maji

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Zile fly-over tunazosimangwa nazo zimejaa maji

    Mungu ni mwema kutufumbua macho, Yale maendeleo ya vitu hali yake ndiyo hii.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr acha uongo wachawi hawaivi na aina ya maji na sio kila maji

    Ipo hivi wachawi hawapatani na baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini. Maji ya mvua!!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe. Maji ya bahari!!! Hii...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wananchi, Wanafunzi na Zimamoto washirikiana kuzima moto Mlima Kilimanjaro

    Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka (CAWMSO) amewaomba wanafunzi waliopo chuoni kushiriki kikamilifu katika kuzima moto katika hifadhi ya Kilimanjaro. Mamlaka za Hifadhi za Taifa ilisema sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro ilianza kuungua tangu jana mchana na waliendelea juhudi za...
  4. Somoche

    JamiiForums Tanzania Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

    Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane. Hii mvua itasaidia kupunguza vumbi kwa muda mrefu Jiji hili halikua na mvua. Lakini pia Mvua hutuonyesha kwamba Mji wa Dar na miji mingine Mikubwa inatakiwa ipangwe hata kama Sio mji mzima lakini Maeneo yotr ya Miji hii Mikubwa Yanatakiwa kuwa Na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mamlaka ya maji jiji la Mwanza (MWAUWASA)

    Kwa muda mrefu sasa utendaji wa Mamlaka ya Maji Jiji la Mwanza umekuwa hauridhishi hata kidogo na hii imetokea tangu Mhandisi Sanga ambaye kwa sasa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji kuondolewa kutoka Mamlaka hii na kupewa wadhifa mwingine. Mfano hai ni pale kila kukicha kuna shida ya maji...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

    Hatimaye adhabu aliyopewa Tundu Lissu imemalizika Jana. Mgombea huyo anayeungwa mkono na mamilioni ya Watanzania leo ataendelea na Kampeni yake katika mikoa ya Dodoma katika maeneo ya Chamwino na Singida katika maeneo ya Ikungi na Manyoni. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ni kichekesho Cha...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu meter ya Maji

    Wakuu naomba kuuliza Jana nimefunga meter ya Maji baada ya kuchukua bomba toka kwa jirani yangu nyumba anaishi kijana tu sasa tumeamka asbh meter inasoma unit moja wakati jana tulichota ndoo mbili tu
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania Je, Dunia ipo chini ya maji??

    Nimesoma kitabu Cha Mwanzo (Genesis) na kwa Tafsiri yake naona kama vile tunaishi chini ya maji. Mwanzo 1 :6-10, inasema; "Then God said, let there be a firmament in the midst of the waters , and let it divide the waters from the waters. Thus God made the firmament and divided the waters which...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na maji yenye harufu sehemu za siri

    Habari, Mimi ni binti nasumbuliwa na maji kutoka sehemu zangu za siri yenye harufu sana. Nilienda hospitali mara 4 kwa vipindi tofauti tofauti nikafanyiwa vipimo wakakuta nina vivimbe maji kwenye mirija ya uzazi. Nikapewa dawa, baada ya miezi mitano hali imerudi upya. Nakosa amani kabisa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Tunduma hatutaki maji Yenu! kura zetu ni chadema!

    Habari wangu? Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
  11. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

    Habari wangu? Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
  12. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

    Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea CCM inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa maji kwenye uume

    Samahani naomba kuuliza, Nimepatwa na hili tatizo yapata mwezi sasa. Maji yanatoka kwenye uume wangu hayana harufu na wala sio usaha. Nikikojoa hapaumi, ila kuna muda yanachuruzika na muda wote sehemu ya kutolea mkojo inakuwa mbichi.
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Maji ya shingo Temeke, mgombea wao wa ubunge hafahamiki popote, Sina Manzi wa CHADEMA ang'ara

    Ikiwa kumesalia mwezi mmoja tu kufanyika kwa uchaguzi mkuu, hali ya CCM kwenye jimbo la Temeke ni dhoofuli hali, Mgombea wake aliyeshindwa kura za maoni na Abbas Mtemvu aitwaye Dorothy Kilave hawezi kushinda uchaguzi kwa vile hajulikani na wapiga kura wala hajulikani hata anakoishi, hana...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Maji hakuna eneo la nyumba zinazozunguka Machinjioni Mwanza

    Kuna ndugu yangu anakaa Machinjioni Mwanza tulikuwa tunaongea nae kwa simu akasema huko kwao maji hutoka mara moja kwa wiki usiku wa manane siku usiyojua!! Nikasema hii kali maji hakuna bombani na ziwa viktoria limezunguka mji na maji hayana mwenyewe! Kweli umaskini ni akili si pesa!! Sasa watu...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kupunguza chumvi kwenye maji ya visima ili yafae kunywa

    Nimemuuliza jamaa yangu tuliyesoma nae yeye alikuwa bingwa wa kikariri hivyo alisoma science ya bongo. Ni vipi nitapunguza chumvi chumvi kwenye kisima changu kaniambia nunua chumvi ya mawe kama kilo tatu halafu kamwage kwenye hicho kisima,kisha anakata simu! Sasa nimempigia saana...
  17. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ukitaka guest, lodge au motel ijae na ipendwe basi isikose vitatu ndani ya vyumba,tv,computer, maji ya moto, ofa ya polisi 2 kulala bure

    Computer utaweka kila chumba kitakachobaki ni mteja kuja na modem yake kwa ajili ya internet,kama hana basi aje na flash ya nyimbo au device nyingine,TV pamoja na maji ya moto,na ofa ya polisi wawili kulala Bure hotelini kwako utakuwa umeweka ulinzi bila wao kujua.naiomba serikali iamlishe kila...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM maji ya shingo Kyela, wapambe wa Mwakyembe waapa kuichagua CHADEMA. Mangula ashindwa kuokoa Jahazi

    Huku ikiwa bado Mbeba Maono Tundu Lissu kukanyaga ardhi ya Kyela, tayari CCM imeanza kupukutika yenyewe mithili ya mti wakati wa kiangazi, makovu ya kura za maoni yanaendelea kuitesa baada ya wapambe wa Mwakyembe kujiapiza na kugoma kumnadi wala kumpa kura zao mgombea wa CCM Ally Jumbe ambaye...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 Kawe Barabara ni mitaro ya maji, Gwajima okoa jahazi

    Kwa miaka 10 aliyokaa Halima Mdee kuwakilisha jimbo la Kawe, maendeleo ya miundombinu ya kijamii ni kama hakuna. Barabara chache sana za kuunganisha maeneo zimejengwa. Nimeishi jimbo ka Kawe zaidi ya miaka 20 baada ya kuhamia huku toka Temeke. Hali ya jimbo la Kawe inatisha. Tunahisi Mdee aidha...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

    Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa" Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
Back
Top Bottom