Nilichojifunza kupitia maisha ya mwindaji

adriz de mbusii

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
16,786
Reaction score
37,800
Katika jamii za wawindaji mara nyingi kuishi kwao(kupata mlo wa kila siku)kunategemea na kiasi gani wanachovuna mawindoni hivyo inawalazimu kutumia nguvu ,akili na maarifa ya ziada kuhakisha wanapata chochote kitacho wafaa kutosheleza kusongesha maisha yao.

Pamoja na kuweka juhudi kubwa Ktk kupata chochote kitu msituni ,lakini kuna hatari kubwa ya kushambuliwa na wadudu pamoja na wanyama wakali wa porini na hapo ndipo wanaweza umakini zaidi kwani akijisahau kidogo shambulio Moja tu linaweza kuhatarisha usalama wake na jitihada zake zote kupotea pamoja na malengo kwa ujumla .

Mafunzo: Katika mawindo yetu ya kila siku (harakati za kimaisha) tusiegemee zaidi Ktk utafutaji bila kujua na kuchukua tahadhari dhidi ya vitu hatarishi kwani kosa Moja linaweza kuharibu jitihada na Mafanikio yaliyotengenezwa kwa nguvu kubwa na kusababisha hasara na majuto .

Epuka marafiki wabaya ,kukosea kuoa au kuolewa(kutochagua mwenza sahihi) ,starehe hatarishi nk
2876881_20210810_173054.png
 
Katika jamii za wawindaji mara nyingi kuishi kwao(kupata mlo wa kila siku)kunategemea na kiasi gani wanachovuna mawindoni hivyo inawalazimu kutumia nguvu ,akili na maarifa ya ziada kuhakisha wanapata chochote kitacho wafaa kutosheleza kusongesha maisha yao.

Pamoja na kuweka juhudi kubwa Ktk kupata chochote kitu msituni ,lakini kuna hatari kubwa ya kushambuliwa na wadudu pamoja na wanyama wakali wa porini na hapo ndipo wanaweza umakini zaidi kwani akijisahau kidogo shambulio Moja tu linaweza kuhatarisha usalama wake na jitihada zake zote kupotea pamoja na malengo kwa ujumla .

Mafunzo: Katika mawindo yetu ya kola siku (harakati za kimaisha) tusiegemee zaidi Ktk utafutaji bila kujua na kuchukua tahadhari dhidi ya vitu hatarishi kwani kosa Moja linaweza kuharibu jitihada na Mafanikio yaliyotengenezwa kwa nguvu kubwa na kusababisha hasara na majuto .

Epuka marafiki wabaya ,kukosea kuoa au kuolewa(kutochagua mwenza sahihi) ,starehe hatarishi nk
View attachment 2062967
sawa mkuu umeeleweka
 
Ujumbe mwanana kabisa Kwa disemba hii
Si unajua watu wanafunga hesabu za mwaka.
 
Jaribu kuacha bange kwanza ili tugundue tatizo kuu nin lipo kichwani kwako.
Hahaha oyaa tulia weweee. Ngoja mods waondoe vizingiti walivyo weka kwenye ID zangu zingine. Yani siwez reply ama kuposti chochote yani ni kulike tu na niwewe ndo umesababisha kwa kunichongea
 
Sasa Kaa kwa kutulia Maghayo @Ghayo The Mongo Barbarian , the second wave of violence is coming..
 
Back
Top Bottom