Maisha yamenishinda. Madeni mengi sana na mengine yanatangazwa. Nimechoka kabisa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,386
Sina raha masimango, nishabadili sana namba za simu mpaka kwenye mitandao wanagoma kunipa namba mpya. Nmebaki mimi tu na korodani zangu. Sina kitu kabisa.

Najiuliza wapi wananunua figo, ini au firigisi. Hivi viungo vipo viwili viwili naweza uza kimoja angaa nipate pesa nilipe madeni na pia kuendesha maisha.

Kuna haja gani unakaa navyo vyote na huoni faida yake?hata korodani zipo mbili anayetaka sababu ya kukosa watoto mimi mbegu zipo mpaka zinamwagika tu zenyewe.naweza kumpatia mtu hata nusu lita.

Juzi juzi hapa ndo nmeumia kusikia tena kila Mtanzania anadaiwa Mil 1.jamani jamani....mimi nlikopa wapi? Serikali iangalie hawa wabunge wanataka kutufunga bure. Mimi sijawahi kopa hiyo Mil 1. Mi ntailipaje?

Hapa nlipo nmejaa madeni kila kona.leo tena nakuja ambiwa nadaiwa mil 1. Kila mtanzania? Jamani why mnatufanyia hivi sisi.inatosha sasa. Inatosha. Haya madeni yamezidi sasa.
 
Sina raha masimango,nshabadili sana namba za simu mpaka kwenye mitandao wanagoma kunipa namba mpya. Nmebaki mimi tu na korodans zangu. Sina kitu kabisa.

Najiuliza wapi wananunua figo,ini au firigisi. Hivi viungo vipo viwili viwili naweza uza kimoja angaa nipate pesa nilipe madeni na pia kuendesha maisha.

Kuna haja gani unakaa navyo vyote na huoni faida yake?hata korodans zipo mbili anayetaka sababu ya kukosa watoto mimi mbegu zipo mpaka zinamwagika tu zenyewe.naweza kumpatia mtu hata nusu lita.

Juzi juzi hapa ndo nmeumia kusikia tena kila Mtanzania anadaiwa Mil 1.jamani jamani....mimi nlikopa wapi?serikali iangalie hawa wabunge wanataka kutufunga bure. Mimi sijawahi kopa hiyo Mil 1. Mi ntailipaje?

Hapa nlipo nmejaa madeni kila kona.leo tena nakuja ambiwa nadaiwa mil 1. Kila mtanzania? Jamani why mnatufanyia hivi sisi.inatosha sasa. Inatosha. Haya madeni yamezidi sasa.
Mkuu una maini mawili? Juzi hapa tumetoka kupumzika mtoto wa Ba mkubwa naye kajitoa uhai kwa sababu ya madeni! Hawa kikwetu huwa tunawatania "mbiti yokala madeni". Sasa na wewe unakoelekea ni huko huko!
 
Sina raha masimango, nishabadili sana namba za simu mpaka kwenye mitandao wanagoma kunipa namba mpya. Nmebaki mimi tu na korodani zangu. Sina kitu kabisa.

Najiuliza wapi wananunua figo, ini au firigisi. Hivi viungo vipo viwili viwili naweza uza kimoja angaa nipate pesa nilipe madeni na pia kuendesha maisha.

Kuna haja gani unakaa navyo vyote na huoni faida yake?hata korodani zipo mbili anayetaka sababu ya kukosa watoto mimi mbegu zipo mpaka zinamwagika tu zenyewe.naweza kumpatia mtu hata nusu lita.

Juzi juzi hapa ndo nmeumia kusikia tena kila Mtanzania anadaiwa Mil 1.jamani jamani....mimi nlikopa wapi? Serikali iangalie hawa wabunge wanataka kutufunga bure. Mimi sijawahi kopa hiyo Mil 1. Mi ntailipaje?

Hapa nlipo nmejaa madeni kila kona.leo tena nakuja ambiwa nadaiwa mil 1. Kila mtanzania? Jamani why mnatufanyia hivi sisi.inatosha sasa. Inatosha. Haya madeni yamezidi sasa.

Mikuyenge China ina soko zaidi ya figo, firigisi hata maini.

1mkuyenge = $160,000

Wanaukata wanachukua? Siyo mbaya sababu sometimes unakuwa nao lakini hau enjoy hata matumizi yake. Watoto wazuri unawaita tu shemeji na dada. Haina maana.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom