maji

  1. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Waziri wa Afya alivyokuwa na maono, kinachofuata ni kuongeza makato kwa wachangiaji

    Hili la NHIF na hospitali binafsi limeonesha uwezo mdogo wa kutatua matatizo alionao waziri wa afya pamoja na huyo bosi wa NHIF. NHIF ina changamoto kuu mbili 1. Matumizi makubwa ya fedha kwa shughuli za kuendesha ofisi, hata ripoti za CAG zimeonesha namna wanavyotumia fedha hovyo. 2...
  2. JamiiForums Tanzania Tukutie Maji l (Nibadili Dini)

    Jana Mida ya Saa 8. Nilitoka Nje ya sehemu Yangu ya kibiashara(Ninapotafutia Ridhiki) Kuna Watu walikua wanacheza Draft wanachangamsha Akili, Miongoni mwao alikuepo mzee mmoja ambae ni kiongozi ktk msikiti fulani. Mara Nyingi huwa nafanya Baadhi ya Mambo ktk huo msiki ikinipendeza kufanya, na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Pepsi imeadimika mtaani? Je chanzo ni umeme, maji na sukari?

    Pepsi imekuwa adimu sana mtaani, hapa Dar es Salaam na viunga vyake. Chanzo ni nini? Bila Pepsi baridi sana jiji linaboa na hili joto lake.
  4. B

    JamiiForums Tanzania DAWASA tupeni majibu kama mmeanzisha mgao wa maji huku Kimara Bonyokwa

    Asante kwa kuturudishia umeme, asante kwa kuchukua maji. Kazi iendelee mpaka tunyooke. Kwa kifupi wananchi hatutakiwi kuwa na amani hata kidogo. Siku kadhaa nyuma tulikuwa tunalia suala zima la mgao wa umeme, lakini naona sasa hivi angalau kuna nafuu. Lakini sasa, limekuja suala la maji, kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini inakatazwa kuingia na maji kwenye chumba cha mtihani?

    Wasalaam. Tangu nikiwa chuo ilikuwa hairuhusiwi. Nikaja kwenye professional examination ilikuwa hivyo. Hata wakati nafanya CPA na ACPB na kisha CPSP niliona wakikataza. Swali linajieleza lenyewe. Sababu hasa ya kukatazwa ni nini?
  6. JamiiForums Tanzania Tanga: UWASA yazindua Hatifungani ya kwanza Afrika Mashariki ya Miundombinu ya Maji yenye thamani ya bilioni 53.12

    Tanga: Hatifungani ya kijani ya miundombinu ya maji yenye thamani ya Shilingi bilioni 53.12 imezinduliwa na Mamlaka ya Maji Tanga, taasisi ya serikali inayojitegemea. Hatifungani hii ya kwanza katika historia ya masoko ya mitaji nchini na ukanda wa Afrika Mashariki, inalenga kugharamia mradi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Urusi ilipozuia nafaka kelele zilikuwa kubwa.Israel imezuia vyakula vyote na maji wanaolia ni watu wa Gaza peke yao

    Unafiki wa dunia umefikia kiwango cha juu kiasi kwamba ni wachache sana wanaoumia wenzao wanapopata shida. Urusi ilipotishia kuzuia nafaka zisitoke Ukraine Ulaya nzima walipiga makelele wakiilaani Urusi kutumia chakula kama silaha ya vita.Urusi ikasikia na wakaachia meli ziondoke na nafaka...
  8. JamiiForums Tanzania Wahuni huuliza Katiba itakuletea maji, umeme na barabara?

    Hawana tofauti na wafuasi wa shetani ambao wanapotosha Neno la Mungu kwa maslahi yao binafsi. Tunataka KATIBA mpya na siyo hisani za rais
  9. S

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwanza, ukosefu wa maji ni shida kubwa ya muda mrefu

    Wapendwa wadau habarini, Mkoa wa Mwanza na viunga vyake (Nyamagana) kumekua na ukosefu mkubwa wa maji unaopelekea watu kuhangaingaika Kila kukicha. Serekari ilitamka December mradi mkubwa wa maji (Butimba utakua umekamilika) mpaka sasa hakuna kitu. Umeme: mgao wa maji uliokuepo sasa umetoweka...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kufungwa mashine, kutasababisha maji kufunguliwa bure Bwawa la Nyerere

    Mradi wa Bwawa la Nyerere tuliambiwa ungekamilika June 2022, lakini haikuwa hivyo. Hata hivyo mwezi wa 12/2022 bwawa la mwalimu nyerere lilianza kujazwa maji, ambapo Ili bwawa kujaa kabisa linapaswa kufikia Mita 184 kutoka usawa wa bahari. Kusua kusua Kwa mradi na kuchelewa Kwa kufungwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaume epuka kuoga maji ya moto

    Tunaelewa joto la dar ni kali lakini jitahidi mwanaume usioge maji ya moto/yaliyopigwa na jua kwa muda mrefu. Kwa sababu nimeona niwafichulie siri, imetoka ripoti kutoka hospitali fulani kuwa kesi za ugumba kwa wanaume zinazidi kuongezeka siku hadi siku. Inaeleweka kitaalamu kuwa pumbu...
  12. JamiiForums Tanzania TRA mnajisikiaje kukamua kodi kutoka kwa wafanyabiashara wanaopata hasara kwa kukosa umeme na maji?

    TRA Tanzania hii hoja naiweka mezani kwenu. Mnakusanya kodi kwa niaba yetu ili tuweze kuwekeza kwenye maendeleo ya nchi. Lakini sasa, serikali inashindwa kuprovide umeme wa uhakika na kupelekea gharama za uzalishaji kuwa juu kwa sababu ya kutumia vyanzo mbadala vya nishati ya umeme. Anguko la...
  13. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa afya; mtindo wa watu kuoga maji baridi ili kupooza miili, je kuna madhara kiafya?

    Salamu waungwana. Nisiwe na maneno mengi mimi nina swali hili kwa wataalamu wa afya na wizara ya afya kwa ujumla. Je, mtindo wa watu kuoga maji baridi ili kupooza joto la miili yao ni salama kwa afya? Kama sio salama kwanini wizara na wataalamu wa afya hamlizungumzii hili suala hata kutoa...
  14. JamiiForums Tanzania Eti kuna maji aina ngapi kwenye mapenzi?

    Nipo Kariakoo hapa dukani. Dada mmoja maskini akaingia kununua vitu, akamwomba muuza duka maji ya kunywa. Mwenye duka akamwuliza, maji gani unataka? Pia unataka Maji ya rangi gani? Ee me ninayo maji yangu ila ya kuuza yameisha, maji nayotoa mimi bure kabisa. Sasa dada wa watu akashangaa kwani...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nchi haina sukari, maji, umeme na dola

    .
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Shally Raymond: Kupata Ndoo ya Maji Same ni Elfu 4 Hadi Elfu 5

    Mbunge Shally Raymond: Kupata Ndoo ya Maji Same ni Elfu 4 Hadi Elfu 5 Mbunge Shally Raymond amelieleza Bunge kuwa bei ya maji hivi sasa kwa jimbo la Same Mashariki mkoani Kilimanjaro ni kati ya shilingi elfu 4 na shilingi elfu 5 kwa ndoo huku akisema adha ya maji katika jimbo hilo inawakumba...
  17. JamiiForums Tanzania UDART Jangwani ni mradi wa Mtu, kelele za chura hazizui Tembo kunywa maji!

    Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za mazingira. Baadhi ya sheria zinazotajwa kukiukwa katika ujenzi wa karakana hiyo ni Sheria ya...
  18. JamiiForums Tanzania DAWASA yawapa uhakika wa huduma ya Maji wakazi wa Bonyokwa na Kisukuru

    Mradi wa kuboresha huduma ya maji Bonyokwa uliofikia asilimia 70 ya utekelezaji wake huku ukihusisha ujenzi wa bomba kubwa na kufunga pampu ya kusukuma maji (Booster pump) unatajwa kwenda kujibu changamoto za kihuduma katika maeneo hayo. Kukamilika kwa kazi hii kutasaidia kuongeza upatikanaji...
  19. JamiiForums Tanzania DAWASA: Changamoto ya Umeme Mdogo imesababisha baadhi ya maeneo ya Dar kukosa Maji, maboresho yanaendelea

    Mamlaka ya Majisafi na Uhifadhi wa Mazingira (DAWASA), imesema inaendelea kufanya maboresho katika maeneo yenye Changamoto ya kukosa Maji katika Jiji la Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na maeneo ya Segerea. Taarifa iliyotolewa na Everlasting Lyaro ambaye ni Afisa wa Mamlaka hiyo aliyezungumza na...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya maji Sengerema (SEUWASA) mmeamua kuwanywesha maji ya kisima wananchi wenu ili wapate kipindupindu vizuri?

    Tumekuwa tukiwalalamikia mara kwa mara hawa mamlaka ya maji sengerema kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wananchi wao Mbunge pamoja na wananchi wamepiga kelele weee mpaka wamechoka lakin hawaelewi sasa kama mh wazir upo humu jukwaan jaribu kuimulika uone uozo wa wafanyakazi wa idara yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…