana na picha zake na Harmonize wakiwa Zanzibar ikidaiwa wawili hao ni wapenzi, leo hii yameibuka mapya baada ya Rayvanny kutoka WCB kupost video akiwa na Paula Mathysse ambaye ni mtoto wa Kajala na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania DAWASA na ubambikiaji wa bili za maji

    Katika siku za karibuni mashirika yanayojiendesha yamekuwa katika mikakati ya kuhakikisha yanazalisha pesa kwa namna yoyote Ile ili mradi wapate kujiongezea stahiki na mambo mengine, sasa katika harakati hizi ni DAWASA. DAWASA imekuwa ikilalamikiwa na wateja wengi sana kuhusu bili za maji...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Temeke, chunguza kampuni ya Wachina inayojenga Mtaro Mkubwa wa Maji ya mvua

    Nimekuona ukipambana na Wachina wanaojenga barabara ya Mwendokasi huko Mbagala , sasa Wachina wale wa Mwendokasi wana nafuu mno kuliko hawa wanaojenga mtaro wa maji ya mvua kuanzia kule kwenye kiwanda cha bia cha Serengeti, haifahamiki walipataje kazi kubwa hivi kwa viwango vyao duni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Faida ya maji ya madafu yakichanganywa na ndimu au limao

    Siku za hivi karibuni watu wamekuwa wakitumia maji ya madafu na kuchanganya na ndimu au limao, huku wengine wakijiuliza ikiwa mchanganyiko huo hauna madhara yoyote kiafya. Tafiti zinaeleza kuwa maji ya madafu yana faida kede kede mwilini, lakini lamao linaweza kuongeza ladha na lina vitamin C...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kufika Comoro kwa njia ya maji (bahari)

    Wakuu habari zenu, Poleni na majukumu ya kutwa nzima ya leo. Naomba kujua namna ya kufika comoro kwa njia ya maji. Na je kuna vyombo vya moja kwa moja toka Dar au Zanzibar mpaka huko? Kuna fursa gani za kiuchumi huko? Kuna watu wameniambia ukipeleka zile culture wanazovaa vijana kule soko ni...
  6. JamiiForums Tanzania Huduma ya kusambaza maji imewashinda mmeamua kufanya biashara ya kuuza mabomba kwa Wananchi

    Napenda kuishauri serikali kuu kuzuia taasisi zake kuacha biashara ndogo ndogo kwani kufanya hivyo ni kuzuia kukua kwa biashara na wajasiliamali kwa ujumla hivyo kupunguza mzunguko wa pesa na kuikosesha serikali kodi. Mfano shirika la kusambaza maji Morogoro MOROWASA linalazimisha wananchi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania KKKT Sinza wachukua tahadhari ya Corona waanza na maji tiririka na social distancing ibadani!

    Ni jambo jema. Kinga ni bora kuliko tiba. Niwapongeze sana Kanisa la KKKT Sinza kwa umakini wenu katika kukabiliana na wimbi jipya la Corona. Nawatakia Dominica yenye baraka.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua mradi wa maji Kagongwa - Kahama

    Rais John Magufuli akizindua mradi wa maji ulioko Kagongwa, Isaka - Kahama Mradi umegharimu takriban Tsh bilioni 23.157 fedha ambazo zimetolewa na serikali ya Tanzania. Matenki yanajaza lita milioni 1.6 Serikali ilitoa tsh. 24 mkandarasi alitumia Tsh bilioni 23.157
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hongera CHADEMA kwa kuweka ndoo ya maji tiririka ya kunawa pale ofisini Makao makuu Ufipa st

    Hii nimeipenda na ni jambo jema kwa kweli. Ni ofisi chache sana utakuta kuna maji tiririka ya kunawa mikono kadhalika niwapongeze wahudumu wa Viva supermarket pale Makumbusho kwa kuvaa barakoa. Maendeleo hayana vyama!
  10. JamiiForums Tanzania Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

    My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu). Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Chemba ya majitaka round about ya Mwenge kuelekea TRA jirani na Mwenge Sokoni ni kero kubwa sana

