maisha

  1. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe michango na thamani ya Strangers kwenye maisha yetu

    Kwa kuanza ningependa kuwakumbusha baadhi ya maneno yanayopatikana kwenye nyimbo za wasanii wetu hapa nchini. 1. "Hawana alama binadamu wanaokuja kukuhukumu" - DARASA CMG. 2. "Sichagui sibagui atakayenizika simjui" - PRINCE MWINJUMA MUUMIN. Tuendelee.... Kwenye maisha yetu ya kila siku...
  2. JamiiForums Tanzania Kuhamisha au kubadilisha makazi kwenye maisha ya kila siku...

    Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki. Natumaini sote tu wazima wa afya na wenzetu ambao wanapitia magumu Mungu awafanyie wepesi. Kila mmoja wetu ana makazi katika eneo fulani. Makazi ndio stara kubwa kwa mwanadamu, ndio maana wazee wetu wa zamani walifanya mpaka mapango kuwa sehemu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ananitishia maisha baada ya kukataa kumsaidia malezi na kusitisha mahusiano

    Habari za siku wana JF, Kuna dada mmoja kabila lake msukuma tulifahamiana kazini kwangu nkaanza kumtania na tukajenga urafiki kwa muda mfupi tukawa tunachati kiasi, katika kunipeleleza kwake nilimwambia ukweli wa maisha yangu kimahusiano idadi ya watoto nilionao akanisema kwa tabia mbaya...
  4. JamiiForums Tanzania Ulianzaje kujipanga na maisha ya ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba?

    Bila kupoteza muda kama kichwa cha habari kinavyosema ulianzaje kujipanga na maisha kabla ya kuingia kwenye ndoa ukiwa katika kipindi cha uchumba. Hebu tupeane mawazo wenzetu mliioowa mlianzaje kujiandaa na kujipanga kabla ya ndoa.
  5. JamiiForums Tanzania Iringa mlimpiga makofi Queen Sendiga, sasa ndiyo mkuu wenu wa Mkoa

    Maisha ni darasa, Ahsante mama Samia Suluhu Hassan kwa funzo hili kwa Watanzania.
  6. JamiiForums Tanzania Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

    Wakuu poleni na harakati za maisha. Mpaka kufikia mwaka 2018 maisha kwangu yalikua tambarare kabisa, sikua na uchumi wa juu lakini nafikiri nilifikia uchumi wa kati wa juu. Biashara ya kuingiza pesa kila siku ambayo niliisimamia mwenyewe na nyingine hizi za kuleta hesabu kwa wiki kama boda boda...
  7. JamiiForums Tanzania Watu wengi tunapitia maisha ya kuhukumu na kuhukumiwa kirahisi tu

  8. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uliwezaje kumuacha mchepuko ilhali bado unampenda?

    Habari za mida wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni member wa JF muda ila imenibidi nifungue ID mpya kutokana na kuepusha sintofahamu za hapa na pale..ningependa nisamehewe mimi sio muandishi mzuri sana ila nadhani ntaeleweka. Mimi ni kijana wa mid 30's ni mwenyeji wa mikoa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Maajabu ya orodha ya tisa kwenye maisha ya mwanadamu

    MAAJABU YA TEBO YA TISA KWENYE MAISHA YA MWANADAMU 9×1=9 miez ya kuishi tumboni 9×2=18 umri wa kutambulika mtu mzima kwa baadhi ya nchi 9×3=27 miaka ya ukomavu na binadam kijana anaweza anza kunitegemea kila kitu makazi,malazi na mengneyo 9×4=36 miaka ya kuweza muda kulea( kuanzisha au...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanaamini adui yao mkuu alikuwa ni Sabaya. Wamefurahi wameridhika Maisha yanaendelea. Adui Mkuu anatabasamu tu

    Jambo alilofanya Samia Suluhu la kumpumzisha Aliyekuwa DC wa Hai Bwana Sabaya linapaswa liwe jadi ya nchi na wananchi husika. Halipaswi liwe ni jambo kuu la kitaifa katika ulimwengu wa watu wastaarabu,wenye akili au uelewa. Alikuwepo Makonda Dar es salaam.alifanya aliyoyafanya mpaka alipokuja...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hatari ya anga za juu: Kuna vyombo vingine vinavyotishia maisha ya binadamu katika anga za juu vinavyoweza kuangukia dunia wakati wowote

    Hatari ya anga za juu:Kuna vyombo vingine vinavyotishia maisha ya binadamu katika anga za juu vinavyoweza kuangukia dunia wakati wowote Ulimwengu haupo salama. Licha ya kuanguka kwa njia salama kwa roketi ya China kutoka anga za juu na kuwapa watu wengi afueni, bado kuna hatari kwani kuna zaidi...
  12. JamiiForums Tanzania Maisha yanapokufanya uonee wivu marehemu

    Wasalaam, Jamani hali ya maisha imekua ngumu, kila kukicha mikosi. Kila dili linafeli, ukiwa na shida marafiki wanakimbia, ukiomba msaada wanadhani unawakejeli hawakupi. Ukiwaza kuroga upate pesa za ndago roho inasita maana umelelewa katika ukristo mpaka ndani ya moyo wako. Nikijipa moyo...
  13. JamiiForums Tanzania Nimekataliwa kisa ni mwanachuo

    Habarini za jioni wana jamvi. Kuna binti tumefahamiana miaka miwili iliopita, ni dada ambae tunakaa sehemu moja. Aliniomba urafiki kwa kuwa alikuwa ananijuaa lakini mie sikuwa namjuaa kwakuwa kwao ni geti kali kidogo na ni mtu wa kushinda dukani. Maisha yakaendelea baada ya kumkubalia ombi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Kitabu cha Maisha ya Rais wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi

    Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anategewa kuwa mgeni rasmi siku ya uzinduzi wa kitabu Cha maisha ya rais wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi al maaruf Mzee Rukhsa. ======== Rais wa Tanzania Samia Suluhu anatarajia kuwa Mgeni rasmi kesho May 08, 2021...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanashindwa kufanya haya matano?

    1. Lala nae (muhimu kuliko yote) 2. Mlishe ashibe 3. Muheshimu 4. Mwache awe na amani 5. Usimuingilie katika mambo yake. Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
  16. JamiiForums Tanzania Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu zangu bila shaka mwenyezimungu anaendelea kutupigania hadi sasa. Ndugu leo naona nilete story kidogo kuhusu safari yangu moja hivi nchini DRC mikasa na visa mbali mbali kwa kipindi chote cha safari wakati napambana na maisha kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Maisha ya Wazungu kutoka Zama za Kilimo kwenda Zama za Viwanda

    Wenye viwanda walitangaza kazi na watu kutoka vijijini walihamia katika miji yenye viwanda. Nyumba zilikua na umeme lakini vyoo na bomba la maji vilikua nje. Kulikua na mabafu ya kulipia na watu wengi wa hali ya chini walimudu kuoga mara moja kwa wiki. Hizi ni enzi za The Poor Law...
  18. JamiiForums Tanzania Hali unayopitia katika maisha mapito tu, kaza mwendo

    Miaka ya 1980-90 kuna msichana mrembo aliishi Oyster Bay na baba yake. Baba yake alikua mfanya kazi wa ndani wa Mzungu na walipewa servants quater. Yule binti alikua na akili sana shule na alifaulu darasa la saba na kupata nafasi katika moja ya shule za wasichana za vipaji maalum Dar. Wavulana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke aliye tayari kwa ndoa halali

    Mimi ni Kijana Me Umri 32 Rangi: Mweupe wastan Mwajiriwa wa serikalini pia nimejiajiri Sijawahi oa wala sina mtoto Dini: islam Elimu: Bachelor Degree Height: 5.7 Umbo : wastan si mnene wala mwembama sana Mke anayehitajika Umri:22-29 Itapendeza zaidi kama atakuwa mwembamba wastan Rangi: Mweupe...
  20. J

    JamiiForums Tanzania CCM ujana ni sifa ya ziada lakini CHADEMA ujana ni maisha yao. Sijajua UVCCM wanafeli wapi?

    Ni kawaida sana kumuona diwani, mbunge au Waziri wa CCM akitamba kwamba sasa kazi itafanyika kwa sababu yeye ni kijana. Na unaweza kukuta hata Kigwangalla au Shinza akijinasibu kwamba yeye ni kijana. Lakini Chadema vijana hawanaga hizo swaga wao utawatambua kwa matendo yao tu kuwa ni vijana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…