Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,182
- 3,547
Nilikuwa ninakaa kwa baba mkubwa sasa nimeondoka nimerudi ktk maisha ya kujitegemea nikiwa mfukoni Nina laki 8 ambayo amenipa kama hela ya kuanzia maisha
Na kuhusu hela ya kodi nashukuru kuna mwana JF amejitolea kunilipia chumba laki na 80 miezi sita chumba kipo Tabata mawenzi
Hivyo naombeni maombi yenu wana JF nimeanza upya maisha, kama kuna ushauri au maoni naombeni mnisaidie nimeanza upya safari.