    Kwakweli hii chemba imekuwa kero sana kwa watumiaji wa hiyo njia kwani mara kwa mara inazidiwa uwezo na kupelekea maji taka kutoka katika mfuniko wake na kusambaa katika barabara na kuleta kero kubwa na hatari ya kupata magonjwa ya mlipuko kwani maji yenyewe ni meusi na yananuka sana ukizingatia...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ukifikiri kwa kina utafahamu kuwa Mtu ni hewa, Maji ni hewa; Vitu ni hewa

    Angalia vitu vyote katika maendeleo yao na mageuzi yao, hewa ni ya lazima. Michakato yote ya viumbe haiwezekani bila uwepo wa hewa. Kitalaamu hewa inaelezwa kuwa ni mkusanyiko wa gesi mbalimbali. Ukitazama, kwa mfano hewa (gesi) ya oksijeni, ambayo ni ya lazima kwa uhai wa viumbe hai, maana...
  13. JamiiForums Tanzania DAWASCO Kimara fungueni Maji, Hali ni Mbaya

    Habari wanabodi, kama Kuna mtu anamfaham Meneja wa DAWASCO Kimara, tafadhali amjulishe kuwa afungue maji mchana huu kwani Hali huku mtaani ni Mbaya Sana. Siku ya 4 leo inaenda maji hakuna, na hata watu wanaouza toka kwenye matanki yao wameishiwa maji, hivyo, Hali sio ya mchezo kabisa. Kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Umasikini wetu ni wa kujichagulia. Je! Inaleta maana yoyote? Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu kuwa maskini? Hapana!

    Je! Inaleta maana yoyote kwamba Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu, na maji tosha; kuwa masikini zaidi ulimwenguni. Umasikini wetu ni ule wa kujichagulia, Afrika inapaswa kutafakari tena mfumo wake wa uchumi na metriki za kupima mafanikio. Wengi wenu bado...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Irrigation system maji ya visima virefu yenye chumvi

    Naomba kujua changamoto za irrigation system source ya maji ni kisima kirefu 100 mtrs. Ukimwagilia maji shambani kwa mpira wa kawaida baada ya km mwezi pakikauka panapauka inaiona chumvi chumvi juu ya udongo lakini hayo maji kwa kunywa huisikii kbs chumvi na tunayanywa kama kawaida...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SGR Morogoro mwageni maji kwenye diversion

    Kuna maeneo mawili ambapo wajenzi wa reli ya kisasa SGR wamefanya mchepuko wa barabara katika manispaa ya Morogoro,moja ni Kihonda na ya pili ni mbele kidogo Lutheran Junior seminary. Shida kubwa ni kuwa hawamwagillii maji hizi diversion ni hii inasababisha vumbi jingi. Mnaowakagua...
  17. JamiiForums Tanzania Unajua kwanini maji ya kuchemsha hupoteza ladha (flat taste)? Fahamu nini ufanye kurudisha ladha yake

    UNAJUA KWA NINI MAJI YA KUCHEMSHA HUPOTEZA LADHA? Mbinu ya kuchemsha maji ni moja ya mbinu ya kuyafanya maji kuwa salama, kupitia mbinu hii utaweza kuua vijidudu, bacteria na virusi mbalimbali ambavyo vipo katika maji. Ubaya wa njia hi ni kwamba, baada ya hapo maji yanakua hayana ladha (flat...
  18. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maji baadhi ya maeneo ya Dodoma kwa takriban wiki sasa tatizo nini?

    Habari za usiku, ninachukua nafasi hii kuwauliza wahusika wa mamlaka ya maji Safi na Taka ya Dodoma (DUWASA) kutopatikana kwa maji takriban wiki sasa katika maeneo ya mailimbili Oysterbay tatizo nini? -DUWASA mnafahamu fika kuwa mji wa Dodoma hauna Visima,mito na mabwawa kama njia mbadala ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi Majini, hasa mkiwa baharini kuweni Makini

    Kumekuwa na watu ambao hupenda fanya mapenzi majini hasa hasa baharini. Nliwahi shuhudia mmoja kunduchi wakati anafanya tendo hilo akabanwa na mshipa. Alipiga kelele sana huku na mpenzi wake naye akikimbia chupi ipo upande.jamaa mashine inaonekana inatema some heavy liquid kama pua inayotokwa...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania SIM Tank La Maji Lita 10000 Linauzwa

    Sim Tank La Maji Lita 10000 linauzwa lipo Dar, Bei 1,000,000, Karibuni kwa maelezo zaidi PM Please
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…