Mambo niliyojifunza kuhusu maisha nikiwa nimeshachelewa

fungi06

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
632
854
Nazani mimi sio mtu pekee kukaa na kujua kua nimekosea baada ya kosa kujitokeza.

Lakini mimi kabla sijaendelea kosea us long am not dead man kuna baazi ya vitu nilikosea na kujua nimekosea nikiwa nimechelewa kwa namna moja au ingini ikiwa.

1. Wengi tunatumia miaka 20 kuofia kua tunafwatiliwa maisha yetu (ikiwa ndugu, jamaa na marafiki). Pia tunatumia miaka 20 mingine swearing atutojali namna watu wanavyo tuona tunavyo ishi.. na pia tunatumia miaka 20 mingine kujua kumbe amna mtu alie kua akitufwatilia maisha yetu.

its liberation..

2. Tumekua tukijutia pale kosa linapo tokea kiasi kwamba kusahau mazuri ambayo ni mengi maishani kwetu... nazani niko sahihi kua shida maishani ni chache sana kuliko mazuri ambayo yanajidhiirisha maishani kwetu maana japo maisha magumu lakini wengi wetu tunapo lala tunauakka wakuamka asubui japo sio asilimia 100% ila 75% tunazo wengi wetu.

3.pia nimejua kuna aina mbili ya watu duniani kote... kuna wale ambao wako tiyari kwenda mbele bila kuofia changamoto yoyote,, na wale wanao baki apo apo kwa kuofia changamoto za mbeleni kwenye maisha.

4. Uwa najiisigi kuwa moyoni mwangu nina roho mbili zote zinazo asira ila ya kwanza (1) inayo asira ambayo uwa aieleweki ata kwa kuelezea tu na kuna hii roho ya pili yenye asira lakini imezungukwa na upendo na ndio roho ambayo kila kukicha najaribu ipa chakula maana najiskia amani nayo mno.

Tupendane ndo funzo kubwa japo upendo wa kweli aujafanyiwa uvumbuzi bado.

Mimi nimejifunza ivyo wewe umejifunza nini maishani ukiwa late japo not too late.
 
Nimejifunza kuwa kusoma sio kufanikiwa!
Then nikajua mipango bila pesa ni kelele!
Kisha za kuambiwa changanya na zako!
Nimejifunza hata unaemuona maskini usifikiri hana kitu!.. kipo kitu anacho human being hawezi kuwa zero! Hivyo zile zero za kupata shuleni ni zashule tu Bali everyone has something!
 
This talk is phenomenal
Mie nimejifunza jambo uzeeni kuwa kadri unavyogangamala kuzitafuta hela na Zenyewe zinazidi kukimbia..
Lakini ukisolve changamoto njia huwa nyeupe ya kupata pesa
"The more you chase money the harder to get money
The more you find solutions to solve ..money comes after you!
Niko kutatua changamoto!
 
Maisha yenyewe hayana formula maalum useme labda ukiwa katika hatua fulani basi umemaliza,Unaweza ukafanikiwa ukapata mwenza wako mkapendana ukawa na kazi nzuri ukawa na nyumba yandoto zako,nk lakini kila unapomaliza hatua moja hatua za juu zaidi zinajitokeza na zinakuhitaji wewe binafsi uingilie kati, Maana bila kufanya hivyo yale uliyoyafanya siku za nyuma yatakua hayana thamani tena katika muktadha huo.Hivyo endelea kujifunza maisha hakuna limiti ya ugunduzi ukiwa hai.
 
This talk is phenomenal
Mie nimejifunza jambo uzeeni kuwa kadri unavyogangamala kuzitafuta hela na Zenyewe zinazidi kukimbia..
Lakini ukisolve changamoto njia huwa nyeupe ya kupata pesa
"The more you chase money the harder to get money
The more you find solutions to solve ..money comes after you!
Niko kutatua changamoto!
Nakubaliana na wewe kwa 200%
 
Unazitatuaje bila hela?

Ni chache mno za kutatuwa bila hela..penye udhia tia rupia....

This talk is phenomenal
Mie nimejifunza jambo uzeeni kuwa kadri unavyogangamala kuzitafuta hela na Zenyewe zinazidi kukimbia..
Lakini ukisolve changamoto njia huwa nyeupe ya kupata pesa
"The more you chase money the harder to get money
The more you find solutions to solve ..money comes after you!
Niko kutatua changamoto!
 
This talk is phenomenal
Mie nimejifunza jambo uzeeni kuwa kadri unavyogangamala kuzitafuta hela na Zenyewe zinazidi kukimbia..
Lakini ukisolve changamoto njia huwa nyeupe ya kupata pesa
"The more you chase money the harder to get money
The more you find solutions to solve ..money comes after you!
Niko kutatua changamoto!
True.. ni sawasawa na ule msemo wa " Huwezi kuzipata pesa kwa kuzitamani" utazipata kwa kuumiza kichwa ufanye jambo gani la kufany uiapate hiyo pesa
 
Niko hapa kujifunza kutoka kwa waliokwepa mishale mingi, ingawa wanasema "experience is the bad teacher", sitapitia waliyopitia, natamani kujifunza jinsi ya kuchagua kukwepa walipokosea ingawa umri niliofikia ni ule wa; "kama nisingefanya vile siku zile, leo ningekuwa mtu tofauti", umri huu wengi wakifika, wanayaona makosa waliyoyafanya siku za nyuma ila huwezi kurekebisha chochote kwakuwa kilichoandikwa, kimeandikwa.

Huo ndio umri wa miongo kadhaa, <27yrs ni ngumu kuelewa hili, 27<X<39, hapa unahitaji kila kilichopotea kabla ya 27 zaidi ili kujenga utulivu wa akili wakati wa >45yrs.
 
Formula ya kikoloni..
"Ujanani, usipofanya kazi Kama mtumwa, Basi Jiandae kuwa mtumwa wa kazi .
Utafanya mbaka ulinzi uzeeni.
 
Formula ya kikoloni..
"Ujanani, usipofanya kazi Kama mtumwa, Basi Jiandae kuwa mtumwa wa kazi .
Utafanya mbaka ulinzi uzeeni.
Ila huu msemo ni kamaumeisha muda...! Masuala ya kusema kufanya kazi Kama mtumwa dah!nadhan ni kufanya kazi kwa akili tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom